mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hakuna Mungu mmoja. Dini ziko nyingi sana ambazo maagizi zilizo nayo kutoka kwa huyo Mungu yanaachana kabisa
Sisi masuni hatuna mambo ya ukuu. Sisi tuna wanazuoni wakubwa. Katika hao Wanazuoni wapo waafrika wengi na ajabu iliyoje Wasomi wakubwa wa Lugha ya Kiarabu si waarabu kiasili.
Kuachana kwa maagizo ni Sababu ya sisi wenyewe binadamu.
Kama hakuna mungu mmoja.
Wewe umeumbwa na mungu yupi?
Ndio maana yake wanna laaana wale .hata hivyo vodoo sio dini ni uchawi
Sio kila mtu anaamini kwenye uumbaji au story mlizoletewa na mizungu na miarabu kwa viboko na mijeredi ili wawatawale.
Kama kila kitu kimeumbwa nae mungu kaumbwa na nani?
Kama wewe mwenyewe haujui umeumbwa na Nani.
Utajuaje mungu kaumbwa na Nani.?
kabla ya kumtambua mungu unapaswa ujitambue wewe
Kwahiyo china wamelaaniwa ndio maana uchumi wao unakua. Au?
Mungu gani kwanza tunamuongelea hapa maana kila mtu ana mungu wake na wengine hawana miungu kabisa.
Mimi mungu wangu anaishi ghetto kwangu nimemuumba mwenyewe. Wewe wako kaumbwa na nani?
Mimi mungu wangu Allah.
Asiye na mwanzo Wala mwisho.
Mungu wako umemuumbwa kwa material yapi!?
Je, tuondoe misahafu kwenye viapo vya kisheria? Tuape kwa mila na desturi za makabila?
Tuondoe somo la dini kwenye mitaala mashuleni?
Wazo zuri lifanyiwe kazi ili kutusaidia kujitambua sisi kiasili tuna maruhani, vibwengo, imani na tamaduni za kikwetu hasa na siyo za kigeni .
Martin Luther hakuogopa kama tunavyoogopa leo.Nimesoma comments zenu wote na nimefurahi kuona baadhi yenu mmeanza kujitambua na kuna ng’ombe zingine bado zipo machinji
China wana dini gani?
Hii comment haiishi utamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ni uduwanzi uliopita kikomo.
Ujinga usio mwisho.
Ukimuona mlokole anavyomshobokea yesu, utadhani alikuwa mpigania uhuru wa kiafrika.
Na ukiona mwarabu mweusi anapepea na kanzu nyeupe na makobazi utadhani ni vazi la taifa.
Weka chanzo Cha takwimu yakoAsilimia 75 ya wachina hawana dini.
Sasa mbona uchumi wao unakua kwa kasi na hawana dini?
Weka chanzo Cha takwimu yako
Kwahiyo majini nayo yalikuwa ni ya Waarabu, yakawa imported Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kuwa moja ya miungu ya kigeni siyo?Wazo zuri lifanyiwe kazi ili kutusaidia kujitambua sisi kiasili tuna maruhani, mahoka, vibwengo, imani na tamaduni za kikwetu hasa na siyo za kigeni .
Cheki uzi unavyokimbia na comments zake nyingi ni za imani ngeni za kuja kupitia bahari badala za mababu na mabibi zetu ya kina Zolelanga, Mukulu, Chakumwenda n.k.
Wanaweza wakawa hawana dini ila wana imani ya kuwa Mungu yupo.