kwani mawakili walilipwa ?si wanachadema wale walifanya bure?Kwa hiyo walitakaje hao Diaspora.
Hata fedha ya kumchangia Mh Mbowe kwa ajili ya Mawakili wake hawakutoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani mawakili walilipwa ?si wanachadema wale walifanya bure?Kwa hiyo walitakaje hao Diaspora.
Hata fedha ya kumchangia Mh Mbowe kwa ajili ya Mawakili wake hawakutoa.
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Nyinyi ndio mliompa Samia nchi? Who are you guys, btw?Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
haya ndiyo mashoga ya ufipa yaani mbowe anasifia wewe huoni?wewe ni nani mpaka upinge mbwe kalamba asali mnabaki nyie wabwekaji tuPUMBA! Uzi wa pro mwendazake, wafuasi wa jiwe naona mnateseka sana na mama kwa kutenda haki, mmechukizwa sana kwa Lissu na Mbowe kutendewa haki. Wapi Mbowe na Lissu wamemsifia mama?? Au kusema ukweli ni kusifia?
Wewe ulitaka accounts zake zisifunguliwe?? Kufunguliwa accounts zake ndio kulamba asali?? Na Lissu kulipwa kiinuamgongo ndio kulamba asali?? Unajua maana ya kulamba asali?? Tubu hiyo roho yako ya kishetani kabla Sir. God kuingilia kati kama alivyofanya kwa jiwe. Shauriyakohaya ndiyo mashoga ya ufipa yaani mbowe anasifia wewe huoni?wewe ni nani mpaka upinge mbwe kalamba asali mnabaki nyie wabwekaji tu
Mbowe ni kiongozi wa umma alipaswa kuangalia nchi inataka nini katika mazungumzo yake na mama sio kufunguliwa account zake za fedha au kurejeshewa bilikanasHata kama ungekuwa wewe ungeachaje kumsifia Rais Samia?
Jaribu kuvaa viatu vya Mbowe uone mapito aliyopitia. Magufuli alimharibia biashara zote zinazompa kipato kuanzia Bilicanas hadi shamba la maua pale Machame. Kisha akakomba fedha kwenye akaunti zake zote.
Isitoshe alitaka kumuua ndipo TISS waliokuwa hawapendezwi na hila za Mwendazake wakamtonya akatorokea Dubai kupitia Kenya pale baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Kwa mapenzi ya Mungu amekuja Rais Samia asiyependa dhulma amemrudishia fedha zake, JE MBOWE anaachaje kumsifia?
Kule Ukonga alikuwa peke yake na hakuna mwana CDM alikwenda kumsaidia kifungo. Muacheni apange maisha ya kizazi chake. Kama mnataka maadamano na mikutano anzisheni vyama vyenu. Mbona Msajili wa vyama yupo na ofisi iko wazi!!
Magufuli alivyokutokea ndotoni kutoka kuzimu ndivyo alivyokuambia kuwa mazungumzo ya Mbowe na mama yalikuwa ni kutaka accounts zake kufunguliwa tu?Mbowe ni kiongozi wa umma alipaswa kuangalia nchi inataka nini katika mazungumzo yake na mama sio kufunguliwa account zake za fedha au kurejeshewa bilikanas
Nyie ni mbwa nini? Mara ngapi mnaambiwa tokeni barabarani mnajificha uvunguni? Kila mtu ashinde mechi zake
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Kwani mumeo hawezi kupigana?
Haki zako akupiganie Mbowe, uko sawa kweli?
Yeye kaunga juhudi sawa,lianzishe wewe sasa mwenye misimamo thabiti.
Serikali ndiyo inayopaswa kuhojiwa kuhusu maslahi ya umma na demokrasia. Kumhoji Mbowe, mtu binafsi, kwa hayo ni unafiki, uongo na uzuzu.ametatuliwa mambo yake binafsi hakuangalia maslahi ya umma, demokrasia ni ndoto Tanzania
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Kinyume na utamaduni wangu, hatimaye nakubaliana na jibu la aina hii. Tuna generation ya watu washenzi (primitive) sana enzi hizi. Sidhani kama unaweza kuwa na mjadala nao katika maudhui ya ustaarabu wa binadamu.kazikwe pembeni yake.
Hivi mtu amfungie mwenzie akaunti zake, avunje mashamba yake, club yake, afungie gazeti lake, bado unamuita mzalendo. Duh hii kali
Huo umma kazi yake ni nini? Nani alizaliwa Tanzania hii kupigania wengine wakati wao wakiwa wanakunywa kimpumu na alkasusi?Wanacholalamikia Diaspora ni kwanini Mbowe na wenzake wamejali ya kwao binafsi na kusahamu umma ambao uko nyuma yao, kwenye demokrasia mama hajafanya chochote Mbowe angewezaje kumsifia mama?