Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Nyie ndio wanawake wenye roho mbaya
 
Apo sasa bora chumba utaandaa ,,,ndo msosi mmetoka kumalizia umechoka mwenyewe, unaanza kupka tena😰
 
Nyie ndio wanawake wenye roho mbaya
Hamna
Watu wazima wakija kwako unatakiwa ujue uwaandalie vyakula vya uwakika vizuri na uwatengenezee vyumba vizuri
Mi napenda hata kama sio mtu mzima akija kwangu ale vizuri anywe vizuri
Sio anakuja mtu kzima kwako unaagiza mboga rahis kama dagaa au vitu kama hivyo
Trust me nikipata taarifa hadi kuku nitakuchinjia
Ila assume unaingia mida ya saa tatu
Nitafanyaje hapo?
 
Yaaani umenichekesha sana
Maana mimi nikitokaga kijijini begi la nguo na vifurushi vya kupeleka jikoni nu ngumu kutofautisha coz huwa nabeba kuanzia parachich hadi karoti,viaz ,maarage na kila kitu
Ni jambo jema maana unakua umebeba vitu vya kusogeza siku, lini nami utaniletea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…