Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Umeongea kwa uchungu sana ila huo ndio ukweli wenyewe.
 
Wewe unaongelea kusaidiana wakati wengine wanaumme wana olewa kabisa na wanakua chini ya mwanamke mwenye kipato, omba ya sikukute tu.
Maisha ya ndoa yana mengi sana, watu wanachukuliaga poa tu. Mtu unakuta ameanza vyema ila mishe zikabuma, demu ana ramani so lazma aendeshe mambo kwa muda.
 
Sheria haisemi hivyo

Hao wamefanya mambo kienyeji.
 
Wanawake waki Tanzania mkuu, Mimi kuna marafiki zangu wameoa wazungu lakini wanatumia pesa za wake zao na wamejengewa Nyumba za kuishi na wamefunguliwa biashara kubwa, Tatizo dada zetu bado washamba wakumiliki pesa
Wanawake wa kizungu wanachukulia mapenzi kitofauti sana. Kwao pesa ni kitu cha kawaida wala hakina mahusiano na mapenzi yao kwa mtu. Mfano mmependana yeye atakupenda wewe jinsi ulivyo na anakuwa anataka zaidi attention yako, emotional support na kufurahia uwepo wako kwenye maisha yake. Hata uwe lofa huna hata sh.10 still upendo wake utakuwa 100% na kama yeye hela anazo mtatumia zake wala hajiulizi mara 2 mradi aone mna furaha tu.

Mwanamke wa kibongo ni kinyume kabisa, nafikiri sababu wengi wanatokea familia fukara. Unakuta yeye anawaza sana unampa nini au anafaidikaje na mahusiano yenu na kigezo kikubwa ni hela tu. Siku hela ikiwa haipo na mapenzi yanakuwa yamefika tamati. Au atakuvumilia mwanzoni kisha mbeleni anakugeuka kama hakujui vile. Wasichana wa kibongo tabia zao za hovyo sana totally parasitic. Kama hakunyonyi na kukufanya mashine ya Atm hamfiki mahali.

Mbaya zaidi afanye uwekezaji mkubwa kama huo wa ujenzi lazma ataishi kwa kukusimanga tu hadi ukome. Nyumba si kajenga yeye bwana.
 
Ishu ya kushare na mke siitaki ata kdg kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukwel kwamb sitaki ata 100 yake [emoji23] na nyumba yng nikimaliza namuandikia mdog wng
Don't do this Mkuu, utaleta ugomvi mkubwa sana hapo baadae, wewe andika jina lako kwenye hiyo hati, na Kama huwezi kuandika jina lako andika jina la mtoto wako wa kuzaa wewe.

Tuna Kesi mahakamani yenye scenario Kama hii, huu Ni mwaka wa pili bado inaunguruma. Look very
 
Sasa si ukaoe tu maza wa nyumbani ijulikane moja mkuu.
 
Mkuu Mimi Naona wewe ndo mpumbavu anayeamua ku-asume kuwa kitu Fulani hakipo kumbe kipo, mwanamme anao wajibu wa kujua kipato Cha mke na mke vivyo hivyo, kama mke hawezi ishi kwenye hiyo Hali Ni Bora akasepa mapema.

Mke wangu Mimi Ni mtumishi , tumejenga na tunaishi kwa kuhudumia familia kwa pamoja,na tuna biashara ambayo msimamizi Mkuu Ni Mimi, ninachokiona wanaume aina yako Ni wale wanaumev wenye ubabe na wenye kupenda kutapeli, Mimi mke wangu hata akisema leo tugawane ili kila mtu ajue hamsini zake sioni shida mie, maana Mali hizi Ni mapito tu.
 
Ishu ya kushare na mke siitaki ata kdg kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukwel kwamb sitaki ata 100 yake [emoji23] na nyumba yng nikimaliza namuandikia mdog wng
Andika mdogo wako ili kesho nae aoe/ aolewe halafu mwenza wake amshawishi wachukulie mkopo au wadai mali yao. Kuandika majina ya ndugu au wazazi yamewacost wengi sana kuna visa kadhaa watu wanapoteza mali zao kisa waliandika ndugu au wazazi. Jenga nyumba andika jina lako au mwanao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngosha mtajifunza lini?
Mwanaume kichwa cha nyumba, ukisha mkabidhi bibie, tena Bibie mmachame au mpalestina akuongoze ujue mawili, aidha kifo cha mapema au kuachwa solemba mbele ya safari.
Ngosha wenzangu mtajifunza lini?
 
Bado hujakua wewe, subiri mama achepuke ndo utaona rangi za dunia.
 
Bado hujakua wewe, subiri mama achepuko ndo utaona rangi za dunia.
Wee wa ajabu kweli,kuchepuka kwa mke wangu Mimi hakunihusu hata kidogo,Mimi Nina miaka kumi na tano kwenye ndoa yangu,sio kijana Mimi,na hiyo ndo mifumo yangu,tatizo lenu vijana mnawaza upuuzi ,eti mke kuchepuka ,Sasa shida iko wapi,nikivumilia namsamehe ,nikishindwa tuanaachana.
 
Una matatizo ya AKILI.
 
Hongera.
Chukua miaka yako ya ndoa, zidisha mara mbili na nusu na unapata miaka yangu.
Kua uyaone.
 
Mshukuru Mungu unamwana mke mwelewa, ila kwa hali kama hiyo utakua umesurrender haki zingine za wanaumme unateseka kisaikolojia, huwezi kufanya 50 kwa 50 na mke wako maanake ana ku-control mambo mengine. Sawa kuna wanaumme wengine wana chembe chembe za harmonies za kike hilo aliwasumbue ila kwangu I rather abandoned you kuliko kuwacontroled na demu kisa maendeleo.
 



Hakuna uhuru usio na mipaka, mpe uhuru usio na mipaka mwanamke (iwe financially au socially) ipo siku utajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…