The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mbona Babu wa Loliondo alitoboa uzeeni?Duh! Ila haya maisha ukishafikisha miaka 40 na uwe huna chochote Cha kujivunia Ni Bora uanze kuutafuta ufalme wa mbinguni maana huku Duniani hutoboi tena
Hakuna binadamu asiye na kitu Chief sema inategemea na wewe ili uwe na kitu unatafsir vipi.Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Umemaliza π―Tutakutana kaburini
Hapana kimbia riadha. Kuna kijana Geay juzi kashinda Boston Marathon ambapo zawadi peke yake kama milioni 170 achilia mbali appearance fee na hela za wadhamini wake. December last year alipiga tena hela kama hizo. Ingia kwenye riadha hakuna longolongo kila kitu kipo wazi ni mbio zako tu.Inaumiza ila ndo ivo.....ngoja nami nianze kuimba
Wewe una nini, tuwekee ushahidi hapa tuuone.Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Kama mwili wote ungekua jicho sikio lingekuwa wapi? Kila mja ana majaliwa yake jamaniNi aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Asante sana,ngoja nianze jogging asubuhi maana sijawahi kimbia...nsogopaga kuanguka nikateguka miguuπHapana kimbia riadha. Kuna kijana Geay juzi kashinda Boston Marathon ambapo zawadi peke yake kama milioni 170 achilia mbali appearance fee na hela za wadhamini wake. December last year alipiga tena hela kama hizo. Ingia kwenye riadha hakuna longolongo kila kitu kipo wazi ni mbio zako tu.
Daa,unakuwaga na majibu ya Busara sana mkuuπKibongo Bongo Maisha yaanza ukiwa na umri wa miaka 40.
Life begins at 40
Wacha kutufanya tu overthink kuhusu maisha ya Duniani wakati ukifa hauendi hata na Kijiko cha Chai π€
Shukrani sana Mkuu ππDaa,unakuwaga na majibu ya Busara sana mkuuπ
Utajiri autafitwi kwa nguvu wala ujanja utajiri uja wenyewe tu hata yeye ukimuuliza ilikuwaje ukawa tajiri akiwa mkweli atakwambia sijui bali kila nilifanyalo tu hela zina kuja akiwa mshenzi atakwambia bila akili ningekuwa masikiniNi aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...