Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
"Nje
"...nje hatuna wajomba"-Hayati JPM (resty easy amen).Kama Zele kafanyiwa hivyo
Sasa nataka na viongozi wa nchi masikini wawekwe mbele ya makamera wanapoenda na bakuli kuombaomba
Hiyo itapunguza safari zao za nje kwenda kuomba
Trump ashikilie hapo hapo
UK naona Waziri mmoja kaachia ngazi kisa PM alisema anapunguza sana misaada ili aongeze bajeti ya Ulinzi
Kila mmoja apambane na hali yake