Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Wameimba sana, wametukuza sana, wamesifu sana na kuunga mkono sana.
Sasa yanakuja yanayotusibu nao yanawakuta.
" Akimakiza huku atahamia huko"---- By Tundu Lisu
 
cloud ni mdudu gani??? subir wasafi tv iwanyooshe na tunasomba wafanyakazi wote pale abakie jamaa mweusi kama lami yule, demu wake tushamchukua
 
Ila WCB sometimes wanakera sana,yan tangu wiki jana kila kona Unaona post zinazowahusu wao tuuu huko instagram ndo hata kupata dondoo za sok through Matchdaytz hatuwezi maana post za WCB zimezima page zote...
 
Diamond bila kumtia mtu mimba heshima haitakuwepo.. diamond kafanye yake
 
kumbukeni Diamond Na Paul Makonda Ni Marafiki Na Ndo Mlezi Wa Studio Ya Wasafi Huyo Shonza Hawezi Fanya Kitu Hapo Dady Yupo
 
Usikute wameshakulana hawa maana diamond naye asione sketi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bifu la kutosana wanalileta public

Nina wasiwasi na kipindi kile cha kampeniw.
 
Diamond tambaaa nae...

We gat ur back..
 
Kijana anapitia wakati mgumu sana,alidhan atakua poa ila siku zinavyozidi kwenda ndivyo anavyozidi kuharibu hali ya biashara
Ua jeusi chiboko.
Maana hata kama mtu una backup sio kwa hasira hizi
 

Kwanini mnachukua uanamke kama excuses?.. Diamond ana hoja za msingi haijalishi anaemjibu ni mwanamama au mwanamme
 

Mkuu umefunga mjadala..siendelei tena kusoma comments hii yko ni summary tosha.
 
Acha wampe kiburi chibu. Kumbe wanampa kaburi.

Jamaaa ushawishi wake unadrop deile.

Binafsi nahisi kama akiweka mambo sawa na clouds atazidi kupaa kuliko kuanza vita
Kwani hao cloud wanasikika na kuonekana dunia nzima bwana ? Wasafi tv na redio inafunguliwa very soon,wasimbabaishe,mond yuko juu kuliko hiyo cloud
 
Kwani hao cloud wanasikika na kuonekana dunia nzima bwana ? Wasafi tv na redio inafunguliwa very soon,wasimbabaishe,mond yuko juu kuliko hiyo cloud
Naitakia kila la kheri wasafi tv
 
sisi wengine huwa hatutaki kuyasema haya ...maana wenye team zao ...wameamua kujivisha vazi LA upofu wa kufikiri ....huwa wanasifu na kutetea mpka mambo ya kipuuzi """ teheee....hata hii comment pia wataipinga
 
sisi wengine huwa hatutaki kuyasema haya ...maana wenye team zao ...wameamua kujivisha vazi LA upofu wa kufikiri ....huwa wanasifu na kutetea mpka mambo ya kipuuzi """ teheee....hata hii comment pia wataipinga
Yuma ya diamond kuna nguvu kubwa mno ,huijui tu. Ana watu wengi ambao shonza hana na kibaya zaidi shonza hana ajualo kwenye system, sio kila mtu unaweza mvamia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…