Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
- Thread starter
- #41
unawzeza kuprove hilo?Moja wapo ya kikwazo cha maendeleo ya waafirika ni kuwa na watu wenye mawazo ya kijinga kama ya kwako.
au umetumia emotion kudefend dini?
soma vizuri mada eidha hujasoma hujaelewa au hujasoma yote.Kwahiyo ukiwa mkiristo au mwislam basi ndo kigezo cha kushindwa kufanya maendeleo au?
Kama ndio hivyo mbona Thairand ambayo asilimia 90 ni mabudha isizizidi maendeleo UAE,Qtaar,saudia, Uturuki, Malaysia,Indonesia,Iran,Burunei ambayo asilimia karibia 95 ya raia wake ni waislam?
ndio maana nimesema dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika. na sio dini zimedumaza ufahamu wa mwafrika, ufahamu wa mwafrika ulishadumaa kutokana na mazingira.
nimesema afrika.Kama ndio hivyo mbona Mianimar ambayo aslimia 95 ya raia wake ni mabudha isizizidi maendeleo ,Marekani, Ujerumani,ufaransa,Italia ambazo zaidi ya asilimia 90 ya raia wake ni wakiristo?
hakuna sehemu nimesifia wahindi.Hao wahindi unao wasifia kuabudu dini zao za asili ndo kila siku wana kimbilia Ulaya na mashariki ya kati kutafuta kazi kwa hao wenye hizo dini ambazo una ziponda.
bali nimesema china.
wewe ndio ilibidi uunganishe akili yako kala hujacomment mimi nimesema dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika na sio dini zimedumaza ufahamu wa mwafrika.Hata hapa Tz asilimia kubwa ya wasukuma hasa wa vijijini hawaaini katika hizo dini je wamefanya maajabu gani ndani ya Tz?
Mkuu kabla hujaleta mada jaribu kuangaisha akili yako.
ufahamu wa mwafrika ulishadumaa tangu mwanzo. soma kwa makini nilichoandika.
unajaribu kupingana na ukweli kwa kwenda nje ya afrika.