Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

PUMBA! Uzi wa pro mwendazake, wafuasi wa jiwe naona mnateseka sana na mama kwa kutenda haki, mmechukizwa sana kwa Lissu na Mbowe kutendewa haki. Wapi Mbowe na Lissu wamemsifia mama?? Au kusema ukweli ni kusifia?
 
sasa ushasema account zake, mbona zifungwe? au unafikiria Samia ana roho ya kichawi cha marehemu Mwendazake?
 
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Nyinyi ndio mliompa Samia nchi? Who are you guys, btw?
 
PUMBA! Uzi wa pro mwendazake, wafuasi wa jiwe naona mnateseka sana na mama kwa kutenda haki, mmechukizwa sana kwa Lissu na Mbowe kutendewa haki. Wapi Mbowe na Lissu wamemsifia mama?? Au kusema ukweli ni kusifia?
haya ndiyo mashoga ya ufipa yaani mbowe anasifia wewe huoni?wewe ni nani mpaka upinge mbwe kalamba asali mnabaki nyie wabwekaji tu
 
Wewe ulitaka accounts zake zisifunguliwe?? Kufunguliwa accounts zake ndio kulamba asali?? Na Lissu kulipwa kiinuamgongo ndio kulamba asali?? Unajua maana ya kulamba asali?? Tubu hiyo roho yako ya kishetani kabla Sir. God kuingilia kati kama alivyofanya kwa jiwe. Shauriyako
 
Hata kama ungekuwa wewe ungeachaje kumsifia Rais Samia?
Jaribu kuvaa viatu vya Mbowe uone mapito aliyopitia. Magufuli alimharibia biashara zote zinazompa kipato kuanzia Bilicanas hadi shamba la maua pale Machame. Kisha akakomba fedha kwenye akaunti zake zote.

Isitoshe alitaka kumuua ndipo TISS waliokuwa hawapendezwi na hila za Mwendazake wakamtonya akatorokea Dubai kupitia Kenya pale baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Kwa mapenzi ya Mungu amekuja Rais Samia asiyependa dhulma amemrudishia fedha zake, JE MBOWE anaachaje kumsifia?

Kule Ukonga alikuwa peke yake na hakuna mwana CDM alikwenda kumsaidia kifungo. Muacheni apange maisha ya kizazi chake. Kama mnataka maadamano na mikutano anzisheni vyama vyenu. Mbona Msajili wa vyama yupo na ofisi iko wazi!!
Mbowe ni kiongozi wa umma alipaswa kuangalia nchi inataka nini katika mazungumzo yake na mama sio kufunguliwa account zake za fedha au kurejeshewa bilikanas
 
Mbowe siasa kwake ni profit na hajawahi kufeli katika hilo. Katika viongozi wa upinzani waliojenga msingi wa kuvuna ni F.Mbowe. Pande zote Ccm au Cdm anaweza kwenda na kuvuna lakini alichagua Cdm ili awe na umiliki wa kuvuna kuliko kule kwa CCM.
 
Mbowe ni kiongozi wa umma alipaswa kuangalia nchi inataka nini katika mazungumzo yake na mama sio kufunguliwa account zake za fedha au kurejeshewa bilikanas
Magufuli alivyokutokea ndotoni kutoka kuzimu ndivyo alivyokuambia kuwa mazungumzo ya Mbowe na mama yalikuwa ni kutaka accounts zake kufunguliwa tu?
 
Ningekuwa mimi ndio mbowe tungekuwa marafiki wakubwa sanA na mama samia acha kumsifia tu
Hapa bongo wanafiki ni wengi sana wakiongozana na wajinga wasio jielewa n wasomi wasomi wajinga
Toka mbowe yuko ndani familia yake kaiacha huko uraiani hakuna mtu alieandamana zaidi ya kuzidisha machungu ya kumwita gaid
Viongozi wangapi wa chadema wameswekwa ndani.hakuna alieandamana waka kuonesha uahirikiano
Wabunge woote wa chademA wamenyanganywa ubunge hakuna alieonyesha kujari wakapiga makofi kupongezana
Lisu kapigwa risasi zaidi ya 7 mwilini watu wanakebei wanauliza maswali yasio ya msingi mtu kapigwa risasi akiwa kazini?!inauma Asee hata
Wabunge wananunuliwa na wengine covid 19 wamekuwa bungeni kinyume kabisa cha sheria eti na wao wanatetewa na wasomi wa nchi hii kana si unafiki!!?
Yako mengi sana yanayotendwA maovu shidi ya wapigania haki wa hii nchi haswa chadema
HAKUNA ZAIDI YA KEBEI ZA KISHOGA
ACHENI AINJOY NAE MAISHA MPAKA MTAKAPO PATA AKILI MNATAKA AISHI KWA MATESO KWA WATU WASIO JITAMBUA!!?? WANAFIKI?
MWACHENI AJUMUIKE NA FAMILIA YAKE
MWAMBIENI ZITO NA LIPUMBA HATA MREMA YUPO SI WANAVYAMA PIA VITAWAPIGANIA TU
 
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Nyie ni mbwa nini? Mara ngapi mnaambiwa tokeni barabarani mnajificha uvunguni? Kila mtu ashinde mechi zake
 
Vijana mnajisahau Sana .
Sasa kilikuwa na haja gani kuwapamba hao wachumia TUMBO!?
Magufuli ndo aliwaweka chadema JUU.sasa rangi ya viongozi wa chadema inaonekana.
Walikuwa wanakosoa kwa Sababu MASLAHI yao yalibanwa .
Wakamchukia magufuli.sasa wamesahau wanapigania nini
Haki zako akupiganie Mbowe, uko sawa kweli?
 
ametatuliwa mambo yake binafsi hakuangalia maslahi ya umma, demokrasia ni ndoto Tanzania
Serikali ndiyo inayopaswa kuhojiwa kuhusu maslahi ya umma na demokrasia. Kumhoji Mbowe, mtu binafsi, kwa hayo ni unafiki, uongo na uzuzu.
 
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Hata aliemfungia alifanya hivyo kwa sababu zake binafsi
 
Hao wote waporaji kwa Nyerere sijaju umri wako pengine umehadithiwa hukuishi katika utawala wake
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
 
kazikwe pembeni yake.
Kinyume na utamaduni wangu, hatimaye nakubaliana na jibu la aina hii. Tuna generation ya watu washenzi (primitive) sana enzi hizi. Sidhani kama unaweza kuwa na mjadala nao katika maudhui ya ustaarabu wa binadamu.
 
Ni watu wasiojielewa hata yule mzee naye watu walihamishwa katika vijiji vyao na kupelekwa porini na wengine waliliwa na Simba
Hivi mtu amfungie mwenzie akaunti zake, avunje mashamba yake, club yake, afungie gazeti lake, bado unamuita mzalendo. Duh hii kali
 
Wanacholalamikia Diaspora ni kwanini Mbowe na wenzake wamejali ya kwao binafsi na kusahamu umma ambao uko nyuma yao, kwenye demokrasia mama hajafanya chochote Mbowe angewezaje kumsifia mama?
Huo umma kazi yake ni nini? Nani alizaliwa Tanzania hii kupigania wengine wakati wao wakiwa wanakunywa kimpumu na alkasusi?

Kwahiyo Mbowe hakustahili kufunguliwa akaunti zake kisa hakuna katiba mpya. Mbona wewe hujataka wakufungie akaunti zako mpaka katiba mpya ipatikane, mbona hujataka upelekwe mahabusu mpaka katiba ipatikane
 
Back
Top Bottom