Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

Mnamcheka mondi na wakati nyie wa tz kinge kwenu ni anasa bladfucken
 
Mzungu na mbongo wakiongea kiingereza huwa wanaelewana sana. Tatizo linakuja mbongo ukiongea kiingereza mbele ya mbongo mwenzako, lazima utaogopa kwasababu atachukua madhaifu tu ili akukosoe, tofauti na mzungu ambaye anaangalia main points ili muweze kuelewana. Shida nyingine ni kwamba mbongo anakusahihisha kwa lugha ileile ya kiswahili[emoji16]. Mzungu akiongea broken swahili anaonekana anajitahidi sana kuongea kiswahili na tunampongeza. Watanzania sijui nani katuroga.
 
sasa asome subtitle wakati anasikika anachoongea,, uoni kama hyo subtitles ndo imekosewa,,
Hahahaha aisee hebu tafuteni pesa mpeleke watoto shule za maana wasiwe wajinga kama nyie au kama huyo anayejiita bitch.

Yani wewe uliyoko kwa mtogole usikie vizuri sana maneno diamond kuliko editor na director ambao wako na diamond zero distance alafu unasema wamekosea subtitles ??? 🤣🤣🤣
 
Bitch ni neno slang linalotumika kumuelezea mwanamke, kwa mwanaume angetumia walau nigga

Afu kinachokuja kuleta shida ni pale unapomuona kwenye interview akitamba kuwa hakuna msanii bongo anayemzidi unyamwezi
Pursuit of fame, comes with insanity
 
Kwa hiyo mleta mada unataka kusema tumeoneshwa trailer ambayo haijafanyiwa editing kabisa na kila wanachoongea humo hakipo directed?
 
Bitch ni neno slang linalotumika kumuelezea mwanamke, kwa mwanaume angetumia walau nigga

Afu kinachokuja kuleta shida ni pale unapomuona kwenye interview akitamba kuwa hakuna msanii bongo anayemzidi unyamwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kafukuza wanawake wenye akili , wasomi na waliokuwa wanamfundisha kiingereza na exposure, muonekano na kujibihave kimataifa akina madam Sepetu, Zari na tanasha anaende kuchukua waimba taarabu huko mchambawima unatarajia atamfundisha kizungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aibu aiseeee

Kipindi cha Netflix sadala asingekubali maana hawezi joto la mahojiano bora angemkodi T.I.D au chid benz maana Zari anafaidika sana humo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond kingereza alifundishwa chumbani na sio darasani so kubali kukosea kupo na hajui.kuna mtu kweli unajua shule ipo hata akitumia neno tunajua lina maana nyingi sasa huyu alisomea wapi? Kingereza alifundishwa na wema, zari, na tanasha so hicho kinatosha kabisa kuongea bila makosa?

Unajua mtu msomi ambae hajiamini kwenye lugha anatumia maneno simple ili aeleweke. Amesema 'am a player" ilikuwa inatosha mambo ya kuongeza maneno mengine wajue kaiva hayana maana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzungu na mbongo wakiongea kiingereza huwa wanaelewana sana. Tatizo linakuja mbongo ukiongea kiingereza mbele ya mbongo mwenzako, lazima utaogopa kwasababu atachukua madhaifu tu ili akukosoe, tofauti na mzungu ambaye anaangalia main points ili muweze kuelewana. Shida nyingine ni kwamba mbongo anakusahihisha kwa lugha ileile ya kiswahili[emoji16]. Mzungu akiongea broken swahili anaonekana anajitahidi sana kuongea kiswahili na tunampongeza. Watanzania sijui nani katuroga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuongea accent kama black American anajikuta anajua ngeli hahaha wakati asilimia kubwa ya blacks hawajaenda shule so ile English yao sio standard,siku izi kuna online class,kuna language apps au hata hapo British council angeomba private class angejifunza kuepusha aibu ndogo ndogo hizi.
 
Back
Top Bottom