Walipata mafanikio gan kimataifa [emoji23]mziki unaishi miaka nenda rudi wewe ulimjulia wapi diamond wapo wakina kiba fodq ay afande sele sugu moto chini prof jay jayd hao wote wamefanya mziki mzuri, mziki unaishi miaka nenda rudi
Umeona eeh. Ukute tunabishana na Watoto wa 2000 hawa 😀 😀 😀Mziki ufe? Unaujua muziki kweli? Kama sio utoto basi lazima utakuwa bonge la sakara!
Je bongo movie inatoboa kimataifa...Baada ya kanumba kufa ..??
Kama ndiyo ...lete movie Moja iliyotoboa
Muulize baba yako au bi mkubwa mbaraka mwinshehe ni nani atakwambia,ujue akifia kenya,alikuwa inyernatinal musician,hakuna mtu pengo lake halizibiki isipokuwa mzazi tuTupac..Michel Jackson.. level yao ni ya kidunia ( mbali sana)
Hao kina mwinshehe .. walikuwa na impacts Gani ???
Mfano, Dirty Knob aka D-Knob ameokoka na anamtumikia MunguMungu ni mwenye huruma....coz anaamini ipo siku watamrudia
Mfano
Water chilambo
Bwana weee!!!🤠🤠🤠🤠Hawana emotional control
Nimesema kitauja kizazi kingine na wanamuziki wengine wapya kubadili mandhari. Kabla ya Diamond kuna kundi linaitwa X Plastaz (google them) walishaanza kitambo kuimba bongo flava huko Uholanzi na Ulaya kwa ujumla. Remmy Ongala na Super Matimila wamevuruga sana Ulaya. Kuna Fresh Jumbe anawakilisha Japan, kuna Ras Nas (Nasibu Mwanukuzi) anawakilisha Norway huko na nchi nyingine za Ulaya.But kimataifa itakuwa hatutakua na ushindani
Haya mashairi ya "" I go die fo u hayawezi kushindana na kina davido[emoji23]
Anze na wake aje n wako imeisha hiyoInama tusafishe mtaro
Kuna machawa mapumbavu sana, diamond afe na muziki wa Tanzania ufe? Labda kwenye ukoo wenu.Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
CrapDiamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

Hakika mkuuMfano, Dirty Knob aka D-Knob ameokoka na anamtumikia Mungu
View: https://youtu.be/9BcMVbnW1uM?si=f-id1iWioflkqAdr
Hao ndiyo walifanya mziki unao usifia sahivi kupiga hatua, swali gani la kitoto hili,Walipata mafanikio gan kimataifa [emoji23]