Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Kuna mkuu mmoja amenionya kuhusu huu ujinga wako.

Namsikiliza sana,ila wewe nataka ushike adhabu.

Kujua kufunga electric fence, CCTV camera,na mambo mengine isikufanye ukasumbua wazima kila siku kwa mizaha yako.
 
Mkuu nina maswali naomba msaada najua umesomea mambo ya electromagnetism n.k

ChatGPT ninayo,ila ile si unajua inajibu general,nilitaka unisaidie kama ulivyo sema,naomba usitumie ChatGPT please

Maswali yangu ni haya...

1. Waves gani(Hz) zinazo pita kirahisi katika Object isiyo ya chuma mfano jiwe au ukuta wenye nchi 7

2.Ni mfumo upi unaweza kirahisi kuzalisha waves hizo

3.Naweza pata suggestion circuit ya ku generate hizo frequency(Prototype)

4.Nini madhara ya Frequency 100Hz dhidi ya 1,000,000,000 Hz katika object kulingana na upana wake bila kuzidi upana wa cm 32cm

Nawakilisha
CC Poor Brain
 
View attachment 3181222
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.

Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??

Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa karushwa na umeme toka sebuleni hadi chumbani...

Basi ukweli ni huu,umeme haurushi mtu,ila umeme unaweza

1. Shika mtu na akashindwa kujitoa.

kama tu huo umeme utakua katika kiasi cha kupoozesha mfumo wake wa fahamu...mtu huyo hata jichomoa ataganda hapo hapo hadi maji yake mwilini yapungue ndo ataachiwa...

DHANA YA KURUSHWA NA UMEME.

2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...

Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...

Pale binadamu anapogusa umeme bahati mbaya,ubongo wake husababisha awashe hisia za kujiokoa..

Kwakua kilichosababisha changamoto ni umeme husababisha taarifa mvurugano hupelekea mtu huyo kusahau nyakati flani ambazo alikua akijiokoa..

Hivyo kama ikitokea umegusa kifaa cha umeme sebuleni na baadae ghafla ukajikuta chumbani si kwamba umerushwa hadi huko...hapana

Ulikimbilia huko wewe mwenyewe kwa miguu yako...sema tukio lilitokea kwa haraka ukiwa katika hali ya kupoteza kumbukumbu...kutokana na mfumo wako wa fahamu kuingiliwa na umeme...

So pale kumbukumbu zitakapo kurejea utahisi umefika hapo kwa kurushwa...

Kuna mmoja alirushwa toka jikoni hadi kwa jirani....hahahah

USIKU MWEMA.

Transiator.
Wewe acha tu! Nilirushwa na umeme nikatua kule na kubiringita mara 3.....i actually experienced a push from electric shock.....
Umeme unarusha sio dhana....haijakukuta tu usingeweka uwo uzi.
 
The Spirit of Tanzania Mkuu naomba nipe dakika mbili kidogo naona kama kuna mambo yanatala yasiwe sawa kuhusu haya maswali sijaona changamoto hapo
Kuna swali hili pia nisaidie katika utoaji wako wa elimu mkuu maana sijajibiwa hadi sasa

Mkuu umesoma umeme upande wa Electromagnetism si ndio

Naomba nisaidie maswali haya

1.Ni nini kinacho determine the powerfulness of magnetism,kupitia jibu lako nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.

2.Ni namna gani eneo la uzalishaji wa magnetism inaweza affect nguvu ya electromagnetism nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.

3.Nitajie vyanzo vya kuzalisha electromagnetism na niambie kipi bora zaidi na uthibitishe ubora huo kupitia kanuni za kila chanzo kuonyesha ubora wake..

Nawakilisha

NOTE:Usitumie chatGPT sababu majibu ya mfumo huo ni ya ki A.I yanajulikana..

Karibu...
 
Wewe acha tu! Nilirushwa na umeme nikatua kule na kubiringita mara 3.....i actually experienced a push from electric shock.....
Umeme unarusha sio dhana....haijakukuta tu usingeweka uwo uzi.

Screenshot_20241227-161123_Gallery.jpg

Kama umeme unarusha unajua matumizi ya hii mkuu...?
 
Hii ni Kwa ajili ya kunasua mtu kashikwa na umeme wenye voltage kubwa(UMEME KAUSHA MAJI) wa kwenye nguzo za umeme.....ila umeme wa nyumbani unashika na kukuachia kwa msukumo wa low voltage(UMEME USIMSHIKE
Sawa nielezee kisayansi au kitaalamu namna umeme unaweza kukurusha,bila kuhusisha maamuzi yako binafsi ya kujiokoa kupitia ubongo wako wa maamuzi au kupitia ushawishi wa Oblongata!
 
Kuna swali hili pia nisaidie katika utoaji wako wa elimu mkuu maana sijajibiwa hadi sasa

Mkuu umesoma umeme upande wa Electromagnetism si ndio

Naomba nisaidie maswali haya

1.Ni nini kinacho determine the powerfulness of magnetism,kupitia jibu lako nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.

2.Ni namna gani eneo la uzalishaji wa magnetism inaweza affect nguvu ya electromagnetism nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.

3.Nitajie vyanzo vya kuzalisha electromagnetism na niambie kipi bora zaidi na uthibitishe ubora huo kupitia kanuni za kila chanzo kuonyesha ubora wake..

Nawakilisha

NOTE:Usitumie chatGPT sababu majibu ya mfumo huo ni ya ki A.I yanajulikana..

Karibu...
1. Kinacho determining power ya magnets inategemea ni tempo au perm fadanua swali vzr kanuni

Nakuja wakuunakua natingwa n kazi
 
Naombeni msamaha wakuu.
🙏🙏🙏🙏🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Sawa nielezee kisayansi au kitaalamu namna umeme unaweza kukurusha,bila kuhusisha maamuzi yako binafsi ya kujiokoa kupitia ubongo wako wa maamuzi au kupitia ushawishi wa Oblongata!
Hakuna sayansi ila ni dhana tu broo...hapo kinachotokea ni function of centra nervous system....which draw away a victim's body unconsciously from danger.....sasa hapo kwasababu hatujasoma mifumo ya fahamu ya mwili inayorespond the external stimulii.......tunasema tu hivi Nimerushwa na umeme.
KWELI WEWE UNAELEWEKA NA SOMO LAKO LA UMEME SHUKRANI
 
Back
Top Bottom