Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Yes na kwa UHAKIKA tayari ana mtu mwingine anayemsikiliza zaidi kuliko wewe , tamaa hiyo sio bahati mbaya ana makusudi kabisa na anataka ahakikishe unabaki bila kitu , achana ane mapema ili ulinde amani na Mali zako


Wanaume ambao bado wanaendeshwa na hisia badala ya akili hawatakuelewa.

Mwanamke ni kiumbe HATARI SANA!!!Maslahi yake yasipotimia huwa hana kujifikiria mara mbili tatu,ataanza kutafuta vijisababu akuchukie na kukushusha thamani.

Kama mwanaume hana COUNTER DEFENSIVE MECHANISM,ASALALEEE HUYU NDIO KWISHA HABARI YAKE!!!!
 
Ukweli mchungu Sana huu ,
 
Wakuu, naomba ushauri wa dhati. Je, ni busara kumwandikisha mpenzi mali zangu ili tu kulinda uhusiano? Nampenda sana, lakini naogopa kuumizwa. Nifanyeje?


Nimekushauri na najua huwezi kushaurika ila ikitokea akili ikashtuka na ukaelewa hakuna MAPENZI HAPO fata ushauri๐Ÿค

Wewe huyo mwanamke humpendi.Akili yako inakudanganya na unajidanganya kwa kuita huo upendo.Wewe una UPWEKE,upweke ambao unakupelekea umfanye huyo malaya kuwa kama sehemu yako ya kupata faraja na hiyo imekujengea ulemavu wa kuona kuwa bila huyo mwanamke huwezi kuwa na furaha wala kukamilika.

Huyo malaya unamuona special ni kwasababu umeridhika( umeangukia katika COMFORTZONE) kwa kujua au kutokujua.Hali hiyo ni kama urahibu wa madaya kulevya kupona inahitaji nguvu ya ziada.

Jikeep busy kadri uwezavyo ITAKUSAIDIA!!!.TAFUTA HOBBIES NYINGINE NA VITU VINGINE VYA KUKUHAMISHIA CENTER OF ATTENTION.PUNGUZA KUSPEND TIME NA HUYO MALAYA.

Anza kutongoza na kuweka mikakatika ya kuwa unatongoza mara kwa mara angalau mara mbili kwa wiki.NI KOSA LA KIUFUNDI MWANAUME KUACHA KUTONGOZA NA KUWA NA MWANAMKE MMOJA,IF YOU KNOW YOU KNOW.
 
Nakubaliana na wewe ingawa mimi siwezi kukataa ndoa lazima nioe
 

Utakuwa una Mali, ingekuwa unazo na umeeafuea kwa jasho lako usingeuliza hili swali
 
Nimeuzingatia ushauri wako mkuu
 
Ukweli mchungu Sana huu ,


TUWASAIDIE HAWA WENZETU WASIO NA EXPERIENCE WAJITAMBUE NA WATAMBUE WAO NI DHAHABU.THAMANI YAO NI KUBWA SANA.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒMWANAUME UKITAMBUA THAMANI YAKO RINGA,HAWA MALAYA TUMEUMBIWA KUWATUMIA SIO KUWANYENYEKEA.

MWANAMKE HATA KAMA UNAMPENDA VIPI ILA KILA SIKU TEMBEA NA AKILI MOJA KICHWANI KUWA YUPO NA WEWE KWA KUWA KWA MUDA HUO WEWE NI BORA KULIKO WANAUME ALIOKUTANA NAO KWA MUDA HUO,ILA IKIFIKA MUDA AKATOKEA MWANAUME BORA ZAIDI YAKO TAMBUA HUYO MALAYA WAKO UNAYEMPENDA ATAKUACHA BILA KUJIFIKIRIA MARA MBILI.HII NI ASILI SIO MANENO YANGU.

KUJINYIMA KWAKO,KUJITOA,KUMSAIDIA KWAKO NI SAWA NA BURE.MUDA WA KUKUACHA UKIFIKA MWANAMKE HUWA HANA HURUMA WALA FADHILA KWA KUKUMBUKA MEMA ULIYOMTENDEA.ATAKUHUKUMU KWA MABAYA YAKO HATA KAMA NI MOJA.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHIVYO KAMA MWANAUME NI HASARA SANA KUJIWEKEZA KIHISIA AU KIHALI AU KIMALI KWA MWANAMKE.WALE WOTE WANAOCHOMA WENZA WOA KWA MAGUNIA YA MKAA,AU KUWAFYATUA UBONGO WALIPUUZIA UKWELI MCHUNGU WAKAHISI WAO WANAWEZA KUWABADILISHA WANAWAKE KUTOKA KWENYE ASILI YAO.KAA KIMASTER HUNA MAAJABU YOYOTE ITS JUST YOUR TURN TO SPEND TIME NA HUYO MALAYA.SOON OR LATER IT WILL BE ANOTHER MAN'S TIME!!!!

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒSO FELLOW MEN SPEND WISELY YOUR TIME AND MONEY.THESE BITCHES AINT LOYAL!!!

KAMA MWANAUME TAMBUA PIA WANAWAKE SIKU ZOTE WANAMACHAGUO NA MBADALA WAKO UPO TAYARI MUDA WOWOTE UNAKAA SEHEMU YAKO,HIVYO KAA MGUU NDANI MGUU NJE JIANDAE MUDA WOWOTE UTANYANG'ANYWA HIYO HIMAYA YAKO.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒMWANAUME TAMBUA KUWA HAKUNA NAMNA WALA HALI YOYOTE UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE.KWAHIYO KULIKO KUPOTEZA MUDA NA NGUVU NI MARA MIA HUO MUDA NA NGUVU UKAJIWEKEZEA MWENYEWE KATIKA KUJIFUA KUWA BORA ZAIDI NA ZAIDI.

KWAHIYO BADALA YA KUJIKITA KUWARIDHISHA HAWA MALAYA NI BORA KILA SIKU UJIFUE UWE BORA KWA KUJIWEKEZA KATIKA AFYA YAKO,KUTAFUTA MALI,NA KUSIMAMIA MISINGI NA HESHIMA YAKO.MWANAUME LAZIMA UWE NA STANDARDS UKIKOSA STANDARDS UNAKUWA UMEUZA THAMANI YAKO.

WANASEMA MWENYE KISU KIKALI NDIO MLA NYAMA.TEMBEA NA FALSAFA HIYO KWA KUWEKEZA MUDA WAKO ZAIDI KATIKA KUTAFUTA MAFANIKIO NA WANAWAKE WATAKUFUKUZIA WAO.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒTHE GAME IS BRUTAL,BUT STILL FAIR!!!

##WANAUME TUAMKE,BILA KUAMKA HATUTOBOI.
 
Nakubaliana na wewe ingawa mimi siwezi kukataa ndoa lazima nioe


Uwe unahudhuria vikao ili ujue misingi halisi ya kataa ndoa.

Nakuelekeza umuone KAIMU MWENYEKITI WA KATAA NDOA KANDA YA PWANI,Ndugu Natafuta Ajira akupe MIONGOZO.

Nakala moja uaiche masijala pale makao makuu ya KATAA NDOA ili waweke kwenye faili lako kama kumbukumbu.

Nawasilisha.
 
Kataa kutishwa kama mwanaume. Leo kakwambia hiki kesho atakutisha na kingine. Kesho atakwambia chagua kati yangu au mama yako... MWambie achape miguu kama anataka kusepa. Angekushawishi kwa njia nyingine si kukutisha na kukublackmail eti atakuacha.
Ukikubali, jiandae kuwa mme bwege.
 
Ukweli kabisa huu ndio maana hutakiwi kujiweka wazi kwa kiumbe mwanamke , wala kutoa kila kitu chako kwake mpe ziada Tu , akiba Bora jitunzie wewe mwenyewe
 
Jamii forum haikui kwasababu ya MODS KUJIHISI MIUNGU WATU๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒMNAUNGANISHAJE UZI WANGU WA HIGH IQ NA MAUZI YA KIJINGAJINGA.HII SIO FAIR.GREAT THINKERS LAZIMA TUHESHIMIWE.



GUYS MADA ZA KICHOKO/USHOGA HUWA HAMZIFICHI KWA KUZIUNGANISHA ILA MADA ZA KUWAAMSHA WANAUME MNAZIKANDAMIZA.

STOP THIS CENSORSHIP!!!HUU NI MTANDAO HURU NA WA BINADAMU SIO MAROBOTI.

MADA ZOTE ZINAMIZANI SAWA.STOP CATCHING FEELINGS.BE MATURED!!!

RUDISHENI UZI WANGU WA "THAMANI YA MWANAUME" I HAVE MY AUDIENCE I NEED TO FEED THEM POSITIVE ATTITUDE,HAWA HADHIRA WANGU HAWAPATI HAKI YAO.STOP THIS NOW!!!

๐Ÿ“ŒWE SHALL NEVER STOP BEING TOXIC!!!!
 
anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Maelezo yake yanaonyesha kipaumbele chake, ambacho sio wewe, bali mali zako. Uhitaji ushauri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ