beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Mkuu kuna watu wamekufa wameoza kwa diamond wanaweza wakasema diamond mkali kuliko Chris brown, R Kelly n.k kweli kupenda kubayainawezekana diamond mzuri mkuu inategemea unaangalia category gani. so chameleone anatungiwa na kuimbiwa na serikali yake? kwa mziki mzuri kamilioni yupo juu
Sio shemeji ake, ni mume mwenzie, zari alishakuaga na uhusiano na chameleonChameleone anashindwa kumheshimu shemeji yake?
Hujelewa nilichomaanisha,sijasema kukaza sauti!Ninazungumzia ni kukaza kwenye game,hajitumi ipasavyo!Yaani hatumii uwezo wake at its full capacity!Ni kama mashine inaweza kutoa umeme MW 100,halafu wewe kila siku unaioperate kwenye MW 50!Kukaza au kutokaza sauti si kipimo cha uimbaji.
Kipimo ni unajua vipi kuimiliki. Kuna waimbaji wa kiume wanapata sifa kwa kuimba falsetto. Luciano Pavarotti was an operatic tenor, huwezi kumtaka muimbaji wa tenor akaze sauti kama Buju Banton.
Na hata kwenye Dancehall Mr. Vegas (sauti nyororo) akianza kukaza sauti iwe ngumu kama ya Buju Banton ataharibu style yake.
Hivi unaposema Alikiba kamzidi diamond kimziki ua mnamaanisha kamzidi kwenye upande gani sasa...ebu naomba jibu....maana utasikia kamzidi kamzidi ukiuliza kamzidi nini hakuna jibuIt's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.
Kuna wanamziki kama Mr. Nice wamepata majina makubwa kwa promo tu. Now Diamond is not Mr. Nice, hata hiyo promo kuipata inabidi uwe na kitu kinachoonekana kwanza, lakini kwa maoni yangu anapata promo zaidi ya stahili yake kimuziki na Ali Kiba amemzidi kimuziki.
Hao ambao wana kiwango kikubwa kimuziki ni akina nani?Iwe Chameleon kasema au la, the truth is Diamond is waaay over rated.....He is a good businessman, amejitahidi kuwa na team nzuri kuanzia dancers mpaka management.....But when we talk about good music, ni wa kawaida saaana
Upo Sauzi gani mkuu? Ile ile ya kina AKA na Mafikizolo aliowapaisha? Au sauzi ya Nachingwea?Huyo anaejiita dimond watu huku sauzi wanamuona kama kimba la Jana
Team Kiba mtaumwaaaa sana Na Dawa hakuna mpaka Dawa hewa ziondolewee sokoni.yes that's true
NyoooooooooHuyo anaejiita dimond watu huku sauzi wanamuona kama kimba la Jana
Sijuihv jamaa alirudishiwa passport?
Right tena Right sana kinyonga level nyingineAcha kumfananisha chamilion na vitu vya kijinga
none hates diamond, but this is common some people are overrated while others are underrated( linex, jux, belle 9, mad ice)CHUKI na WIVU ni hatari kwa afya ya UBONGO..!
Hata Z-ANTo Kenya anakubalikaUkimsema vibaya Diamond ukiwa Kenya utapigwa bure, Kenya anakubarika sana NA Rose Mhando. Ukweli Chamillion akubali Kila kitabu NA zama zake.
ALICIA KEYS sio bora ? we acha masihara mkuuInakuaje ishu ya cameleoni Almasi mnamleta na yule msanii wa mikataba ya Sony au ndio mnataka kumpaisha asikike?
Niambie tu sauti aikufanyi kua ww kua bora
Wapo wasanii wenye sauti kama akina Dada Alicia Kelly lakini sio bora. Juhudi tu ndio zitakufanya uwe bora
Ni media gani anaeitumia diamond wengine hawatumii?
Au ni mitandao ya kijamii kama fb. Twitter istagram na mingine mingi wote wanatumia
Ubunifu utakusaidia sana katika kazi zako hata kama unasauti mbaya kuliko yule mwenye sauti ya kike
Camelioni siezi kumshangaa nahisi ni muathirika wa kifafa unakumbuka aliai kuamka usingizini akadondoka gorofani inawezekana wakti anaongea maneno hao alikua kwenye kifafa hico
Yule mwenye mikataba ya Sony alianza muziki mda sana toka machozi ya lady jaydee inatoka yy yupo kwenye gemu lakini hakuna alichokifanya zaidi ya sifa za uswahilini tu na wakati flani alipotea kabisa kwenye muziki akabaki diamond pekeake hapa bongo hadi aliposhauria na kupea promo kubwa sana alivyorudi lakini haikimsaidia kabisa zaidi diamond alipaa zaidi kwa sababu anatambua wajibu wa kazi yake