ana nguvu na anajulikana kuliko uyo sugu wako anaye kusuguwaga
Kwahiyo unataka sema chibu asifanye interview na kituo chochote ila clouds tu?Diamond kumbe inauma eeehhh!!
Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...
Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?
Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!
Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.
Mchawi binadamu paka katumwa tu...
Shonza paka..mchawi unamjua sana!
I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
clean video ipo haina kale kadada sana,ingawa kuna scine moja kametokea,ili kukaona inabidi uweke stop ya haraka.Maana kuna =>clean version
=>Explicit 18+
We hapo unaangaliaga zipi mkuu mpenda maadili?
Yani humjui Diamond!!Hakuna asiyelipa kodi mzee. Msidanganyike na mbwembwe. Serikali ni kubwa kuliko msanii yeyote yule.
Kama anahisi ameonewa, afuate utaratibu na sio kuwananga viongozi wa taifa letu kisa kujulikana kwa kuimba.
Mawaziri wameteuliwa na mh rais. Kuanza kuwananga, ni kumnanga rais pamoja na serikali nzima.
Who is diamond kwa taifa hili na viongozi wake? Kama anaonewa ahame nchi akafanye muziki huko wanakoruhusu upumbavu na alipe huko hizo kodi
Hata kidogoLakini usiwe na roho mbaya mpenzi
Na ukimuona panya anajamba na kujichekesha mbele ya paka basi ujue shimo refu lipo karibu.Ukiona mbwa anatingisha mkia kwa madaha ujue bwana wake yupo nyuma
Hapana soma ueleweKwahiyo unataka sema chibu asifanye interview na kituo chochote ila clouds tu?
OkHata kidogo
We kaka wala simchukii diamond!Utasubiri sana, hata akianguka kesho mafanikio aliyonayo ni mfano wa kuigwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lohKwel
Huu ushauri mzuri
Ushauri mchambo
Beef diamond namjua Mimi?!!Aaa wapi, kwa unavyo onekana unabif na mond nini, mbona poooovuuuuuuu
diamond atakuwa anamtaka huyu binti hili bifu ni gia tu ya kuingilia [emoji23][emoji23]Hili bifu mbona kama mtu na ex wake
Mondi Leo Anaenda Time FM Kwenye Interview Kweri Jaman....???
Ebu Watu Wawe Serious Bass
Lil ommy ni mkali kuliko Dozen trust me Bro sema Dozen anabebwa na ukubwa wa CMGNamwona mbali Lill Ommy akimkalisha Dozen soon...
Sawa, akili yako tayari kunasehemu umekabidhi. Haiwezekani nijibu unachotakaaiseeee wewe Jamaa """ huelewi hata nachokiongea .....usiku mwema mkuu""
.....vipi mzee wa kunyata mna'mtema 2020 !?Watajuana Kivyao Bhana
Kipindi Cha Kampen Si Ndio Huwa Wanamtumia Uyo Kijana.....!!
Nimekumbuka Kauli Ya Mr President 2020 Tundu Lissu
Hawa Watu Wakimaliza Kwetu Watahamia Na Kwenu
Over
Dayamondi ana point ya msingi ila kwa huu uwasilishaji wake yatakuja mtokea puani. Huwezi shindana na serikali