Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

Hawa wa maeneo ya huko ni wababe sana
Kuna wakati Trump alimwambia kuna stupid president
Jamaa alimwangalia nikasema atampiga
Lakini ikumbukwe Trump kafanya makusudi kwa press hiyo
Sasa mjue marais wa Africa wanapoenda kuomba huwa wanafanywa nini
Bora Sele kajitetea na dili naona limekufa rasmi maana hata Dinner aliyoandaliwa aligoma kwenda
Huyu Rais wa Ukraine ni mfano wa kuigwa, kakomaa na msimamo wake hadi mwisho. Hivi ilikuwa na maana gani kuweka live haya mazungumzo?. Katoa somo kubwa hata kwa marais wa Afrika, hata kama tuna shida, basi zisitufanye watumwa.
 
Kwa mara ya kwanza nimemuonea huruma Zelesky kwa upumbavu wake. My thoughts are to Ukrainians to see their leader is humiliated and like this on live media. It's truly saddening.
When you are poor, you should have a very well diplomacy and hypocrisy to deal with today's politics.
Again, sad.
From your foggy orchard, you misconstrued the each bit of situation as it was unfolding. Of course well aware of threats lying ahead, Zelensky stood his ground, while amplifying his position by highlighting the historical perspective of the conflict.
 
Atavuna anachopanda.
Kweli kabisa mkuu. Ajiulizi kwa nini kila kiongozi wa ulaya hasa nchi zile zenye nguvu za kijeshi, kama France na UK wamekimbilia huko kwa Trump kumsihi aendelee kuwa saidia Europe (NATO) kijeshi. Na wanapiga magoti tena hapo Oval Office Wing asiwatupe katika vita ya Ukraine. Zelensky soon will pay for his irresponsible behavior against American people and their President. Surely
 
US kupitia Trump wanataka rare earth metals from Ukraine kwa ahadi ya kumaliza vita...
 
....zoba sana.....unatunisha vipi misuli kwa mtu kama Trump ?!!
Ama alikuwa ndotoni akidhani pembeni yake yuko Rais Joe Biden ?!!ha ha ha
Hawa jamaa nadhani hawapatani tokea awali kabla ya Trump kuwa rais, angalia video kabla ya Trump kuwa rais.
 
Plan B yake ni nini bila support ya US?
Dunia nzima inajipanga kuendelea bila US.

Europe inam support. Zelensky. Spain, UK, France wote wamesema wanam support Zelensky na Ukraine.

Kumbuka kulikuwa na deal ya kufaidisha pande zote pale, US walikuwa wanachujua madini kutoka Ukraine, kwa hiyo haikuwa msaada tu kwa Ukraine.

US ime exaggerate msaada wake anyway. Trump kasema msaada wa US ni zaidi ya Europe, amesema ni kama dola bilioni 350.

Huo ni uongo. Ukweli ni kwamba msaada wa US ni kama dola bilioni 100 tu.

Sasa hivi kila rafiki wa US anayetegemea US anajipanga kuendelea bila msaada wa US kwa sababu US inaonekana haitegemeki. Hili ni jambo baya sana katika diplomasia ya US.
 
Namtafuta jamaa yangu mmoja aitwaye Kibera kama yuko humu anitafuta nataka kunena naye.
 
Kingine sio kiburi ni ujinga watu wamekupa zaidi ya dola bilion 3 bure anakuja raisi mwingine anakuambia tutafute amani sisi hatuna msaada wa bure tena unaleta ujuaji sasa twende kwenye uhalisia Ukraine anakusudia kumshinda vita mrusi??

Nilitarajia angesisitiza mazungumzo ya kukatisha vita ndo mana trump anamuambia anataka vita ya tatu ambayo sidhani kama dunia iko tayar nayo kwa sasa


Kama bado vita unaitaka leta madini uendelee na vita yako bado hutaki si ujinga yaleyale kukorofisha wenzio ukitegemea msaada
 
Zele ni boya hiii vita ata akiamka kesho aka withdraw inaishia lakini ana taka kukomaa na vita ambayo hawezi shinda hata akipewa jeshi la US
A-withdraw kwenda wapi? Wayukrein wondoke Ukraine?
 
Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani.

Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana.

Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele ya ofisi yao kuu.

Binafsi nimevutiwa na ujasiri wa Zelensky, ni wanaume wachache wanaweza kukaribishwa ugenini na bado wakamkoromea baba mwenye mji😂.

View: https://x.com/EndWokeness/status/1895528891164606810?s=09

𝚆𝚊𝚝𝚞 𝚋𝚑𝚗𝚊, 𝚜𝚒𝚓𝚞𝚒 𝚑𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚗𝚊𝚝𝚊𝚣𝚊𝚖𝚊 𝚖𝚖𝚋𝚘 𝚔𝚠𝚊 𝚓𝚒𝚌𝚑𝚘 𝚐𝚊𝚗?

𝙷𝚞𝚘 𝚖𝚔𝚞𝚝𝚊𝚗𝚘 𝚊𝚞 𝚔𝚒𝚔𝚊𝚘 𝚌𝚑𝚊 𝚓𝚞𝚞 𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚛𝚎𝚔𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚒𝚍𝚒𝚔𝚊 𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚍𝚒𝚗 𝚊𝚍𝚒𝚖𝚞 𝚗𝚊 𝚊𝚍𝚑𝚒𝚖𝚞 𝚗𝚊 𝚢𝚘𝚝𝚎 𝚑𝚊𝚢𝚘 𝚗𝚒 𝚔𝚠𝚊 𝚞𝚔𝚒𝚗𝚐𝚊 𝚠𝚊 𝚑𝚞𝚢𝚘 𝚛𝚊𝚒𝚜 𝚊𝚕𝚒𝚎𝚝𝚊𝚔𝚊 𝚟𝚒𝚝𝚊 𝚔𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚝𝚎𝚐𝚎𝚖𝚎𝚊 𝚖𝚒𝚜𝚊𝚊𝚍𝚊.

𝙺𝚊𝚊𝚖𝚋𝚒𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚖𝚋𝚘 𝚔𝚊𝚍𝚑𝚊𝚊, 𝚒𝚔𝚒𝚠𝚎𝚖𝚘 𝚖𝚊𝚍𝚒𝚗𝚒 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗 𝚗𝚊 𝚞𝚌𝚑𝚊𝚐𝚞𝚣𝚒 𝚑𝚞𝚛𝚞 𝚔𝚠𝚊 𝚞𝚔𝚛𝚊𝚒𝚗𝚎. 𝙸𝚕𝚊 𝚋𝚒𝚕𝚊 𝚔𝚞𝚜𝚊𝚑𝚊𝚞 𝚊𝚖𝚎𝚙𝚎𝚠𝚊 𝚜𝚑𝚊𝚛𝚝 𝚕𝚊 𝚔𝚞𝚊𝚌𝚑𝚒𝚊 𝚖𝚊𝚎𝚗𝚎𝚘 𝚢𝚘𝚝𝚎 𝚊𝚖𝚋𝚊𝚢𝚘 𝚞𝚛𝚞𝚜𝚒 𝚊𝚖𝚎𝚢𝚊𝚝𝚊𝚔𝚊.

𝚂𝚊𝚜𝚊 𝚑𝚊𝚙𝚘 𝚔𝚒𝚗𝚊𝚌𝚑𝚘𝚎𝚗𝚍𝚎𝚕𝚎𝚊 𝚗𝚒 𝚔𝚞𝚕𝚎𝚝𝚊 𝚖𝚋𝚠𝚎𝚖𝚋𝚠𝚎 𝚗𝚊 𝚊𝚘𝚗𝚎𝚔𝚊𝚗𝚎 𝚊𝚗𝚊𝚊𝚔𝚒𝚕𝚒 𝚗𝚊 𝚞𝚌𝚑𝚞𝚗𝚐𝚞. 𝙸𝚕𝚊 𝚔𝚒𝚞𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚑𝚊𝚗𝚊 𝚕𝚘𝚕𝚘𝚝𝚎 𝚊𝚝𝚊𝚕𝚘𝚕𝚒𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚗𝚊 𝚞𝚗𝚒𝚗𝚐𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚞𝚖𝚎𝚖𝚏𝚒𝚔𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚑𝚊𝚙𝚘.
 
Back
Top Bottom