Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

Hilo deal la Trump limekaa kimtego. Yaani asain contract ya kuvuna madini ya Ukraine ili tu akaishawishi urusi a cease fire huo ni uonevu.
Kuna muulizaji aliuliza what if zelensky akisain Hilo deal na urusi asisitishe vita? Majibu aliyopata hayakuridhisha.
 
Shukrani, nimeelewa.
 
Russia hakutaka kuvamia kama sio UK kukaza fuvu na lengo lake sio kuwafukuza wa Ukraine. Hii vita inge8sha kipindi kile wame kaa kupata suruhu ila Uk aka jitoa kwenye mazungumzo
Umesema Ukraine aki-withdraw, vita inaisha. A-withdraw kwenda nchi gani?
 
Jamaa n wapuuzi sana wao ndo walitaka kumdharau na kumdhalilisha kikao kama hichi n cha siri ila wamejaza media ili wamtukane live ata mm ningevimba
Nimeshangaa kuona watu wanasema Zele ana dharau. Yeye ndio kadhalilishwa. Namsupport kwa kusimamia nchi yake. Huyo VP wa USA ana kiburi sana.
Zele kauliza tuingie peace deal na Russia mna uhakika atatekeleza? Na kaeleza jinsi Russia alivyokiuka makubaliano.
 

Ukraine bila msaada wa USA hii vita anapigwa baada ya wiki 3 maximum.
Europe hana silaha za kupigana na Russia yani nao wanamtegemea US kwenye upande wa silaha. Ukraine bila NATO wasingeiwezq hii vita wanasaidiwa silaha, wanajeshi na pesa.
Sasa huyu comedian Zelensky hana namna anaenda kupigwa na Russia sio muda mrefu. Na wenzake watamgeuka aiachie Ukraine.
 
Umesema Ukraine aki-withdraw, vita inaisha. A-withdraw kwenda nchi gani?
Watu wanaona ni rahisi tu Ukraine kumuachia Russia aingie na kuweka utawala wake pale Kiev. Hii ina affect sana Europe yote na kwa namna nyingine ina affect US as super power.
 
Lakini wao ndio walioanza kumkalipia. Angalia video inayoonyesha tangu mwanzo. Alianza Trump kumkalipia akafuata JD Vance
 
u super power wa us ulijengwa kwenye misaada yake. anapositisha misaada yake ajue na control juu ya anaowasitishia misaada inakoma. I is this how to make america great again?
 
Hope viongozi wa Africa wana cha kujifunza hapa. Mtu kasaidiwa sana hakubali kuiuza nchi yake. Well done Mr. Zelensky
 
Zele ana tamaa sana
Aliitwa Dictator bado hakielewa tu
Kwa ujinga wake na tamaa za kusaini mkataba ndio udenda ukamtoka
Sasa katimuliwa hata Dinner hakula masikini 😄 🤣
Dinner Nini? Mwanaume unaalikwa eti unajutia kutokula dinner?

Zelesky ni jadiri na mwenye busara sana Tena hapo kawavumilia mno maana wamwanza kumponda kitambo sana hata kabla hawajashinda uchaguzi
 
Yani Trump anajijua ana-vimiaka vyake vinne tu kwahiyo ni kuropoka tu.
 
Sawa.

Lakini wakiona wananyanyaswa na USA ni haki yao kuamua kuachana na msaada wa USA na kupigwa katika hizo wiki 3.

Nchi yao, maisha yao, vita yao.

Shida iko wapi?
 
Hii ni point kubwa sana mkuu asipokukuelewa achana naye
 
I
Hii yote inaonesha ukiwa na uchumi unakuwa na kiburi na kujiamini, muone JD na Trump wanavyoongea kwa kujiamini bila kigugumizi kama Zele. Wakuu tutafute hela.
li tusigongew wake zetu hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…