dormant accont
Senior Member
- Jan 4, 2022
- 154
- 162
Saudi wameweka ili wapige hela.Sasa mkuu mfano hilo la kwenda kuhiji huko Saudia wewe ulitaka iweje yani kwamba Saudia ndio wameweka hiyo ibada ili waingize hela au kwamba ilitakiwa gharama zote wabebe nchi ya Saudia? Hebu fafanua
Ushoga ulikuwepo kila mahali Duniani .
Ni wapunbavu TU ndio wanaaminisha watu kwa manufaa yao kuwa Ushoga haukuwepo Afrika. Wakati tukiwa watoto tulikua tunasikia kuwa Fulani anapigwa nyuma. Na ilikua ni kijijini kabisa. Hata mitandao haikuwepo.
Kule Musoma Kuna Mila za Mwanamke kuoa Mwanamke Mwenzake. Unaonaje kama Mila hizo zingetumika na kutangazwa Duniani?
Dunia nzima Ina vitu vinavyowakumba watu Kwa sababu ya wakuongezeka uovu na sio Mila wala tamaduni.
Kila tamaduni zina walevi ,wazinzi, wauaji n.k. Tofauti ni namna jamii inavyoshughulikia uovu huo . Afrika zipo Mila nzuri na mbaya na kila mahali zipo nzuri na mbaya. Tamaa za watu sio Mila ni hulka na tabia za watu. Maendeleo tunaiga kutoka Kwa wengine na matokeo yake watu wanajifunza mambo maovu. Mfano watoto wanaozaliwa DSM huwezi kuwafananisha na wale wa kule ukerewe. Jamii zetu Kwa Sasa zinateswa na rushwa na ubadhirifu wa Mali za umma. Kukosa usawa na haki Kwa wote . Haya hayahitaji dini za watu Bali ni utashi na uzalendo na kuweka Sheria Kali. Tamaa za watu hazihusiani na dini za uzungu wa uhindi Wala uarabu ni jamii yenyewe. Tamaa inawafanya watu kuwa chawa na chawa wengi wanaliwa.
Mkuu uislamu upo kabla ya hilo taifa la Saudia arabia.Saudi wameweka ili wapige hela.
Wametumia kuzaliwa kwa Muhammad, kufa kwake na kuandika maandishi ya kuran kama kisingizio tu cha kutangaza nchi yao kitalii.
Ndo muache kuwapelekea fedha zinazotokana na hija.Mkuu uislamu upo kabla ya hilo taifa la Saudia arabia.
Mkuu huko Asia kote utamaduni wa kimagharibi umeathiri pia, kuna vitu huwezi kuzuia mkuu.Umeeleza vizuri.
Sisi tunazo tamaduni zetu na wakoloni wametuambukiza vitu vingi kwenye tamaduni zao.
Ila hili la kufata miungu yao na kutoa sadaka zinazoenda Italy na Uingereza ua kuhiji na kuipatia mapato Saudi Arabia siungani nalo kabisa. Halina kabisa mantiki
Wewe akili imeshahribika..wakulya wanawake wenye uwezo walikua wanao mwanamke mwingine lengo sio kumlala wala kusagana...alikuwa anatafutiwa kijana wa kiume ambaye atamlala na kumzalisha..kisha hao watoto watakao zaliwa watakua watoto wa mwanamke aliyeoa.Ushoga ulikuwepo kila mahali Duniani .
Ni wapunbavu TU ndio wanaaminisha watu kwa manufaa yao kuwa Ushoga haukuwepo Afrika. Wakati tukiwa watoto tulikua tunasikia kuwa Fulani anapigwa nyuma. Na ilikua ni kijijini kabisa. Hata mitandao haikuwepo.
Kule Musoma Kuna Mila za Mwanamke kuoa Mwanamke Mwenzake. Unaonaje kama Mila hizo zingetumika na kutangazwa Duniani?
Dunia nzima Ina vitu vinavyowakumba watu Kwa sababu ya wakuongezeka uovu na sio Mila wala tamaduni.
Kila tamaduni zina walevi ,wazinzi, wauaji n.k. Tofauti ni namna jamii inavyoshughulikia uovu huo . Afrika zipo Mila nzuri na mbaya na kila mahali zipo nzuri na mbaya. Tamaa za watu sio Mila ni hulka na tabia za watu. Maendeleo tunaiga kutoka Kwa wengine na matokeo yake watu wanajifunza mambo maovu. Mfano watoto wanaozaliwa DSM huwezi kuwafananisha na wale wa kule ukerewe. Jamii zetu Kwa Sasa zinateswa na rushwa na ubadhirifu wa Mali za umma. Kukosa usawa na haki Kwa wote . Haya hayahitaji dini za watu Bali ni utashi na uzalendo na kuweka Sheria Kali. Tamaa za watu hazihusiani na dini za uzungu wa uhindi Wala uarabu ni jamii yenyewe. Tamaa inawafanya watu kuwa chawa na chawa wengi wanaliwa.
Acha kupotosha watu. Hakuna dini iliyokua inaua watu. Wanasiasa wamelemaza sana akili zetu .Dini za wakoloni zilikua nzuri mno ndio maana wakazunguka dunia nzima wakiua watu, wakiiba na kuwaambukiza dini. Dini zenye nguvu zilizoenea kwa kuua wengine.
Sijasema kuiga tamaduni kama ni nzuri ni kitu kibaya. Mi napinga maswala ya mwafrika kunufaisha mataifa mengine kwa sadaka eti kisa dini. Hiki mi ntakipinga milele.Mkuu huko Asia kote utamaduni wa kimagharibi umeathiri pia, kuna vitu huwezi kuzuia mkuu.
Nimetumiwa ujumbe mfupi wa maneno (text message) toka kwenye namba yenye code 379 kunitaka nisitishe mada. "Sitisha hiyo mada"Dini zao zimetuletea ushoga ambao haukuwahi kuwa utamaduni wa Mwafrika.
Nadhani tunaweza kubaki na dini hizi za kikoloni ila tuzifanyie maboresho ku-suit mazingira na matakwa ya Afrika na pia tujitenge nao Wazungu, Waarabu na Wahindi wa ughaibuni nikimaanisha kwamba Afrika ijiondoe kujifungamanisha na makao makuu ya dini hizi zilizoko huko Ulaya, Americas na Uarabuni, yaani African versions za dini hizi za mkoloni makao yake makuu ya dunia yawe hapa hapa Afrika. Can this save any purpose?
Acha kupotosha watu. Hakuna dini iliyokua inaua watu.
Wanasiasa wamelemaza sana akili zetu .
Bbi yangu alizaliwa mwaka 1817 akafariki mwaka 2000 . Alikua anatusimulia mambo Mengi sana kuhusu wamisionari. Wamisionari walikua ni watu wema sana . Walikuta vita nyingi na za makabila. Wamisionari walikuja Afrika Karne ya 20 wakati huo Wageni walishafika Afrika tangu Karne ya 9 na 12. Waarabu walikua wameshasimika dini Afrika karibu kila mahali. Hata mkwawa alikua ni Kijukuu Cha waarabu. Hakuwa Mwafrika halisi. Afrika Kaskazini mpaka magharibi ilikua imeshafikiwa na ustaarabu wa kiarabu. Afrika mashariki kama Dola la Kilwa lilikua la dini ya kiislam na waliishi vizuri na wenyeji. Tatizo lilikua wafanyakazi ambao waliitwa Watumwa wakati huo walikua wanapatikana Kwa nguvu tofauti na Sasa Watumwa wanapatikana Kwa kuomba ajira. Haingewezekana kueneza dini bila kuwa na serikali inayosimamia watu wasivunje Sheria . Wamisionari walikua wanauawa kinyama hivyo ilikua ni lazima serikali zao zilinde watu wao Kwa kutoa adhabu Kali. Hata Leo watu wanaoua albino Kwa Imani za dini za kiasili za Kiafrika inabidi wadhibitiwe na serikali sio dini. Waafrika wengi waliwachukulia wazungu kama albino au zeruzeru. Waliwaua bila kuhofia kuwa wameua binadamu. Ungetegemea Nini kama sio serikali za kikoloni kuleta majeshi kulinda watu wao.
Leo Afrika watu wanaandamana wanapigwa risasi , hapo sio suala la wamisionari Wala dini ni uroho wa madaraka na chuki. Dunia Iko hivyo Kwa watu wasio na maendeleo na wabinafsi kudhulumiana Kwa tamaa ya Mali
Kama unavyooona Leo akina Mwamposa wanavuta watu Kwa ushawishi ndivyo ilivyokua tangu mwanzo hakuna mtu aliyelazimishwa kuwafuata wamisionari
Sio kuiga tamaduni nzuri tu bali hata zile tamaduni mbaya zimepenya huko Asia ila tatizo sie tunaangalia miungu yao tu huko Asia hatuangalii mambo mengine. Sasa hilo la sadaka kwani sadaka wanatoa afrika tu mkuu? Mbona sababu zengine hazina mantiki mkuu.Sijasema kuiga tamaduni kama ni nzuri ni kitu kibaya. Mi napinga maswala ya mwafrika kunufaisha mataifa mengine kwa sadaka eti kisa dini. Hiki mi ntakipinga milele.
Nimekwambia hiyo dini ipo kabla ya hilo taifa, sasa kama unaona waislamu kwenda kule kwa ajiri ya imani yao ni kuwafaidisha Saudia je ulitaka Saudia ndio agharamie hizo gharama za watu wanaoenda kuhiji au kwamba wasiende kuhiji kwa sababu Saudia tutawaingizia hela Saudia?Ndo muache kuwapelekea fedha zinazotokana na hija.
Ni ujinga mno kuwaingizia fedha kwa kisingizio cha dini.
Kuna school of thought (mkondo wa uelewa) kwamba mojawapo ya madhara ya dini za kigeni ni mporomoko wa kimaadili ya asili ya Waafrika. Katika mkondo huo wa uelewa yafuatayo yanatajwa na asili yake:-Acha kupotosha watu. Hakuna dini iliyokua inaua watu.
Wanasiasa wamelemaza sana akili zetu .
Bbi yangu alizaliwa mwaka 1817 akafariki mwaka 2000 . Alikua anatusimulia mambo Mengi sana kuhusu wamisionari. Wamisionari walikua ni watu wema sana . Walikuta vita nyingi na za makabila. Wamisionari walikuja Afrika Karne ya 20 wakati huo Wageni walishafika Afrika tangu Karne ya 9 na 12. Waarabu walikua wameshasimika dini Afrika karibu kila mahali. Hata mkwawa alikua ni Kijukuu Cha waarabu. Hakuwa Mwafrika halisi. Afrika Kaskazini mpaka magharibi ilikua imeshafikiwa na ustaarabu wa kiarabu. Afrika mashariki kama Dola la Kilwa lilikua la dini ya kiislam na waliishi vizuri na wenyeji. Tatizo lilikua wafanyakazi ambao waliitwa Watumwa wakati huo walikua wanapatikana Kwa nguvu tofauti na Sasa Watumwa wanapatikana Kwa kuomba ajira. Haingewezekana kueneza dini bila kuwa na serikali inayosimamia watu wasivunje Sheria . Wamisionari walikua wanauawa kinyama hivyo ilikua ni lazima serikali zao zilinde watu wao Kwa kutoa adhabu Kali. Hata Leo watu wanaoua albino Kwa Imani za dini za kiasili za Kiafrika inabidi wadhibitiwe na serikali sio dini. Waafrika wengi waliwachukulia wazungu kama albino au zeruzeru. Waliwaua bila kuhofia kuwa wameua binadamu. Ungetegemea Nini kama sio serikali za kikoloni kuleta majeshi kulinda watu wao.
Leo Afrika watu wanaandamana wanapigwa risasi , hapo sio suala la wamisionari Wala dini ni uroho wa madaraka na chuki. Dunia Iko hivyo Kwa watu wasio na maendeleo na wabinafsi kudhulumiana Kwa tamaa ya Mali
Kama unavyooona Leo akina Mwamposa wanavuta watu Kwa ushawishi ndivyo ilivyokua tangu mwanzo hakuna mtu aliyelazimishwa kuwafuata wamisionari
Sio kuiga tamaduni nzuri tu bali hata zile tamaduni mbaya zimepenya huko Asia ila tatizo sie tunaangalia miungu yao tu huko Asia hatuangalii mambo mengine. Sasa hilo la sadaka kwani sadaka wanatoa afrika tu mkuu? Mbona sababu zengine hazina mantiki mkuu.
Hahahaaa... kwahiyo Nyumbanthobu ilikuwa ina address tatizo la kutoolewa Musoma siyo? Then ingesambaa leo nchini ingepewa kongole na wadada single labda.Wewe akili imeshahribika..wakulya wanawake wenye uwezo walikua wanao mwanamke mwingine lengo sio kumlala wala kusagana...alikuwa anatafutiwa kijana wa kiume ambaye atamlala na kumzalisha..kisha hao watoto watakao zaliwa watakua watoto wa mwanamke aliyeoa.
#MaendeleoHayanaChama
Alafu dini zao zimetumislead kwamba mtu leo anaweza kusafiri kwa imani hadi Ulaya bila kumiliki hati ya kusafiria (Wasabato Masalia). Ila dini ya Mwafrika inampa mtu uwezo wa kusafiri popote kwa ungo bila kuonekana kwenye radar za Mzungu.Huh😳
We jamaa umechotwa akili kweli.
Wamissionary walikua watangulizi wa ukoloni, walikuja kwa kisingizio cha kuleta habari njema ( biblia) lakini waliporudi kwao walipeleka taarifa za kiintelijensia kuhusu tamaduni zetu na resources tulizonazo.
Wamissionary walichangia sisi kurahisishwa kuvamiwa na kusign bogus treaties.
Wewe bibi yako kakudanganga unakuja kutudanganya na sisi kwasababu unapenda watu waliotuvamia kwa bunduki na kutuuza kama watumwa.
Waafrika ndio maana tunadharaulika.
Sijasema ni sahihi ila nachokipinga humu ni hizi lawama kwa afrika kwamba sijui tumeletewa dini za wakoloni wakati dini zipo sehemu zengine za dunia kwanini tuone hizi dini zimeundwa kwa ajiri ya kuwapumbaza waafrika tu?We jamaa, nani kawambia vitu wakifanya watu nje ya Africa haijalishi ni nini basi vipo sahihi? Ujinga wa kua chini ya papa au kupeleka fedha Saudi Arabia huwezi kuukustify kwa kusema mbona nje ya Africa wanaufanya.
Tamthilia ya BONDITA kwenye Kisimbusi cha Azam kinang'amua kuwa imani ya mungu Durga inasema kwamba mume akifa basi mjane anachomwa pamoja na mumewe aliye mfu. Dini za Kihindi zilizoko Afrika huko ndiko asili yake.Kuna school of thought (mkondo wa uelewa) kwamba mojawapo ya madhara ya dini za kigeni ni mporomoko wa kimaadili ya asili ya Waafrika. Katika mkondo huo wa uelewa yafuatayo yanatajwa na asili yake:-
1. Ushoga ulitoka Ulaya.
2. Ubakaji ulitoka Ulaya.
3. Mlango wa KIA ulitoka Uarabuni.
NB. Waafrika waliishi bila nguo (nguo zililetwa na Mzungu) lakini hakukuwa na matukio kama haya au kama yalikuwepo basi ni kwa uchache sana ambacho hakitoshi kuhalalisha kuwa ni janga la dunia. Lakini hata hivyo leo watu wanaabudu kwa mfumo wa kigeni kwa kuvalia nguo zisizo na staha na kuibua mjadala mpya wa kimaadili.
Kwanini dini ihusike?
Kwa sababu Dini ndiyo ilitangulia ku-document mambo hayo kwenye Misahafu, Sheria za nchi dhidi ya maovu hayo hazikuwepo (zimetungwa hivi karibuni) na mila na desturi za asili hazikusisitiza dhidi ya maovu hayo kwa sababu ama hayakuwepo au yalikuwepo kwa uchache sana.
Aidha, nadhani adhabu kali haziwezi kumaliza kadhia hii, tunayo sheria kali ya ubakaji lakini bado Madawati ya Jinsia kwenye vituo vya Polisi yanapokea kesi nyingi sana. Watu wanachomwa moto wa matairi lakini bado. Kwenye Biblia kuliwa na kupigwa mawe hadi kufa, kufungwa jiwe la kusagia shingoni lakini bado akina Mfalme Daudi, Abimeleki walichepuka.
Duh!!Yesu siyo muarabu ni Myahudi. Uislamu ni agano la kale la Biblia. Uislamu ulianzishwa na mapadre watano wa kikatoliki walioasi kanisa katoliki miaka 500 baada ya Kristo.
Acha siasa.Huh[emoji15]