Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Mziki wa Tanzania ni Upi ?
Kwahio kabla Diamond hajazaliwa mziki wa Tanzania ulikuwa Haupo ?
Anyway Kudos kwa vijana wa Tanzania nadhani wanajitahidi sana kwenye hii Tasnia na ninaweza nikasema huenda katika industry zote zinazowajibika na hii ipo pamoja na ndugu zetu wakulima (peasants) ambao tunawanyonya kila kukicha
 
mziki unaishi miaka nenda rudi wewe ulimjulia wapi diamond wapo wakina kiba fodq ay afande sele sugu moto chini prof jay jayd hao wote wamefanya mziki mzuri, mziki unaishi miaka nenda rudi
 
Kipindi cha nyuma mashindano ya miss tanzania analetwa msanii kutoka uganda afanya perfomance[emoji23][emoji23]
Sasa watupe majibu...hao wasanii wetu wakubwa walikuwa wapi
 
mziki unaishi miaka nenda rudi wewe ulimjulia wapi diamond wapo wakina kiba fodq ay afande sele sugu moto chini prof jay jayd hao wote wamefanya mziki mzuri, mziki unaishi miaka nenda rudi
Walipata mafanikio gan kimataifa [emoji23]
 
Je bongo movie inatoboa kimataifa...Baada ya kanumba kufa ..??

Kama ndiyo ...lete movie Moja iliyotoboa
Tupac..Michel Jackson.. level yao ni ya kidunia ( mbali sana)

Hao kina mwinshehe .. walikuwa na impacts Gani ???
Muulize baba yako au bi mkubwa mbaraka mwinshehe ni nani atakwambia,ujue akifia kenya,alikuwa inyernatinal musician,hakuna mtu pengo lake halizibiki isipokuwa mzazi tu
 
But kimataifa itakuwa hatutakua na ushindani

Haya mashairi ya "" I go die fo u hayawezi kushindana na kina davido[emoji23]
Nimesema kitauja kizazi kingine na wanamuziki wengine wapya kubadili mandhari. Kabla ya Diamond kuna kundi linaitwa X Plastaz (google them) walishaanza kitambo kuimba bongo flava huko Uholanzi na Ulaya kwa ujumla. Remmy Ongala na Super Matimila wamevuruga sana Ulaya. Kuna Fresh Jumbe anawakilisha Japan, kuna Ras Nas (Nasibu Mwanukuzi) anawakilisha Norway huko na nchi nyingine za Ulaya.
 
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

Kuna machawa mapumbavu sana, diamond afe na muziki wa Tanzania ufe? Labda kwenye ukoo wenu.
 
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

Crap
 
Muulize baba yako au bi mkubwa mbaraka mwinshehe ni nani atakwambia,ujue akifia kenya,alikuwa inyernatinal musician,hakuna mtu pengo lake halizibiki isipokuwa mzazi tu
Hana legacy yeyote kimataifa
 
Back
Top Bottom