Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Na juzi nimemwona msela katoka ndani ya hiyo nyumba na taulo looks ametoka kunyandua huyo wife wa jamaa.Acha godoro hata vyombo vya ndani hana inabidi aanze upya kibaya zaidi haruhusiwì hata kuingia ndani ya nyumba yake tena yule mama alimpiga pin kabisa
Umeona sasa ujinga huu. Kwa nini ifikiriwe "Mwanaume ukifa". Unajua mikosi mingine tu naitengeneza sisi wenyewe.
Mkuu kwa sas bado sijaandika coz ndo kwanz nyumba naanza kuijenga sas ila nikimaliza nafikir kufanya ivo mali zangu zote nitakazomiliki nitaziweka kisheria chini ya usimamiz wa familia yng ujue home tumezaliwa 5 tu na me ndo peke wa kiume waliobakia wote wameshaolewa isipokua 1 tu wa mwish ambae bado anasoma bado yupo primaryMkuu mpaka watoto watakapo jielewa wewe unajua utaishi miaka mingapi mfano ukifa leo na mkeo mjamzito na mali zote umeandika jina mdogo wako unafikiri itakuwaje kwa watoto wako? We unajua Marengo ya huyo mdogo wago na yeye ana Marengo yake hizo mali ulizo mmilikisha zitaleta mgogoro mkubwa mfano unawatoto 5, na mdogo wako ana watoto 5 na mali zako umemuandikisha huyo mdogo wako kwa bahati mbaya akafariki unafikiri hizo mali zako utazipata? Kisheria hizo mali ni za mke na watoto wa mdogo wako ndiyo wakuwa wa rithi na siyo wewe na mke wake na watoto watakuona kama mdhurumaji.
Hapa tunazungumzia mwanamke waki Tanzania akiwa na kipato ndani ya ndoa au kwenye mahusiano anaficha pesa zake anatumia pesa za mume au mpenzi wake, na chingine kwenye ndoa mwanaume akiishiwa pesa au akifukuzwa kazi mke hawezi kukubali pesa zake zitumike, Tofauti na wenzetu wazungu mwanaume unaweza ukakosa kazi na ukatumia pesa za mke wako au mpenzi, na Wazungu wakiwa kwenye uchumba kila mtu anatumia pesa zake na mwanaume akiwa hana pesa atasaidiwa na mpenzi wake, tofauti na wanawake waki Tanzania mfano mwanamke waki Tanzania akimsaidia pesa au akimpa zawadi mpenzi wake lazima wanawake wenzake watamshangaa na ndugu zake watamkataza.Uwongooooo.... Huko huko uzunguni si ndipo pameshamiri ndoa za mikataba?
Unajua chanzo ni nini haswa?
Hawajui hela ya mwanamke ilivo na masimango hawa 😂 yaani mwanamke akikupa hela yake itakutokea puani me nipo tyr nimsaidie wife kujenga kweny kiwanja chake kuliko kuchukua hela yake na kuitia kweny kiwanja changuUmeona sasa ujinga huu. Kwa nini ifikiriwe "Mwanaume ukifa". Unajua mikosi mingine tu naitengeneza sisi wenyewe.
Hujui maisha baada ya kifo chako itakuaje. Unaweza ukafa na miaka 30, umeachia mke mwenye miaka 26, na watoto wawili wadogo. Umeachia nyumba moja na Gari mbili.
Hiyo nyumba yako na magari yako yanaweza kuja kutumia na mwanaume mwingine. Chumba chako itakua chumba chake hicho na kitanda chako kitatumika kuzaa watoto wengine.
Jamaa anaposema atamwandika dada yake, mi nimemuelewa. Siwezi kuandika mtoto wangu inawezekana pia sio wa kwangu. Ila dada yangu nna uhakika ni dada yangu, damu yangu. Akaishi vizur na shemeji yangu [emoji16][emoji16]
Hilo liko pale pale hamna mwanamke anae pata kibri bila kua na mwanaumme mgine mbadala ni suala la mda wanawake ni shetani kubwa sanaa sio watu wa kuchekea chekea anaweza kuchangia kifo chako mapema tu.Na juzi nimemwona msela katoka ndani ya hiyo nyumba na taulo looks ametoka kunyandua huyo wife wa jamaa.
Mpe pole vijana ishini na wanawake kwa tahadhari.
Cc: LILTH in advance popote ulipo pita hapaHao ndo wanawake bwana
Sijui naomba unifahamisheUwongooooo.... Huko huko uzunguni si ndipo pameshamiri ndoa za mikataba?
Unajua chanzo ni nini haswa?
Mkuu na huyo dada yake si atakuja kuzitumia na mpenzi wake na hasiolewe nae akazalishwa na akaja kuolewa na mtu mwingine unadhani huyo mwanaume akija kujua mali anazo tumiani ni za marehemu shemeji yake na kaacha watoto watoto huyo mwanaume si atafanya jitihada za kuhamisha mali kwa kutumia kuchukulia mkopoUmeona sasa ujinga huu. Kwa nini ifikiriwe "Mwanaume ukifa". Unajua mikosi mingine tu naitengeneza sisi wenyewe.
Hujui maisha baada ya kifo chako itakuaje. Unaweza ukafa na miaka 30, umeachia mke mwenye miaka 26, na watoto wawili wadogo. Umeachia nyumba moja na Gari mbili.
Hiyo nyumba yako na magari yako yanaweza kuja kutumia na mwanaume mwingine. Chumba chako itakua chumba chake hicho na kitanda chako kitatumika kuzaa watoto wengine.
Jamaa anaposema atamwandika dada yake, mi nimemuelewa. Siwezi kuandika mtoto wangu inawezekana pia sio wa kwangu. Ila dada yangu nna uhakika ni dada yangu, damu yangu. Akaishi vizur na shemeji yangu [emoji16][emoji16]
Na wewe mjibu hupendi pesa kwasababu hujui kuzitafutaMimi wa kwangu japo sijamuoa bado, sio mara moja hua ananambia kua yeye anapenda hela sana eti kwasababu anajua kuzitafuta. Bado namzoom.
dada yako akipata mwanaume ujue hizo mali sio zaw dada yakooo ni mali za mwanaume mwingine ambae hata hakutoa jasho ila anazila sababu ya ujinga wako.. yani huoni hata aibu kusema watoto sio wako kweli kizazi cha ovyoo sanaa.Umeona sasa ujinga huu. Kwa nini ifikiriwe "Mwanaume ukifa". Unajua mikosi mingine tu naitengeneza sisi wenyewe.
Hujui maisha baada ya kifo chako itakuaje. Unaweza ukafa na miaka 30, umeachia mke mwenye miaka 26, na watoto wawili wadogo. Umeachia nyumba moja na Gari mbili.
Hiyo nyumba yako na magari yako yanaweza kuja kutumia na mwanaume mwingine. Chumba chako itakua chumba chake hicho na kitanda chako kitatumika kuzaa watoto wengine.
Jamaa anaposema atamwandika dada yake, mi nimemuelewa. Siwezi kuandika mtoto wangu inawezekana pia sio wa kwangu. Ila dada yangu nna uhakika ni dada yangu, damu yangu. Akaishi vizur na shemeji yangu [emoji16][emoji16]
📌📌Mwanaume unaoa mwanamke ili akusaidie kulea familia? Lazima una udumavu wa akili. Oa mke umpendaye ili muishi kwa mapenzi na amani. Siyo ili aje akusaidie au achangie kujenga nyumba.
Mkuu nadhan huijui hela mwanamke ww unaisikia tuMwanaume anaejitambua na mtafutaji haogopi na kukataa support ya mkewe eti kisa kesho mwanamke atagawana nae mali wakaichanaa.. wewe mkeo anasema chukua hii hela uongezee tununue tofali unakataa eti unataka ujenge peke ako alafu uandike jina la MDOGO WAKO yani wewe ni mafiiiii. Mfundishe mkeo kubeba majukumu ya kifamilia na mshirikishe juu ya biashara kama unazo kesho UKIFARIKI maana wanaume tunatangulia sana mkeo asipate shida na familia unaacha miradi kibao mkeo hajui hata aanzie wapi mwisho wa siku unafanya hayo yote sababu ya WANAO sio mtu mwingine yoyote maana hao ukiwa haupo ndio watakaopata shida kuliko hata hao ndugu zako wao watakuwa huko na familia zao haya yote naongea tokana na expirience NDUGU HAWANA FADHILA MWANAUME MJALI MKEO NA WANAO.
dada yako akipata mwanaume ujue hizo mali sio zaw dada yakooo ni mali za mwanaume mwingine ambae hata hakutoa jasho ila anazila sababu ya ujinga wako.. yani huoni hata aibu kusema watoto sio wako kweli kizazi cha ovyoo sanaa.Umeona sasa ujinga huu. Kwa nini ifikiriwe "Mwanaume ukifa". Unajua mikosi mingine tu naitengeneza sisi wenyewe.
Hujui maisha baada ya kifo chako itakuaje. Unaweza ukafa na miaka 30, umeachia mke mwenye miaka 26, na watoto wawili wadogo. Umeachia nyumba moja na Gari mbili.
Hiyo nyumba yako na magari yako yanaweza kuja kutumia na mwanaume mwingine. Chumba chako itakua chumba chake hicho na kitanda chako kitatumika kuzaa watoto wengine.
Jamaa anaposema atamwandika dada yake, mi nimemuelewa. Siwezi kuandika mtoto wangu inawezekana pia sio wa kwangu. Ila dada yangu nna uhakika ni dada yangu, damu yangu. Akaishi vizur na shemeji yangu
Hao wazungu ulioishi nao ni wazungu njaa njaa. Wazungu wa kweli wapoHao wazungu ni wa wapi mnao semea hizo ni isolated stories sie ambao tulishawahi kuishi kwao hususani Western Europe hao watu mna exagulate sana wanacho tuzidi ni kua honest na kua wa kweli tu, lakini kwenye pesa their worse na kuua wanaweza acha tu.