Diamond is overrated - Jose Chameleone

Diamond is overrated - Jose Chameleone

inawezekana diamond mzuri mkuu inategemea unaangalia category gani. so chameleone anatungiwa na kuimbiwa na serikali yake? kwa mziki mzuri kamilioni yupo juu
Mkuu kuna watu wamekufa wameoza kwa diamond wanaweza wakasema diamond mkali kuliko Chris brown, R Kelly n.k kweli kupenda kubaya
 
kwani msanii mzuri anapimwa kwa nini ?
Bila diamond muziki wetu ungekua bado sana
 
1469336450492.jpg
 
Inakuaje ishu ya cameleoni Almasi mnamleta na yule msanii wa mikataba ya Sony au ndio mnataka kumpaisha asikike?

Niambie tu sauti aikufanyi kua ww kua bora
Wapo wasanii wenye sauti kama akina Dada Alicia Kelly lakini sio bora. Juhudi tu ndio zitakufanya uwe bora

Ni media gani anaeitumia diamond wengine hawatumii?
Au ni mitandao ya kijamii kama fb. Twitter istagram na mingine mingi wote wanatumia
Ubunifu utakusaidia sana katika kazi zako hata kama unasauti mbaya kuliko yule mwenye sauti ya kike

Camelioni siezi kumshangaa nahisi ni muathirika wa kifafa unakumbuka aliai kuamka usingizini akadondoka gorofani inawezekana wakti anaongea maneno hao alikua kwenye kifafa hico

Yule mwenye mikataba ya Sony alianza muziki mda sana toka machozi ya lady jaydee inatoka yy yupo kwenye gemu lakini hakuna alichokifanya zaidi ya sifa za uswahilini tu na wakati flani alipotea kabisa kwenye muziki akabaki diamond pekeake hapa bongo hadi aliposhauria na kupea promo kubwa sana alivyorudi lakini haikimsaidia kabisa zaidi diamond alipaa zaidi kwa sababu anatambua wajibu wa kazi yake
 
Diamond wa kawaida sana..
watanzania hawakawii kusema diamond ni zaidi ya 2face idibia.. yaani kuna watu wanafikiri diamond ni mkali kuliko wasinii wote afrika..na ndio maana diamond alipokosa tuzo ya bet..walinuna wiki nzima
 
Kukaza au kutokaza sauti si kipimo cha uimbaji.

Kipimo ni unajua vipi kuimiliki. Kuna waimbaji wa kiume wanapata sifa kwa kuimba falsetto. Luciano Pavarotti was an operatic tenor, huwezi kumtaka muimbaji wa tenor akaze sauti kama Buju Banton.

Na hata kwenye Dancehall Mr. Vegas (sauti nyororo) akianza kukaza sauti iwe ngumu kama ya Buju Banton ataharibu style yake.
Hujelewa nilichomaanisha,sijasema kukaza sauti!Ninazungumzia ni kukaza kwenye game,hajitumi ipasavyo!Yaani hatumii uwezo wake at its full capacity!Ni kama mashine inaweza kutoa umeme MW 100,halafu wewe kila siku unaioperate kwenye MW 50!
Mwenzake Diamond anajituma halafu ni visionary!Hio ndio tofauti yao kubwa
 
It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.

Kuna wanamziki kama Mr. Nice wamepata majina makubwa kwa promo tu. Now Diamond is not Mr. Nice, hata hiyo promo kuipata inabidi uwe na kitu kinachoonekana kwanza, lakini kwa maoni yangu anapata promo zaidi ya stahili yake kimuziki na Ali Kiba amemzidi kimuziki.
Hivi unaposema Alikiba kamzidi diamond kimziki ua mnamaanisha kamzidi kwenye upande gani sasa...ebu naomba jibu....maana utasikia kamzidi kamzidi ukiuliza kamzidi nini hakuna jibu

Hao walioanza mziki zamani mbona wameshindwa kufika alipofika diamond...?

Basi ngoja niulize swali jepesi tu nje ya mada ..kati ya Alikiba na Benpol nani kamzidi mwenzie..?
 
Iwe Chameleon kasema au la, the truth is Diamond is waaay over rated.....He is a good businessman, amejitahidi kuwa na team nzuri kuanzia dancers mpaka management.....But when we talk about good music, ni wa kawaida saaana
Hao ambao wana kiwango kikubwa kimuziki ni akina nani?
 
Kama mnafikiri mziki mzuri ni kubana sauti, basi Kingwendu ni mkali kuliko wote hao.
 
Kinyonga hawezi linganishwa na huyu dogo wa tandale sizungumzi kishabiki wala ki team ila kinyonga ni level nyingine yule anafanya music wa kusikilizwa na kila mtu ila tandale mziki wake ni wa kundi fulani tu "Hebu vuta picha imepigwa valu valu na ikapigwa kidogo ya tandale unahisi nani atapata mashabiki wengi? Acheni kinyonga ni level za mbele hakuna wimbo hata mmoja wa tandale unaweza fikia wimbo wa kinyonga. Jamila, valu valu, tubonge, mamamia weeeee lazima uuze nyumba uende kwenye show ya kinyonga.
 
Inakuaje ishu ya cameleoni Almasi mnamleta na yule msanii wa mikataba ya Sony au ndio mnataka kumpaisha asikike?

Niambie tu sauti aikufanyi kua ww kua bora
Wapo wasanii wenye sauti kama akina Dada Alicia Kelly lakini sio bora. Juhudi tu ndio zitakufanya uwe bora

Ni media gani anaeitumia diamond wengine hawatumii?
Au ni mitandao ya kijamii kama fb. Twitter istagram na mingine mingi wote wanatumia
Ubunifu utakusaidia sana katika kazi zako hata kama unasauti mbaya kuliko yule mwenye sauti ya kike

Camelioni siezi kumshangaa nahisi ni muathirika wa kifafa unakumbuka aliai kuamka usingizini akadondoka gorofani inawezekana wakti anaongea maneno hao alikua kwenye kifafa hico

Yule mwenye mikataba ya Sony alianza muziki mda sana toka machozi ya lady jaydee inatoka yy yupo kwenye gemu lakini hakuna alichokifanya zaidi ya sifa za uswahilini tu na wakati flani alipotea kabisa kwenye muziki akabaki diamond pekeake hapa bongo hadi aliposhauria na kupea promo kubwa sana alivyorudi lakini haikimsaidia kabisa zaidi diamond alipaa zaidi kwa sababu anatambua wajibu wa kazi yake
ALICIA KEYS sio bora ? we acha masihara mkuu
 
Back
Top Bottom