Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

nchi za afrika trump aliziiti shit hole yaani shimo la mavi, viongozi wake si ndio atawaita uharo? Museveni tu alitishia kumkamata na kumfunga jela, haijulikana Trump anamheshimu kiongozi gani wa nchi gani ya Kiafrika na atatembelea nchi gani ya afrika kama ataendelea na dharau zake kwa mabara mengine. Ulaya yenyewe anaiona kama nyanya masalo tu
Kama Zele kafanyiwa hivyo
Sasa nataka na viongozi wa nchi masikini wawekwe mbele ya makamera wanapoenda na bakuli kuombaomba
Hiyo itapunguza safari zao za nje kwenda kuomba
Trump ashikilie hapo hapo
UK naona Waziri mmoja kaachia ngazi kisa PM alisema anapunguza sana misaada ili aongeze bajeti ya Ulinzi
Kila mmoja apambane na hali yake
 
Zele ana tamaa sana
Aliitwa Dictator bado hakielewa tu
Kwa ujinga wake na tamaa za kusaini mkataba ndio udenda ukamtoka
Sasa katimuliwa hata Dinner hakula masikini 😄 🤣
....zoba sana.....unatunisha vipi misuli kwa mtu kama Trump ?!!
Ama alikuwa ndotoni akidhani pembeni yake yuko Rais Joe Biden ?!!ha ha ha
 
Trump anampasulia ukweli kuwa "nguvu hana" halafu anataka aisukume dunia katika VITA VIKUU VYA 3....hivi ukiacha Urais wake kwa watu wake , Zelensky anawafanyia kazi akina nani kufikia malengo ya hivyo vita vya 3 vya dunia ?!!
 
Trump nae anashida, Ukraine ipo kwenye vita miaka yote ila anataka wapanda kichwani , hii sio sawa naungana na Ukraine,
....umeingia kihisia zaidi ya uhalisia....macho yako hayaoni kuwa NO REFORM NO ELECTIONS can not be bought by a person like president Trump ?!! Ha ha ha
 
"Nje
Kama Zele kafanyiwa hivyo
Sasa nataka na viongozi wa nchi masikini wawekwe mbele ya makamera wanapoenda na bakuli kuombaomba
Hiyo itapunguza safari zao za nje kwenda kuomba
Trump ashikilie hapo hapo
UK naona Waziri mmoja kaachia ngazi kisa PM alisema anapunguza sana misaada ili aongeze bajeti ya Ulinzi
Kila mmoja apambane na hali yake
"...nje hatuna wajomba"-Hayati JPM (resty easy amen).
 
Back
Top Bottom