Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Dini zingekuwa na upendo zisingekuwa zinafundisha watu kuwa mtu wa dini yako ndiyo ndugu yako.
Zilitakiwa zifundishe binadamu mwenzako ndiyo ndugu yako.
Sasa mtoto wa miaka 5 unamfundisha kuwa wakristo wenzake ndiyo ndugu zake au waislamu wenzake ndiyo ndugu zake, ww unadhani huyu mtoto atakuwa na upendo zidi ya binadamu wengine?
 
Haina chuki dhidi ya uislam isipokuwa tunawaonea tu huruma namna wameingizwa mkenge na mafundisho yaliyopotoshwa
Shauku yetu ni kuona wanaokoka na kumkiri Kristo..mwisho wa siku wote tuende Mbinguni.
 
Reactions: 511
Tafiti hiyo ilifanywa na nani kuja na takwimu hizo? Huyo atayekuwaambia hivyo labda awe mwenyekiti wa mashoga. Enzi hizi za utandawazi sio za kuogopeana vitu vinaonekana.
Hili si la kubishana
 
Zile ni siasa sio mafundisho ya dini ,kweny dini pametajwa mayahudi na manaswar ,nyie wakristo mnafall kweny kundi la manaswar kwa vil mmemfanya mtume Issah kuwa Mungu.

Sasa hizi chuki za waislamu magaid na wanafuga majini mnatoa wapi?
Kumbe mnafanya siasa kwenye mafundisho ya dini?
 
Wa kwanza juma kaparatu,aboubakar, na wengine wengi tu........haya wewe taja watano pia ? Irani........saudia,Pakistan
 
Mkuu soma Quran 8:12
Na Quran 9:30
 
Hivi mkishachukiana hua mnamfurahisha mungu yupi?
 
Mkuu hii mada chonganishi ingawaje sijui wewe binafsi upo upande gani? Kuzungumzia swala la dini hapo unagusa Imani za watu nadhani ni busara zaidi ukijikita kujitathimini wewe na Iman yako!
 
Shule za umma za kikiristu!?..maana yake nini!?..shule binafsi za kikiristu ikiwemo umoja kule igunga,tulilazimishwa kwenda kanisani kufanya ibada 1990s,kuna shule za waislam na za kiislam,fezza no ya waislam,hapo upo free,ubungo islamic no ya kiislam,hapo utaishi kiislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…