Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

Ukristo ni dini na una madhehebu mengi ndani yake,acha kuhamisha mjadala.
Tafadhali naomba urekebishe mada yako, ukristo sio dini. Kwaza kabisa kristo ni Mungu mtu. Ukristo ni Imani ya kuamini katika kristo. Dini ni mfumo, taratibu, sheria na kanuni anuai zinazoendesha imani ya kikristo
 
Huyo jamaa anahitaji msaada mkubwa sana wa kiakili,anasikitisha sana.
 
Mwafrika kadumazwa na kumuachia Mungu au Allah mambo yake,hafanyi juhudi za dhati kuleta mabadiliko makubwa katika maisha yake,tunatia huruma sana.
Nimekuuliza dini inakatazaje watu au inazuiaje watu kufikiria kutengeneza magari ya kisasa ama kuvumbua vifaa mbalimbali vya technolojia vya kisasa ?

Mwafrika kadumazwa kivipi ?
 
Hata Ulaya dini zilikuwa kikwazo cha mabadiliko na maendeleo kwa muda mrefu kabla raia hawajaanza kuzipuuza baada ya zama za giza.
Nimekuuliza dini inakatazaje watu au inazuiaje watu kufikiria kutengeneza magari ya kisasa ama kuvumbua vifaa mbalimbali vya technolojia vya kisasa ?

Mwafrika kadumazwa kivipi ?
 
Mwafrika kadumazwa na kumuachia Mungu au Allah mambo yake,hafanyi juhudi za dhati kuleta mabadiliko makubwa katika maisha yake,tunatia huruma sana.
Juhudi za dhati kama zipi ambazo anamuachia Allah ?
 
Ushirikina ni dini pia
 
Hebu muulize tu, babu wa babu yake alikuwa mkristo au Muisilamu???, kama hakuwa na moja kati ya hizo dini basi atuambie alikuwa na maendeleo gani mbali na kuwa mchawi na mshirikina katika zama hizo.
 
Hizi dini hasa ukristo mamboleo umefanya vilaza wawaogope wahuni wanaoitwa wachungaji kuliko hata MUNGU aliyetuumba.
 
Tafadhali naomba urekebishe mada yako, ukristo sio dini. Kwaza kabisa kristo ni Mungu mtu. Ukristo ni Imani ya kuamini katika kristo. Dini ni mfumo, taratibu, sheria na kanuni anuai zinazoendesha imani ya kikristo
Unaruka huku na kule halafu unaishia kukanyaga pale pale
 
Dini huko zilipotokea / kuanzia hata hawakomai nazo kivilee...

Njoo Africa sasa daah!! Utadhani wao ndiyo waanzilishi wa hizi dini, wanakomaa nazo...

Cc: mahondaw
 
Mchungaji wangu aliwahi kutufundisha kuwa, linapokuja swala la maendeleo tufanye kwa jitihada kubwa kana kwamba hakuna mwisho wa dunia
Na kiroho tufikirie Mwisho wa dunia ni kesho
Hizi dini za akina gwajima na mzee wa upako, hizi za miujiza ya uongo, za kulipa watu waigize miujiza ndo zinaleta shida
mtu ananunua gari kwa muujiza
mtu anajenga kimuujiza
 
Hebu muulize tu, babu wa babu yake alikuwa mkristo au Muisilamu???, kama hakuwa na moja kati ya hizo dini basi atuambie alikuwa na maendeleo gani mbali na kuwa mchawi na mshirikina katika zama hizo.
Nilisema dini zimechangia kudumaza ufahamu mwafrika na sio dini zimedumaza ufahamu wa mwafrika.

Kuna tofauti hapo.
 
Dini huko zilipotokea / kuanzia hata hawakomai nazo kivilee...

Njoo Africa sasa daah!! Utadhani wao ndiyo waanzilishi wa hizi dini, wanakomaa nazo...

Cc: mahondaw
Yani unataka kuniambia waarabu hawajakomalia uislamu kama jinsi huku waafrika walivyoukomalia uislamu?
 
Yani unataka kuniambia waarabu hawajakomalia uislamu kama jinsi huku waafrika walivyoukomalia uislamu?

Huwezi amini... waarabu hata hawakomai na uislaam kama waAfrica wafanyavyo...

Vatican hata hawakomai na Ukristo kama waAfrica wanavyofanya...

Mlokole wa nchi sizo za Africa na mlokole waAfrica wanaendesha mambo yao ya kiroho tafauti sana... waAfrica ni ugoko kwa ugoko...

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…