The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Jamaa NAMSUBIRI,nataka kuwaumbua watu wasumbufu humu.View attachment 3186356Muda unayoyoma inatengenezwa CV iliyoshiba
Huyu naondoka nae mzima mzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa NAMSUBIRI,nataka kuwaumbua watu wasumbufu humu.View attachment 3186356Muda unayoyoma inatengenezwa CV iliyoshiba
Mkuu usitumie energy kubwa sana kiasi hiko...Jamaa NAMSUBIRI,nataka kuwaumbua watu wasumbufu humu.
Huyu naondoka nae mzima mzima.
Weka CV unasubiri nini,au VETA Chang'ombe hawajakupa matokeo yako?Mkuu usitumie energy kubwa sana kiasi hiko...
Upo tayari kutuma cv yako hapa na mimi nitume yangu mda huu
CC Poor BrainMkuu nina maswali naomba msaada najua umesomea mambo ya electromagnetism n.k
ChatGPT ninayo,ila ile si unajua inajibu general,nilitaka unisaidie kama ulivyo sema,naomba usitumie ChatGPT please
Maswali yangu ni haya...
1. Waves gani(Hz) zinazo pita kirahisi katika Object isiyo ya chuma mfano jiwe au ukuta wenye nchi 7
2.Ni mfumo upi unaweza kirahisi kuzalisha waves hizo
3.Naweza pata suggestion circuit ya ku generate hizo frequency(Prototype)
4.Nini madhara ya Frequency 100Hz dhidi ya 1,000,000,000 Hz katika object kulingana na upana wake bila kuzidi upana wa cm 32cm
Nawakilisha
Wewe acha tu! Nilirushwa na umeme nikatua kule na kubiringita mara 3.....i actually experienced a push from electric shock.....View attachment 3181222
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.
Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??
Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa karushwa na umeme toka sebuleni hadi chumbani...
Basi ukweli ni huu,umeme haurushi mtu,ila umeme unaweza
1. Shika mtu na akashindwa kujitoa.
kama tu huo umeme utakua katika kiasi cha kupoozesha mfumo wake wa fahamu...mtu huyo hata jichomoa ataganda hapo hapo hadi maji yake mwilini yapungue ndo ataachiwa...
DHANA YA KURUSHWA NA UMEME.
2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...
Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...
Pale binadamu anapogusa umeme bahati mbaya,ubongo wake husababisha awashe hisia za kujiokoa..
Kwakua kilichosababisha changamoto ni umeme husababisha taarifa mvurugano hupelekea mtu huyo kusahau nyakati flani ambazo alikua akijiokoa..
Hivyo kama ikitokea umegusa kifaa cha umeme sebuleni na baadae ghafla ukajikuta chumbani si kwamba umerushwa hadi huko...hapana
Ulikimbilia huko wewe mwenyewe kwa miguu yako...sema tukio lilitokea kwa haraka ukiwa katika hali ya kupoteza kumbukumbu...kutokana na mfumo wako wa fahamu kuingiliwa na umeme...
So pale kumbukumbu zitakapo kurejea utahisi umefika hapo kwa kurushwa...
Kuna mmoja alirushwa toka jikoni hadi kwa jirani....hahahah
USIKU MWEMA.
Transiator.
Kuna swali hili pia nisaidie katika utoaji wako wa elimu mkuu maana sijajibiwa hadi sasaThe Spirit of Tanzania Mkuu naomba nipe dakika mbili kidogo naona kama kuna mambo yanatala yasiwe sawa kuhusu haya maswali sijaona changamoto hapo
Wewe acha tu! Nilirushwa na umeme nikatua kule na kubiringita mara 3.....i actually experienced a push from electric shock.....
Umeme unarusha sio dhana....haijakukuta tu usingeweka uwo uzi.
Hii ni Kwa ajili ya kunasua mtu kashikwa na umeme wenye voltage kubwa(UMEME KAUSHA MAJI) wa kwenye nguzo za umeme.....ila umeme wa nyumbani unashika na kukuachia kwa msukumo wa low voltage(UMEME USIMSHIKE UKIMSHIKA TUPA KULEEEE)View attachment 3186389
Kama umeme unarusha unajua matumizi ya hii mkuu...?
Sawa nielezee kisayansi au kitaalamu namna umeme unaweza kukurusha,bila kuhusisha maamuzi yako binafsi ya kujiokoa kupitia ubongo wako wa maamuzi au kupitia ushawishi wa Oblongata!Hii ni Kwa ajili ya kunasua mtu kashikwa na umeme wenye voltage kubwa(UMEME KAUSHA MAJI) wa kwenye nguzo za umeme.....ila umeme wa nyumbani unashika na kukuachia kwa msukumo wa low voltage(UMEME USIMSHIKE
1. Kinacho determining power ya magnets inategemea ni tempo au perm fadanua swali vzr kanuniKuna swali hili pia nisaidie katika utoaji wako wa elimu mkuu maana sijajibiwa hadi sasa
Mkuu umesoma umeme upande wa Electromagnetism si ndio
Naomba nisaidie maswali haya
1.Ni nini kinacho determine the powerfulness of magnetism,kupitia jibu lako nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.
2.Ni namna gani eneo la uzalishaji wa magnetism inaweza affect nguvu ya electromagnetism nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.
3.Nitajie vyanzo vya kuzalisha electromagnetism na niambie kipi bora zaidi na uthibitishe ubora huo kupitia kanuni za kila chanzo kuonyesha ubora wake..
Nawakilisha
NOTE:Usitumie chatGPT sababu majibu ya mfumo huo ni ya ki A.I yanajulikana..
Karibu...
Jiachie boss huo ni uwanja wako wa kutoa lecture iwe permanet au tempolary ni wewe tu kujimwaga kutofautisha na kutoa makanuni...1. Kinacho determining power ya magnets inategemea ni tempo au perm fadanua swali vzr kanuni
Nakuja wakuunakua natingwa n kazi
Hakuna sayansi ila ni dhana tu broo...hapo kinachotokea ni function of centra nervous system....which draw away a victim's body unconsciously from danger.....sasa hapo kwasababu hatujasoma mifumo ya fahamu ya mwili inayorespond the external stimulii.......tunasema tu hivi Nimerushwa na umeme.Sawa nielezee kisayansi au kitaalamu namna umeme unaweza kukurusha,bila kuhusisha maamuzi yako binafsi ya kujiokoa kupitia ubongo wako wa maamuzi au kupitia ushawishi wa Oblongata!
😀😃🤣Naombeni msamaha wakuu.
🙏🙏🙏🙏🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏