Ndiyo diaspora huyo kashakuwa wa kidenmarkEti na username unajiita Copenhagen, ama kweli Denmark imevamiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo diaspora huyo kashakuwa wa kidenmarkEti na username unajiita Copenhagen, ama kweli Denmark imevamiwa!
Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Diaspora, si mnae rais wa awamu ya nne bado anakuja huko kila wiki matatizo yenu atawatatulia tu, haya ya huku mtuachie sisi wa hukuAwamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Mimi hata baada ya miaka 10 sirudi. Labda likizo ya wiki tatu tu.Kaeni hukohuko ugaibuni kwa sasa hatuwataki hadi baada ya miaka 10
Ha ha ha you remind me of this Tanzanian chap who is a hedge fund manager that manages a portfolio of 20 billion dollars at Wall Street. Akirudi bongo Ni kama atapoteza muda wake tuMimi hata baada ya miaka 10 sirudi. Labda likizo ya wiki tatu tu.
Samahani.
Watu wanacheza hapa. Wakimjua limbukeni mmoja aliyepanda ndege kwa kamali wanafikiri diaspora wote ndiyo wako hivyo.Ha ha ha you remind me of this Tanzanian chap who is a hedge fund manager that manages a portfolio of 20 billion dollars at Wall Street. Akirudi bongo Ni kama atapoteza muda wake tu
Mkuu Achana na wanaotumia sweeping statement. In diaspora Kuna kila aina Ya watanzania. Wapo doctors, engineers, scientists, businessmen, professors, hedge fund managers, cops, marines, investment bankers and the list goes onWatu wanacheza hapa. Wakimjua limbukeni mmoja aliyepanda ndege kwa kamali wanafikiri diaspora wote ndiyo wako hivyo.
Mkuu Achana na wanaotumia sweeping statement. In diaspora Kuna kila aina Ya watanzania. Wapo doctors, engineers, scientists, businessmen, professors, hedge fund managers, cops, marines, investment bankers and the list goes on
On the flip side wapo corn artists, Malaya, vibaka, wazee wa kufoji tax returns/checks etc
Just because there is one fraud master in Houston or Silverprings doesn't mean all Tanzanians in diaspora are losers
Ni lini umegundua hii nchi ni yetu sote?!!! Ulipokimbilia huko nje kwa kuwa maisha ni magumu hapa nchini ni nani ulimkabidhi jukumu la kukuandalia nchi ili ikiwa nzuri wewe uje tu kudai kuajiriwa??!! Ati sisi diaspora...!!!? Shame on you... Ungekua mzalendo ungekumbia matatizo ?!! Nyie ndiyo mnaowakana wazazi wenu kisa umesoma kidogo na kupata ka ajira na kukaa mjini..! Bila aibu unadai kutambuliwa sasa .... Aibu yako... Kaa huko huko no body needs you here....Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
basi tulia.je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Ebo!! Kwa kazi gani? kaa huko huko huhitajiki huku asante, nchi yenu ni ya Ulimwengu wa tatu bado mna taka kuja kuikamua kuna walio toka huko wakaishia aidha kuwa majizi au kuubariki wizi kila la kheri Mdenish,baki salama.je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Dah! haya sasa.Ukitaka utapewa na wewe ukubari kutoa, 47 madafu kitu gani Zaidi ya hizo utapata