Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Chuki huletwa na wivu pamoja na dharau...utapata tabu Sana๐Ÿ˜
 
instagram mi nina uhakika hata zanzibar hujawahi fika... na hao wataalamu wako nina uhakika wanavaa viatu feki vya pale karume... na ww bila shaka yoyote n mdau mzuri sana wa mitumba pale Mwenge.

Sasa unapata wapi ujasiri wa kuwachambua wanaovaa vitu feki na wapo marekani?? vp hapa buza kwenye kijiwe cha bao saa ngapi utatimba!?
 
Una uhakika ndo mana unabeti na unaliwa. Unafikiri kila mtu hapa anaishi Tanzania.
 
Jamani muoneeni huruma tu dogo lenu....kijana bado ni mshamba sana, kumbukeni Tandale si Marekani.....dogo anasumbulia na cultural shock.
 
Ndiyo walivyo, they lack confidence mpaka waone mpambanaji kawafungulia njia na kuiweka nchi kwenye ramani katika tasnia hiyo yaani in short mpaka Sadala awarahisishie uelekeo wa kupita ndiyo wanaona 'kumbe inawezekana'.
Hate inawajaa kwa kuwa upambanaji wake wao hawauwezi.
 
Billion 5 hiyo saa? hayaaa kikubwa uhai ๐Ÿคฃ
 
Hao ma hip-hoppers wa Marekani wote wamevaa fake gold na hilo linajulikana kiasi kwamba its a non issue.

Yani mnafikiri yale ma heavy gold chain waliyovaa kina LL Cool J, Slick Rick, Big Daddy Kane, Heavy D, Biggie, 2Pac, Nas, etc ni real gold?

Hizo heavy gold chains ni symbolic, hazitakiwi kuchukuliwa kama authentic.
 
Nasikia kuna maswali yaliibuka kama Diamond ni msanii wa mziki au komediani, mwenye jibu atupe tafadhali!
 
Tulia kijana unazungumzia 80s na 90s huko wenzako wako kwenye diamonds mpaka sasa muwakilishi wetu pande za Africa ni Davido mtu mmoja alisikiwa anasema "His taking back the Diamonds to Africa".
 
nampongeza sana kwa hatua za kukutana na huyo mtaaalamu anayeheshimika duniani....hata mchizi DMX ameenda kaburini huku akimheshimu huyo jamaa. hits zake zote zilizohit vibaya dunia nzima huyo ndo mtengezaji.

alichoninikera diamond (najua hainihusu lkn nasema tu);
1. uvaaji wa micheni usiokuwa na maana kwa sasa naona kama umepitwa na wakati.....watu wanakuwa simple tu. ukifanya hivyo unaonekana kama mshamba flani hivi.
2. pozi zinazosema 'nioneni'. ukiwaangalia hao wawili unaona kabisa pozi yake diamond ni ya kuchamba, yaani ni pozi ya mswahili. huyo swizz beats anaonekana yuko relaxed, yuko real...
 
KwaiYo unataka kusema ni fake wanavaa sio? Hao kina pac, baggie na wengine
 
Nlitegemea kuiona hyo post ya huo mtandao wa fakewatcher, kuliko picha za diamond ambazo tushaziona.
 
Kuvaa fake ni kwa ma brokeass celebrities ila Nas na 2pac hawajavaa fake peleka uongo wako. Pac alishawahi kuwa set up hadi akaanzisha bifu kubwa baada ya kumvamia akitokea studio na kumpora cheni kubwa ya gold.

Kwaiyo kumbe wewe unaonaga cheni za kina migos, Quavo na wenzingine akina Mayweather ni feki? Eti Symbolic [emoji30], Ulizia Jackob the jeweler wa new york ndo anaewatengenezea ma star wengi micheni mikubwa ile na wanalipia pesa nyingi sana hadi wengine wana madeni.

Kama una mtetea msanii wako wewe tetea ila usiseme eti wasanii wa mbele wanavaa feki utachekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ