Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Siyo kelele tu, kanisa/makanisa yangechomwaWakati mwingine wakafanyie hayo maigizo yao kwenye misikiti! Kwa nini kanisani kila siku? Yeye na huyo mwezi wake, wote ni waislam! Iweje wasiende kufanyia hiyo shooting msikitini, au kwenye Madrasa?
Hongereni sana BASATA. Angekuwa ni Mkristo akaenda kufanya hayo maigizo msikitini, muda huu zingekuwa kelele nchi nzima.
Na usisahau kitimoto huwa inabaki nyingi sana wakati wa mfungo wa Ramadhani... Hata huko kwenye rost au kavu nako huwa inabaki nyingi sana kipindi hicho..Huelewi unachokisoma hakuna Mwenyezi Mungu alipotoa sacrifce, hilo ni agizo kwa Ibarahim.Na ambalo Waislaam mpaka leo hii, wanachinja kila Eid Al Ad'ha au Eid Ahaj.
Tunaochinja hao wanyama ni sisi binadam kwa faida yetu sisi, Mwenyezi Mungu haihitaji hiyo nyama. Nyama ya hao wanyama wanaochinjwa huliwa na sisi binadam, inatawanywa karibu na inapochinjwa kwa yeyote na wanapotosheka inagawanywa duniani kote wanapohitaji, mpaka tanzania huwa inaletwa.
Hapo ndipo tulipopata mafundisho ya uchinjaji huo wa wanyama. Hakuna kinyume chake kama unavyojaribu kupotosha wewe.
Sasa fananisha hiyoi na nyie mnaekula nyama ya Yesu na kunywa damu yake. Tena cha kushangaza huo mnaosema mwili wa yesu mnaupika kwa mashonde. Bisha nikupe aya ya biblia.
Tena kwa kukukumbusha tu, Tanzania bei ya kondoo na mbuzi hupanda sana kipindi cha Eid kuliko wakati wowote.
Ma shaa Allah, mafundisho ya Qur'an ni faida juu ya faida juu ya faida. Kumbuka hilo.
Emu naomba huo wimboKwa uchawi hawamuwezi, kwa pesa hawamuezi na hata kwa connection hawamuezi, sasa analialia nini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi sana apigwe na fine ya kuvaa msalaba wao bila kibali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati mwingine wakafanyie hayo maigizo yao kwenye misikiti! Kwa nini kanisani kila siku? Yeye na huyo mwezi wake, wote ni waislam! Iweje wasiende kufanyia hiyo shooting msikitini, au kwenye Madrasa?
Hongereni sana BASATA. Angekuwa ni Mkristo akaenda kufanya hayo maigizo msikitini, muda huu zingekuwa kelele nchi nzima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu anampa featuring Sheikh Kipozeo kwenye hiyo scene mpya! Safi kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeshasema ni mkristo
Domo na zuchu waislamu. Misikiti ipo mingi tu tena kuna mmoja huwa anasema kaujenga angeenda huko kushutia video zake
Aende msikitini akashutie huko, asituletee za kuletaNi haki yake kulalama
Ila mimi mpaka sasa sijaona kosa la Mondi
Unampangia atumie jengo gani ? Ulimtungia nyimbo au ulikuwa Director wa hio Scene ?
Tutakapoanza kupangiana cha kufanya na wapi tukifanye basi dunia hii itakuwa a very Boring Place..., Yaani Magereza ya Nje
Sawa nakutumia WhatsApp...Emu naomba huo wimbo
Niangalie, nipate cha kucomment.
Kumbe ni ule π€£Sawa nakutumia WhatsApp...
Done...
Ubaya upi umeuona pale??Kumbe ni ule π€£
Naujua vizuri sana, ila sijawahi tizama video yake.
AmekoseaUbaya upi umeuona pale??
Tusimulie...
Tatizo anajiona star kama nyimbo ya Mabantu...Amekosea
Kuwahadaa watumishi wa hilo Kanisa na pesa zake, maana pale panaonekana kutokuwa mjini kabisa.
Katumia njaa za watumishi π sababu Katoliki hatuingiagi na simu Kanisani.. yeye kwanini aact vile?
Alichokosea kingine pale hakuna ujumbe wowote positive..
Wasituletee ustaaaTatizo anajiona star kama nyimbo ya Mabantu...
Ila Mabantu huawaga wana mistari very unique...Wasituletee ustaaa
Sisi wenyewe mastaaa
Unataka Rrrrr na hauna salio? NyooIla Mabantu huawaga wana mistari very unique...
Hahahaha...
Wamechana sana mule wamemaliza Kila kitu...