Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

Kwamba ukiwa ccm hutakiwi kuguswa na TRA hata kama hulipi kodi,he is a true definition of an idiot
 
Eti utafikiri,TRA ni wapinzani
Hapo kama anajigonga tena kwa
Ccm

Ova
 
Eti utafikiri,TRA ni wapinzani
Hapo kama anajigonga tena kwa
Ccm

Ova

Wana akili basi hao kwanza kutaka kuwachongea TRA kua ni wapinzani wakati hajafuata sheria za kodi yeye mwenyewe anatafuta kivuli cha kujificha lakini inashindikana, alipe kodi aache janja janja
 
Chadema ipi inayopiginia wananchi? Chadema hii mwenyekiti wake anashinda Ikuru kulamba asali 🤣🤣 vijana wa Chadema acheni kuturagai.
 
Wewe ni mpumbavu sana, acha ukabila,

Kodi anadaiwa au hadaiwi?

Wachaga wanaingiaje hapo?

Hakuna wachaga CCM?
Kama hakuna hayo majimbo na kata zote uchagani kura mlipigiwa na nani?

Au ndio kura za mabegi meusi za wizi?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa mjinga sana- ukabila hauwachwi kwa mapovu kama unayotoa wakati kwa matendo unaonekana.
 
Hoja ya kusema TRA imejaa wachaga ni upuuzi na kujitoa ufahamu. Huna hata takwimu ya jambo unaloongea. Ebu orodhesha majina ya makamishna na maofisa wa TRA wa ngazi za juu, na katika hiyo orodha taja wachaga ni wangapi.

Kwa nini watu mnapenda zaidi ujinga kuliko werevu? Mazoea baadaye yanakujenga kwenye kitu unachojizoesha. Ukifanya mazoezi ya muda mrefu ya kuwa mjinga, baadaye utakuwa mjinga wa kudumu. Ujinga wa kudumu humfanya mtu awe mp.umbavu.

Jifunzeni kujenga hoja zenye data backing ya kutosha, siyo kuweka vioja.

Swali la msingi:

1) Diamond anadaiwa kodi au hadaiwi?

2) Kama anadaiwa, amewahi kupewa notice ya kulipa au hakupewa?

3) Kama alipewa notice, baada ya kupewa notice alifanya nini?

4) Najua kuna sheria ambayo ilitungwa na hili bunge uchwara kuwa TRA watakuwa na uwezo wa kufungia account ya mteja yeyote aliyeshindwa kulipa kodi. Je, kama Diamond ni mdaiwa sugu wa kodi, kwa kutumia sheria hizo hizo zilizopitishwa na hiyo kamati ya CCM inayoitwa Bunge, TRA wamefanya kosa gani la kisheria?

Tatizo, watu waovu huwa wanaweka sheria kwaajili ya kuwakomoa watu fulani bila kujua kuwa sheria hizo hizo siku moja zitatumika dhidi yao au wapendwa wao. Mbona akina Mbowe, Rugemarila, na wengine wengi waliwahi kufungiwa accounts zao? What special kwa diamond? Au anadhani kwa kutumika kwenye kampeni za CCM, maadam CCM ipo madarakani, hastahili kulipa kodi?
 
Mtoto ni Diamond ambaye suala la TRA anaanza kuwataja wapinzani. Alitakiwa aeleze kama anadaiwa kodi au hadaiwi. Sasa mambo ya wapinzani wakati unadaiwa kodi na TRA, taasisi iliyo chini ya Serikali ya CCM, huko si kukosa akili!!
 
hapana ngoja niendelee huwa wanasema badala ya kuchagua CHADEMA nyinyi mnachagua CCM
Uliambiwa na nani? Una biashara gani wewe, na ipo wapi? Usilete utoto mbele ya watu wazima wenye akili timamu.
 
Ninawezaje kuficha upumbavu wangu wakati upumbavu ni kipawa anachotoa Mungu.
Usifanye kufuru. Mungu humpa mwanadamu werevu. Ujinga na upumbavu ni chaguo la mwanadamu.

Uwendawazimu, upunguani na ukichaa ni magonjwa kama yalivyo magonjwa mengine.
 
Unaposema TRA wafuate taratibu, ungeeleza ni taratibu gani walizokiuka. Najua kufungia account ya bank ya mdaiwa sugu wa kodi bila taarifa, ipo kisheria, kwa kadiri ya sheria iliyopitishwa na hilo linaloitwa Bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…