Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Mambo ya mapenzi bana, siwezi kumlaumu jamaa, hapo ata watoto utakuta sio wake
 
Siku zote tunawaambiaga msioe huko kwa akina manka wao wana uchu wa mali..haya sasa mtu kashaingizwa mkenge...
 
Siku zote tunawaambiaga msioe huko kwa akina manka wao wana uchu wa mali..haya sasa mtu kashaingizwa mkenge...
Lakini wote sio wabaya kuna wenye roho nzuri na huwezi kujua mbeleni kama atabadilika wanaanzaga vizuri ila basi tu
 
Mkuu kiukwel bor mali zangu zote nitakazo miliki ziwe kweny uwangaliz wa familia yng mpk wanangu watakapokuw wakubw ndio zihamishiwe kwao na kama njia iyo kisheria ipo bora nifanye ivo tu hakuna namna nyengine
Hivi nyie mshawahi kushuhudia mikasa wanayopata watoto baada ya wazazi wao kutangulia mbele za haki!! Kuna ndugu nyoko ww, wanadhulumu mali zote za familia na kuwaacha watoto kwenye ufukala mkubwa sana.
 
The Folks say, "choose wisely" ukichagua mtu ambaye sio wa aina yako kwa kigezo sijui ndo umempenda hivyo hivyo ni balaa. Mwanamke mbinafsi siku zote ataishia kukufedhehesha tu. Hawanaga maana hata kidogo.
Alafu we mzee sasa na ww uoe, umekuwa muoga sana! Hahaaaaaa
 
Mkuu nadhan huijui hela mwanamke ww unaisikia tu
Kama yeye ndo anatoa tu helaa bhasi hela ya mwanamke ni chunguu sanaa yani jehanamu ndogooo... ila hakuna mwanamke atakudharau kama unatoa matumizi ,unalipa kodi kama mmpanga.
 
Hongera kaka daaah hatimaye umekata shauri ww hutayumbishwa umepita kwanye miba mnooo!! Sijui demu gani huyu mwenye bahati ya kupita kwebye chekeche lako.
 
Lakini wote sio wabaya kuna wenye roho nzuri na huwezi kujua mbeleni kama atabadilika wanaanzaga vizuri ila basi tu
99% ya wakina manka wana uchu wa mali tena wanafundishwa hivyo na wazazi wao...yani ukutane nae yupo vizuri watamshauri aache ujinga wewe(mwanamume) uliemuoa sio ndugu yake...πŸ˜€πŸ˜€
 
Kisheria Mali iliyopatikana ndani ya ndoa ni ya wote
 
Kuna mwamba ktk visa humu yy alikuwa akiishi town, akakubaliana na dada yake ambaye yuko mkoa tabora asimamie mashamba yake ya mpunga na sister kaolewa, jamaa kila akituma pesa kwa ajiri ya shamba dada akanunua bodaboda akampa mme wake na wakafanya mishe zingine...jamaa anaenda kuangalia maendeleo ya shamba patupu. Mungu atusaidie tu kupata wenza sahihi...maana hata ndugu sio malaika.
 
mtu anaeona mkewe hastahili kuandikwa kwenye mali ila ndugu zake ni TAHIRAAA.
 
Yule aliemtapeli mali zote Emmanuel Eboue mchezaji wa arsenal alikuwa sio mzungu
 
Hajauwa kwel uyo? πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yule aliemtapeli mali zote Emmanuel Eboue mchezaji wa arsenal alikuwa sio mzungu
Ulaya sheria zipo wazi utapeli ulaya hakuna kule wanafata sheria na wanaamini haki za binadamu tofauti na sisi wa Africa ni jamii yaki jadi tunaishi kijadi Mwanaume ndiyo kila kitu kwenye familia anaweza kunya mahamuzi kwenye mali za famili bila ya mke kujulishwa, kwaiyo mkuu ukioa mzungu na ukaenda kuishi nchi ni kwao lazima tabia za kijadi uziache Airport.
 
Huna watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…