Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

Irene uwoya ndo mlezi wa mtoto yule
 
Kwenye ubarikio wangu,kitambo hicho,nilipatiwa cheni ya dhahabu gram za kutosha. Nilijisikia faraja sana. Baada ya sherehe kuisha, mwenyewe akaja kuchukua cheni yake


Nakumbuka mwaka 2010 katika harusi (Ndoa ) ya Mjomba wangu.

Alipewa godoro Kama zawadi na mama mdogo Ila Baada ya harusi mama mdogo alichukua godoro lake.

Hili godoro alipewa mchango (zawadi) kutoka kwa wanachama wenzake hili aje amtunze ndugu yake katika harusi.

So kilichotokea ndo hicho , mama mdogo alichukua godoro lake alilotunza.

Japo wakati analitoa ilileta hamasa ,amsha amsha n.k tena kijijini.

By that my uncle alikuwa yupo chuo so alichukulia Kama zawadi nzuri.

Nilichojifunza kutoa kitu unachokipenda sio Kazi nyepesi watu wachache ndo wamebarikiwa huo uwezo.
 
Aisee
 
Dua zetu kwa kijana Nasibu kwa kujitolea
 
Ni jambo jema na la kiungwana πŸ’ͺ ikiwezekana na amkatie pia bima ya afya katika kipindi hicho. cha kumpatia elimu yake
 
Kuna watoto mondi aliwah watoa kayumba akawapeleka english medium lakin baada ya mwaka mmoja akawatelekeza huko bila kuwalipia ada
Haaminiki huyu Mondi ana misifa wale wadogo walishinda ile ngololo ngololo ya wimbo wake My Nimber one. Shule aliyoitangaza kuwapeleka ni East Africa International School ipo pale Mikocheni
 
Mbona alirudia kusisitiza kuwa sio diamond bali kampuni ya wasafi media na hili alirudia kulisisitiza. aliyesema ni mkurugenzi wa wasafi media ila alisema kampuni ndio itamsomesha.
Haya mambo ya ahadi za kusomesha wengi ambao huzitoi huwa zinawashinda katikati. Jiepushe kutoa ahadi ukiwa na furaha sana au huzuni sana.
 
Haaminiki huyu Mondi ana misifa wale wadogo walishinda ile ngololo ngololo ya wimbo wake My Nimber one. Shule aliyoitangaza kuwapeleka ni East Africa International School ipo pale Mikocheni


Kinachotokea hapo ni wazazi wa hao watoto.

Mfano umeingiziwa mil 30 za mtoto kusoma hadi standard seven na hela inakaa katika account ya mtoto.

Wewe unaamua kumuamisha shule na kuchukua ile hela kufanyia mambo yako unayohisi yatapunguza ukali wa maisha.
 
Kwahiyo ,aliamua brother aende kulalia ebishweko na ka wife kake dah πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…