Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Copenhagen DN wewe ni mDenmark au ni mtz unayeishi Denmark?
Naona unaisifia sana Denmark kwa nini usiachane na mambo ya TZ kwa sababu huna msaada wowote kwa TZ
 
How much do u need to earn annualy to be a top 5 earner in the USTE="Kiranga, post: 15697081, member: 13377"]Diaspora kuna watu wa kila aina, maelfu kwa maelfu kama si mamilioni kabisa.

Kuwa specific unaongelea limbukeni fulani walio diaspora. Sio diaspora.

Hawa ndugu zetu wengine, if the account has any credibility at all, wanachafua jina la diaspora. Sawa, umeenda nje hela unaweza kukosa, basi hata elimu au exposure tu ya kujua kwamba kulilia kazi za serikali ya Tanzania usawa huu ni balaa tu umekosa?

Hivi hawa wazee wanavyoendeshwa resi bila hata common decorum wala dignity kuna mtu mwenye akili yake sawa analilia kazi ya serikali ya Tanzania tu?

How desperate and stupid does one need to be to do that?

Kuna watu hata ukitaka kutupa urais wa Tanzania burebure tunaweza kukukatalia jinsi tusivyo na hamu na kazi za serikali ya Tanzania.

Watu wanasajili ma patents, wanawekeza kuanzia stocks mpaka real estate, wako katika top 5 percent of earners US, bila wizi wala rushwa, walilie kazi za serikali ya Tanzania kwa msingi gani?

Hao limbukeni ambao wamejikuta wako nje ya Tanzania, probably wakihemea midomo, hawa represent Final Four ya Villanova.

You rookies, it's the final not the playoffs.[/QUOTE]
Kuwa
 
Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.

Nini kiliwakimbiza kwanza ?
 
Diaspora, si mnae rais wa awamu ya nne bado anakuja huko kila wiki matatizo yenu atawatatulia tu, haya ya huku mtuachie sisi wa huku
 
Mimi hata baada ya miaka 10 sirudi. Labda likizo ya wiki tatu tu.

Samahani.
Ha ha ha you remind me of this Tanzanian chap who is a hedge fund manager that manages a portfolio of 20 billion dollars at Wall Street. Akirudi bongo Ni kama atapoteza muda wake tu
 
Ha ha ha you remind me of this Tanzanian chap who is a hedge fund manager that manages a portfolio of 20 billion dollars at Wall Street. Akirudi bongo Ni kama atapoteza muda wake tu
Watu wanacheza hapa. Wakimjua limbukeni mmoja aliyepanda ndege kwa kamali wanafikiri diaspora wote ndiyo wako hivyo.
 
Watu wanacheza hapa. Wakimjua limbukeni mmoja aliyepanda ndege kwa kamali wanafikiri diaspora wote ndiyo wako hivyo.
Mkuu Achana na wanaotumia sweeping statement. In diaspora Kuna kila aina Ya watanzania. Wapo doctors, engineers, scientists, businessmen, professors, hedge fund managers, cops, marines, investment bankers and the list goes on
On the flip side wapo corn artists, Malaya, vibaka, wazee wa kufoji tax returns/checks etc
Just because there is one fraud master in Houston or Silverprings doesn't mean all Tanzanians in diaspora are losers
 
Speaking of [PhD.] professors, I know a handful of them and some are even tenured!
 
Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Ni lini umegundua hii nchi ni yetu sote?!!! Ulipokimbilia huko nje kwa kuwa maisha ni magumu hapa nchini ni nani ulimkabidhi jukumu la kukuandalia nchi ili ikiwa nzuri wewe uje tu kudai kuajiriwa??!! Ati sisi diaspora...!!!? Shame on you... Ungekua mzalendo ungekumbia matatizo ?!! Nyie ndiyo mnaowakana wazazi wenu kisa umesoma kidogo na kupata ka ajira na kukaa mjini..! Bila aibu unadai kutambuliwa sasa .... Aibu yako... Kaa huko huko no body needs you here....
 
These diaspora first of all they have to work hard and prove of their quality and we will see their work and they can be chosen.
We have kilimanjaro,serengeti,ngorongoro crater,oldupai gorge,isimila ,so many attractions why these diaspora they cant set a bench there in abroad and guides tourists so that we can get more clients like kenyans the way they are doing.
People with masters but they dont think and visualize am doubts these nows days degrees and masters
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
basi tulia.
acha tuendelee kutumbua na kufukuza hadi waliopo nyumbani waifaidi nchi yao na kutumbua majipu yote.
we endelea kujenga nchi ya wenzako.
karibu nyumbani.
 
Hapa ndiyo utawajua diaspora kundi lipi lina jitambua maana diaspora wapo wengi sana kuna wapigaji wazee wa viwembe hawa watumwa wa "mapopo" Nigeria.

Kuna madaktari, maengineers, wafanyabiashara wakubwa na wadogo, wasomi ambao ni waajiriwa kwenye hizo nchi na wengine wamejilipua na kupata elimu na ajira hawa wengi wao wanajitambua awana mikogo.

Kuna ili kundi la kina Copenhagen DN hawa diaspora wao kufika kwao Ulaya na kuishi huko wanaona maisha wamemaliza na wale wote ambao wapo Africa kwao ni wajinga, hawa hata kazi zao huko nje ni za ovyo ovyo wanazidiwa sana na wala vumbi wa bongo.
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Ebo!! Kwa kazi gani? kaa huko huko huhitajiki huku asante, nchi yenu ni ya Ulimwengu wa tatu bado mna taka kuja kuikamua kuna walio toka huko wakaishia aidha kuwa majizi au kuubariki wizi kila la kheri Mdenish,baki salama.
 
Wabongo walioko nje wamegawanyika kwenye makundi.Kuna kundi la wabongo wanafunzi,wafanyakazi wa ofisi za kibalozi,walopata uraia kwenye nchi wanazoishi,maninja(hawana sheria za kuishi kwenye nchi waliopo)nk.Makundi mawili makubwa ni kundi la wazanzibar na wabara.Diaspora ziliundwa ili kuwaunganisha wabongo hawa ingawa baadhi ya diaspora bado zinafanya kazi chini ya mwevuli wa kibalozi yaani utakuta mwenyekiti wa diaspora ni informer wa ubalozi na hata mikakati yeyote ya kimaendeleo zaidi ya kuorganize party.Muamko wa diaspora ulianza wakati wa awamu ya JK.Wakati wa awamu ya JK ndio wabongo walioko nje walianza kuwa kifua mbele kuringia nchi yao,hiki ndio kipindi umuhimu wa diaspora ulianza kuonekana.Hapa kenya,serikali ya kenya huingiza mamilioni ya dola za kimarekani kwa kupitia diaspora,sisi tumeanza vizuri wakati wa JK lakini Mr JPM asipoona umuhimu wa diaspora basi diaspora zitarudi enzi za nyuma kuwa vilabu vya pombe na ufuska.
Kenya,Nigeria,Ghana,Uganda nk huandaa mikakati thabiti kwa ajili ya diaspora mfano huwaandalia watu wao mazingira mazuri ya kuwekeza kwenye nchi zao.
Ni kweli kabisa Raisi asipoona umuhimu wa diaspora na waziri wa mambo ya nje nae pia asipokuwa na interest ya kuendeleza diaspora kimaendeleo basi kwa mara nyingine tena tutashuhudia diaspora zetu kuwa vilabu vya ulevi na umalaya.
Nakubaliana na Mr Pombe kubana matumizi kwa kupunguza safari lakini teleconference na diaspora moja kwa muda wa saa moja haitogharimu dola za kimarekani ishirini
 
Pendekezeni majina ya wakuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa - SHINYANGA mkumbukwe japo! lakini mchango wenu unahitajika mno kuliko kulilia hizo teuzi wana - DAYASPORA.
 
Hivi kuwa diaspora ni hatia ????.......

Huu wivu wa kike kwa kila unayemdhania kuwa amekuzidi kimaendeleo ni upuuzi...
Tukiwatumia diaspora vyema , hatuna cha kupoteza ila kutowatumia ni hasara

Ila hii haiondoi wajibu wa diaspora kwa nchi yao tena wanapaswa kuutimiza bila ya kubembelezwa pale tu serikali inapowapa support

Watanzania baadhi wanahitaji ukombozi wa kifikra kwa kweeeeliii
 
Diaspora watanzania mmetuangusha mkiongozwa na baba yenu yule wa kutoka moja ya mikoa ya kusini. amebaki kuugulia maumivu ya tano bora!!! ukimuuliza umeifanyia nini Tanzania ukiwa serikalini anaishia kuponda kutusuliwa majipu!!!
 
Back
Top Bottom