masterplanner
JF-Expert Member
- Oct 23, 2015
- 268
- 342
Dini zingekuwa na upendo zisingekuwa zinafundisha watu kuwa mtu wa dini yako ndiyo ndugu yako.
Zilitakiwa zifundishe binadamu mwenzako ndiyo ndugu yako.
Sasa mtoto wa miaka 5 unamfundisha kuwa wakristo wenzake ndiyo ndugu zake au waislamu wenzake ndiyo ndugu zake, ww unadhani huyu mtoto atakuwa na upendo zidi ya binadamu wengine?