Nakazia hoja: Kisaikolojia na hili huwa linatokea ni kwa wanaume wote.Mikosi = UTI ,ukimwi , kisonono , kaswende, hepatitis, na kufilisika
Ngono imerahisishwa sana na pesa , ndio maana ni hatari sana kuparamia hovyo hovyo, na vijana wanakamsemo kao kondom zinawawashaNakazia hoja: Kisaikolojia na hili huwa linatokea ni kwa wanaume wote.
Mara tu baada ya Tendo na muhemuko umeisha; akili zinarudi na maswali kedekede:
- Hivi nimepata faida gani hapo? Haiwezekani ndo nimeambukizwa naniliu kweli? - Si ni bora ile fedha yangu ningefanyia shughuli yenye faida kwangu?
- Huyu alikuwa ameshatembea na wengi sana na uwezekano wa maambukizi ni mkubwa. Ole wangu maskini mie.........
Ngono(Kujamiiana) ni Tendo Takatifu na lina Utaratibu wake. Utaratibu ni kumpata mwenza wa kudumu na sio kuruka-ruka huku na kule kama mbuzi.Sheria mkononi itakuletea mafadhaiko, sio suluhu.
Kufanya ngono salama sio vibaya.
Ninahisi una tatizo la kutokujiamini na wasiwasi mwingi linalokusababisha usite.
Ukiwa mtu wa kuwaza waza sana kuna namna maisha yanakushinda. Binadamu wengi wakifikia huo umri wako wanafanya ngono. Wanatii mahitaji yao ya kibaiolojia. Hata washika dini, watafanya kisha watatubu. Hii haibadilishi kwamba wameshafanya!
Kuna mambo yapo tu tokea enzi na enzi hayabadiliki. Ni asili, hata dini haiwezi kuzuia.
Kuna kitu inaitwa soul ties inaweza ikakuvurugia maisha mpaka ukabaki unashangaa!Mkuu hebu.. elezea inavyo unlock kiroho!
Dah! Kwa hiyo wanaona ni bora kuwashwa na UTI, VVU(Ukimwi), Kisonono, Kaswende n.k. n.k.?Ngono imerahisishwa sana na pesa , ndio maana ni hatari sana kuparamia hovyo hovyo, na vijana wanakamsemo kao kondom zinawawasha
Ina baraka kama haijanajisiwa! Ni rare sana kukuta mtu ana body counts 50+ kalala na watu wema tu, unakuta kalala na wachawi, waiba nyota, wagonjwa, wasio na bahati, sasa negative energy huwa inatawala sana! Ndiomaana sikuhizi watu wajanja akingonoka wanawahi kujicleanse! Watu sio wazuri mkuu!Huwa najiulizaga ina maana ngono ndo inaletaga mikosi? Huwezi ukaifanya ukapata baraka?
Mfano labda mimi nna Baraka nyingi, nkakutana na dada mwenye mikosi mingi ,hapa kinachohamishika ni mikosi ya huyo dada tuu?
Hii soul ties ina work vipi kiongozi?Kuna kitu inaitwa soul ties inaweza ikakuvurugia maisha mpaka ukabaki unashangaa!
Na kuna wenzako wakiiepuka ndio focus inaongezeka zaidi!Wengine tukiifanya hiyo ngono ndio akili zinakuwa active. Kukaa bila kufanya ngono kunaweza kusababisha kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
Ngono salama ni tiba ya ubongo.
Kuna kamsemo kao ,wanasema aibu utaona weweDah! Kwa hiyo wanaona ni bora kuwashwa na UTI, VVU(Ukimwi), Kisonono, Kaswende n.k. n.k.?
Mh! sawa.Kuna kitu inaitwa soul ties inaweza ikakuvurugia maisha mpaka ukabaki unashangaa!
UkishangonokaIna baraka kama haijanajisiwa! Ni rare sana kukuta mtu ana body counts 50+ kalala na watu wema tu, unakuta kalala na wachawi, waiba nyota, wagonjwa, wasio na bahati, sasa negative energy huwa inatawala sana! Ndiomaana sikuhizi watu wajanja akingonoka wanawahi kujicleanse! Watu sio wazuri mkuu!
Fafanua zaidiNgono inaweza ku unlock matatizo ya kiuchumi, kihisia na hata ya kiroho! Kama si lazima iepuke kwa kila namna!
Aisee hii mpk leo inaniangamiza kuna mtoto wa watu kanichukua 😂😂Kuna kitu inaitwa soul ties inaweza ikakuvurugia maisha mpaka ukabaki unashangaa!
Ndio uzuri wa kuwa binadamu, tunatofautiana kwa mengi. Nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilikaa bila kumgusa mwanamke, ilikuwa experience ngumu sana. Tokea hapo sijawahi kuwa single hadi leo.Na kuna wenzako wakiiepuka ndio focus inaongezeka zaidi!
Nimeelezea hapo juu kutokana na maroho aliyobeba mtu, watu wana maroho wachafu yanawaandama! Unakuta mtu hawezi kufanikiwa, hawezi kuoa/kuolewa, pesa hazikai kwake, kila anachogusa ni mkosi tu! Sasa ukiingiliana na mtu huyu unaweza kujikuta umeingia kwenye maagano kama yake!Hii soul ties ina work vipi kiongozi?
Usimtukane huyo dogo kwani Lengo la ngono kwa yule asiye mwenzi (Mke) ni lipi? Kama anafikiaa lengo japo kwa njia mbadala si inatosha?Weee endelea kupiga nyeto, shwaini kabisa
Sahihi kabisa, ngono kama ngono haina shida, sema vipengele vimekuwa vingi ndio maana inaonekana kuleta mikosi nk.Sheria mkononi itakuletea mafadhaiko, sio suluhu.
Kufanya ngono salama sio vibaya.
Ninahisi una tatizo la kutokujiamini na wasiwasi mwingi linalokusababisha usite.
Ukiwa mtu wa kuwaza waza sana kuna namna maisha yanakushinda. Binadamu wengi wakifikia huo umri wako wanafanya ngono. Wanatii mahitaji yao ya kibaiolojia. Hata washika dini, watafanya kisha watatubu. Hii haibadilishi kwamba wameshafanya!
Kuna mambo yapo tu tokea enzi na enzi hayabadiliki. Ni asili, hata dini haiwezi kuzuia.
Kuna vitu vya asili kama chumvi ya mawe utajitoa mikosi! Ila njia nzuri ni kuiepuka sana ngono! Wanawake wengi sana wanaibiwa nyota! Unakuta mtu analala na mtu anapewa gari sijui biashara, kumbe mtu anatembelea humohumo, akitumia nyota yako akaingiza lets say 500mils, akanununuliq gari ya 20mls hakuna loss anayoipata! Unashangaa tu mtu anafurahia anahongwa sana kumbe mambo yako mengi hapo katikati! Sio lazima kila mtu apitie ila kinga ni bora kuliko Matibabu!Ukishangonoka
Njia za kujitakasa ni zipi?