Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

Ilikuwa hivyo sema jamaa alikiwa na godoro lake so haikumu-affect Sana.

Japo ilitafsirika vibaya Kama ushirikina .

Japo Mimi baada ya kukua niligundua ni umasikini tu ndo ulikuwa unasumbua hapo.
Mpe pole Sana bro wetu ,mwambie mwezi wa kumi mwishoni niko Uzunguni ,akuje walau tupate kufurahia badala yako kaka
 
Hapo hakuna msomaji, kaenda sana form six, halafu wasafi wataanza kumsafisha na kumfungulia njia
 
Utaratibu wa kienyeji huo, alipe Kampuni ya Bima leo ili imsomeshe na kumpa mahitaji kipindi chote. Nasibu akifa leo?
 
Mboyoyo nyingi sana huyu Chalii kuna wale Watoto walioshinda ile My Number one dancing mwaka 2014 sijui kama aliwasomesha ? Walikuwa watatu aliwaahidi kuwalipia ada International school ipo pale Mikocheni maeneo ya Clouds FM
Blah blah tu msibani jana watu wengi walienda kuuza sura tu
Sahvi labda familia ndiyo itajuwa ya mbeleni

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…