Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Hata mimi zamani nilikuwa najiuliza kama Fergusson ndo mwalimu wa Beckham kwanini asiwe tajiri kumzidi Bekham wakati yeye ndo mwalimu? Bilionea Tony Elumelu katika kujielezea alipotoka kasema kilichompa mafanikio ni kupiga kazi kwa bidii na bahati. Ndo Motivational speaker pekee niliyeona kaongea ukweli. Bila bahati ni ngumu mno kuwa tajiri hata uwe na bidii na maarifa ya dunia nzima. Ukiachana na ishu ya umri kuna wale waliokuwa wanagonga A tupu kwenye mitihani leo wamezidiwa na waliopata division III.
 
Inaumiza ila ndo ivo.....ngoja nami nianze kuimba
Hapana kimbia riadha. Kuna kijana Geay juzi kashinda Boston Marathon ambapo zawadi peke yake kama milioni 170 achilia mbali appearance fee na hela za wadhamini wake. December last year alipiga tena hela kama hizo. Ingia kwenye riadha hakuna longolongo kila kitu kipo wazi ni mbio zako tu.
 
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Kama mwili wote ungekua jicho sikio lingekuwa wapi? Kila mja ana majaliwa yake jamani
 
Kutu kibaya zaidi ni kuridhika na ulipo kwa sasa,Juhudi na maarifa vinahitajika zaidi ili kufanikiwa zaidi.Wote hatuwezi kulingana hata siku moja.Kinachotakiwa ni kua at least na maisha bora na sio bora maisha
 
Hapana kimbia riadha. Kuna kijana Geay juzi kashinda Boston Marathon ambapo zawadi peke yake kama milioni 170 achilia mbali appearance fee na hela za wadhamini wake. December last year alipiga tena hela kama hizo. Ingia kwenye riadha hakuna longolongo kila kitu kipo wazi ni mbio zako tu.
Asante sana,ngoja nianze jogging asubuhi maana sijawahi kimbia...nsogopaga kuanguka nikateguka miguu😒
 
Hicho kimekuwa ni kipengele cha kumfanya mtu ashindwe kuweka bayana umri wake pindi happy birthday yake ifikapo,
Na endapo atataka kugombea nafasi za ajira ndipo hutaja,
Huo ni uoga tu "ukijilinganisha sana utaumia mno"
 
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Utajiri autafitwi kwa nguvu wala ujanja utajiri uja wenyewe tu hata yeye ukimuuliza ilikuwaje ukawa tajiri akiwa mkweli atakwambia sijui bali kila nilifanyalo tu hela zina kuja akiwa mshenzi atakwambia bila akili ningekuwa masikini
 
Back
Top Bottom