Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

Sasa mkuu mfano hilo la kwenda kuhiji huko Saudia wewe ulitaka iweje yani kwamba Saudia ndio wameweka hiyo ibada ili waingize hela au kwamba ilitakiwa gharama zote wabebe nchi ya Saudia? Hebu fafanua
Saudi wameweka ili wapige hela.
Wametumia kuzaliwa kwa Muhammad, kufa kwake na kuandika maandishi ya kuran kama kisingizio tu cha kutangaza nchi yao kitalii.
 
Umeeleza vizuri.

Sisi tunazo tamaduni zetu na wakoloni wametuambukiza vitu vingi kwenye tamaduni zao.

Ila hili la kufata miungu yao na kutoa sadaka zinazoenda Italy na Uingereza ua kuhiji na kuipatia mapato Saudi Arabia siungani nalo kabisa.

Halina kabisa mantiki
Ushoga ulikuwepo kila mahali Duniani .
Ni wapunbavu TU ndio wanaaminisha watu kwa manufaa yao kuwa Ushoga haukuwepo Afrika. Wakati tukiwa watoto tulikua tunasikia kuwa Fulani anapigwa nyuma. Na ilikua ni kijijini kabisa. Hata mitandao haikuwepo.
Kule Musoma Kuna Mila za Mwanamke kuoa Mwanamke Mwenzake. Unaonaje kama Mila hizo zingetumika na kutangazwa Duniani?

Dunia nzima Ina vitu vinavyowakumba watu Kwa sababu ya wakuongezeka uovu na sio Mila wala tamaduni.
Kila tamaduni zina walevi ,wazinzi, wauaji n.k. Tofauti ni namna jamii inavyoshughulikia uovu huo . Afrika zipo Mila nzuri na mbaya na kila mahali zipo nzuri na mbaya. Tamaa za watu sio Mila ni hulka na tabia za watu. Maendeleo tunaiga kutoka Kwa wengine na matokeo yake watu wanajifunza mambo maovu. Mfano watoto wanaozaliwa DSM huwezi kuwafananisha na wale wa kule ukerewe. Jamii zetu Kwa Sasa zinateswa na rushwa na ubadhirifu wa Mali za umma. Kukosa usawa na haki Kwa wote . Haya hayahitaji dini za watu Bali ni utashi na uzalendo na kuweka Sheria Kali. Tamaa za watu hazihusiani na dini za uzungu wa uhindi Wala uarabu ni jamii yenyewe. Tamaa inawafanya watu kuwa chawa na chawa wengi wanaliwa.
 
Saudi wameweka ili wapige hela.
Wametumia kuzaliwa kwa Muhammad, kufa kwake na kuandika maandishi ya kuran kama kisingizio tu cha kutangaza nchi yao kitalii.
Mkuu uislamu upo kabla ya hilo taifa la Saudia arabia.
 
Umeeleza vizuri.
Sisi tunazo tamaduni zetu na wakoloni wametuambukiza vitu vingi kwenye tamaduni zao.
Ila hili la kufata miungu yao na kutoa sadaka zinazoenda Italy na Uingereza ua kuhiji na kuipatia mapato Saudi Arabia siungani nalo kabisa. Halina kabisa mantiki
Mkuu huko Asia kote utamaduni wa kimagharibi umeathiri pia, kuna vitu huwezi kuzuia mkuu.
 
Ushoga ulikuwepo kila mahali Duniani .
Ni wapunbavu TU ndio wanaaminisha watu kwa manufaa yao kuwa Ushoga haukuwepo Afrika. Wakati tukiwa watoto tulikua tunasikia kuwa Fulani anapigwa nyuma. Na ilikua ni kijijini kabisa. Hata mitandao haikuwepo.
Kule Musoma Kuna Mila za Mwanamke kuoa Mwanamke Mwenzake. Unaonaje kama Mila hizo zingetumika na kutangazwa Duniani?

Dunia nzima Ina vitu vinavyowakumba watu Kwa sababu ya wakuongezeka uovu na sio Mila wala tamaduni.
Kila tamaduni zina walevi ,wazinzi, wauaji n.k. Tofauti ni namna jamii inavyoshughulikia uovu huo . Afrika zipo Mila nzuri na mbaya na kila mahali zipo nzuri na mbaya. Tamaa za watu sio Mila ni hulka na tabia za watu. Maendeleo tunaiga kutoka Kwa wengine na matokeo yake watu wanajifunza mambo maovu. Mfano watoto wanaozaliwa DSM huwezi kuwafananisha na wale wa kule ukerewe. Jamii zetu Kwa Sasa zinateswa na rushwa na ubadhirifu wa Mali za umma. Kukosa usawa na haki Kwa wote . Haya hayahitaji dini za watu Bali ni utashi na uzalendo na kuweka Sheria Kali. Tamaa za watu hazihusiani na dini za uzungu wa uhindi Wala uarabu ni jamii yenyewe. Tamaa inawafanya watu kuwa chawa na chawa wengi wanaliwa.
Wewe akili imeshahribika..wakulya wanawake wenye uwezo walikua wanao mwanamke mwingine lengo sio kumlala wala kusagana...alikuwa anatafutiwa kijana wa kiume ambaye atamlala na kumzalisha..kisha hao watoto watakao zaliwa watakua watoto wa mwanamke aliyeoa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini za wakoloni zilikua nzuri mno ndio maana wakazunguka dunia nzima wakiua watu, wakiiba na kuwaambukiza dini. Dini zenye nguvu zilizoenea kwa kuua wengine.
Acha kupotosha watu. Hakuna dini iliyokua inaua watu. Wanasiasa wamelemaza sana akili zetu .

Bbi yangu alizaliwa mwaka 1817 akafariki mwaka 2000 . Alikua anatusimulia mambo Mengi sana kuhusu wamisionari. Wamisionari walikua ni watu wema sana . Walikuta vita nyingi na za makabila. Wamisionari walikuja Afrika Karne ya 20 wakati huo Wageni walishafika Afrika tangu Karne ya 9 na 12.

Waarabu walikua wameshasimika dini Afrika karibu kila mahali. Hata mkwawa alikua ni Kijukuu Cha waarabu. Hakuwa Mwafrika halisi. Afrika Kaskazini mpaka magharibi ilikua imeshafikiwa na ustaarabu wa kiarabu. Afrika mashariki kama Dola la Kilwa lilikua la dini ya kiislam na waliishi vizuri na wenyeji.

Tatizo lilikua wafanyakazi ambao waliitwa Watumwa wakati huo walikua wanapatikana Kwa nguvu tofauti na Sasa Watumwa wanapatikana Kwa kuomba ajira. Haingewezekana kueneza dini bila kuwa na serikali inayosimamia watu wasivunje Sheria . Wamisionari walikua wanauawa kinyama hivyo ilikua ni lazima serikali zao zilinde watu wao Kwa kutoa adhabu Kali.

Hata Leo watu wanaoua albino Kwa Imani za dini za kiasili za Kiafrika inabidi wadhibitiwe na serikali sio dini. Waafrika wengi waliwachukulia wazungu kama albino au zeruzeru. Waliwaua bila kuhofia kuwa wameua binadamu. Ungetegemea Nini kama sio serikali za kikoloni kuleta majeshi kulinda watu wao.

Leo Afrika watu wanaandamana wanapigwa risasi , hapo sio suala la wamisionari Wala dini ni uroho wa madaraka na chuki. Dunia Iko hivyo Kwa watu wasio na maendeleo na wabinafsi kudhulumiana Kwa tamaa ya Mali

Kama unavyooona Leo akina Mwamposa wanavuta watu Kwa ushawishi ndivyo ilivyokua tangu mwanzo hakuna mtu aliyelazimishwa kuwafuata wamisionari
 
Dini zao zimetuletea ushoga ambao haukuwahi kuwa utamaduni wa Mwafrika.

Nadhani tunaweza kubaki na dini hizi za kikoloni ila tuzifanyie maboresho ku-suit mazingira na matakwa ya Afrika na pia tujitenge nao Wazungu, Waarabu na Wahindi wa ughaibuni nikimaanisha kwamba Afrika ijiondoe kujifungamanisha na makao makuu ya dini hizi zilizoko huko Ulaya, Americas na Uarabuni, yaani African versions za dini hizi za mkoloni makao yake makuu ya dunia yawe hapa hapa Afrika. Can this save any purpose?
Nimetumiwa ujumbe mfupi wa maneno (text message) toka kwenye namba yenye code 379 kunitaka nisitishe mada. "Sitisha hiyo mada"
 
Huh😳
We jamaa umechotwa akili kweli.

Wamissionary walikua watangulizi wa ukoloni, walikuja kwa kisingizio cha kuleta habari njema ( biblia) lakini waliporudi kwao walipeleka taarifa za kiintelijensia kuhusu tamaduni zetu na resources tulizonazo.

Wamissionary walichangia sisi kurahisishwa kuvamiwa na kusign bogus treaties. Wewe bibi yako kakudanganga unakuja kutudanganya na sisi kwasababu unapenda watu waliotuvamia kwa bunduki na kutuuza kama watumwa.

Waafrika ndio maana tunadharaulika.
Acha kupotosha watu. Hakuna dini iliyokua inaua watu.
Wanasiasa wamelemaza sana akili zetu .

Bbi yangu alizaliwa mwaka 1817 akafariki mwaka 2000 . Alikua anatusimulia mambo Mengi sana kuhusu wamisionari. Wamisionari walikua ni watu wema sana . Walikuta vita nyingi na za makabila. Wamisionari walikuja Afrika Karne ya 20 wakati huo Wageni walishafika Afrika tangu Karne ya 9 na 12. Waarabu walikua wameshasimika dini Afrika karibu kila mahali. Hata mkwawa alikua ni Kijukuu Cha waarabu. Hakuwa Mwafrika halisi. Afrika Kaskazini mpaka magharibi ilikua imeshafikiwa na ustaarabu wa kiarabu. Afrika mashariki kama Dola la Kilwa lilikua la dini ya kiislam na waliishi vizuri na wenyeji. Tatizo lilikua wafanyakazi ambao waliitwa Watumwa wakati huo walikua wanapatikana Kwa nguvu tofauti na Sasa Watumwa wanapatikana Kwa kuomba ajira. Haingewezekana kueneza dini bila kuwa na serikali inayosimamia watu wasivunje Sheria . Wamisionari walikua wanauawa kinyama hivyo ilikua ni lazima serikali zao zilinde watu wao Kwa kutoa adhabu Kali. Hata Leo watu wanaoua albino Kwa Imani za dini za kiasili za Kiafrika inabidi wadhibitiwe na serikali sio dini. Waafrika wengi waliwachukulia wazungu kama albino au zeruzeru. Waliwaua bila kuhofia kuwa wameua binadamu. Ungetegemea Nini kama sio serikali za kikoloni kuleta majeshi kulinda watu wao.

Leo Afrika watu wanaandamana wanapigwa risasi , hapo sio suala la wamisionari Wala dini ni uroho wa madaraka na chuki. Dunia Iko hivyo Kwa watu wasio na maendeleo na wabinafsi kudhulumiana Kwa tamaa ya Mali

Kama unavyooona Leo akina Mwamposa wanavuta watu Kwa ushawishi ndivyo ilivyokua tangu mwanzo hakuna mtu aliyelazimishwa kuwafuata wamisionari
 
Sijasema kuiga tamaduni kama ni nzuri ni kitu kibaya. Mi napinga maswala ya mwafrika kunufaisha mataifa mengine kwa sadaka eti kisa dini. Hiki mi ntakipinga milele.
Sio kuiga tamaduni nzuri tu bali hata zile tamaduni mbaya zimepenya huko Asia ila tatizo sie tunaangalia miungu yao tu huko Asia hatuangalii mambo mengine. Sasa hilo la sadaka kwani sadaka wanatoa afrika tu mkuu? Mbona sababu zengine hazina mantiki mkuu.
 
Ndo muache kuwapelekea fedha zinazotokana na hija.
Ni ujinga mno kuwaingizia fedha kwa kisingizio cha dini.
Nimekwambia hiyo dini ipo kabla ya hilo taifa, sasa kama unaona waislamu kwenda kule kwa ajiri ya imani yao ni kuwafaidisha Saudia je ulitaka Saudia ndio agharamie hizo gharama za watu wanaoenda kuhiji au kwamba wasiende kuhiji kwa sababu Saudia tutawaingizia hela Saudia?
 
Acha kupotosha watu. Hakuna dini iliyokua inaua watu.
Wanasiasa wamelemaza sana akili zetu .

Bbi yangu alizaliwa mwaka 1817 akafariki mwaka 2000 . Alikua anatusimulia mambo Mengi sana kuhusu wamisionari. Wamisionari walikua ni watu wema sana . Walikuta vita nyingi na za makabila. Wamisionari walikuja Afrika Karne ya 20 wakati huo Wageni walishafika Afrika tangu Karne ya 9 na 12. Waarabu walikua wameshasimika dini Afrika karibu kila mahali. Hata mkwawa alikua ni Kijukuu Cha waarabu. Hakuwa Mwafrika halisi. Afrika Kaskazini mpaka magharibi ilikua imeshafikiwa na ustaarabu wa kiarabu. Afrika mashariki kama Dola la Kilwa lilikua la dini ya kiislam na waliishi vizuri na wenyeji. Tatizo lilikua wafanyakazi ambao waliitwa Watumwa wakati huo walikua wanapatikana Kwa nguvu tofauti na Sasa Watumwa wanapatikana Kwa kuomba ajira. Haingewezekana kueneza dini bila kuwa na serikali inayosimamia watu wasivunje Sheria . Wamisionari walikua wanauawa kinyama hivyo ilikua ni lazima serikali zao zilinde watu wao Kwa kutoa adhabu Kali. Hata Leo watu wanaoua albino Kwa Imani za dini za kiasili za Kiafrika inabidi wadhibitiwe na serikali sio dini. Waafrika wengi waliwachukulia wazungu kama albino au zeruzeru. Waliwaua bila kuhofia kuwa wameua binadamu. Ungetegemea Nini kama sio serikali za kikoloni kuleta majeshi kulinda watu wao.

Leo Afrika watu wanaandamana wanapigwa risasi , hapo sio suala la wamisionari Wala dini ni uroho wa madaraka na chuki. Dunia Iko hivyo Kwa watu wasio na maendeleo na wabinafsi kudhulumiana Kwa tamaa ya Mali

Kama unavyooona Leo akina Mwamposa wanavuta watu Kwa ushawishi ndivyo ilivyokua tangu mwanzo hakuna mtu aliyelazimishwa kuwafuata wamisionari
Kuna school of thought (mkondo wa uelewa) kwamba mojawapo ya madhara ya dini za kigeni ni mporomoko wa kimaadili ya asili ya Waafrika. Katika mkondo huo wa uelewa yafuatayo yanatajwa na asili yake:-

1. Ushoga ulitoka Ulaya.
2. Ubakaji ulitoka Ulaya.
3. Mlango wa KIA ulitoka Uarabuni.

NB. Waafrika waliishi bila nguo (nguo zililetwa na Mzungu) lakini hakukuwa na matukio kama haya au kama yalikuwepo basi ni kwa uchache sana ambacho hakitoshi kuhalalisha kuwa ni janga la dunia. Lakini hata hivyo leo watu wanaabudu kwa mfumo wa kigeni kwa kuvalia nguo zisizo na staha na kuibua mjadala mpya wa kimaadili.

Kwanini dini ihusike?

Kwa sababu Dini ndiyo ilitangulia ku-document mambo hayo kwenye Misahafu, Sheria za nchi dhidi ya maovu hayo hazikuwepo (zimetungwa hivi karibuni) na mila na desturi za asili hazikusisitiza dhidi ya maovu hayo kwa sababu ama hayakuwepo au yalikuwepo kwa uchache sana.

Aidha, nadhani adhabu kali haziwezi kumaliza kadhia hii, tunayo sheria kali ya ubakaji lakini bado Madawati ya Jinsia kwenye vituo vya Polisi yanapokea kesi nyingi sana. Watu wanachomwa moto wa matairi lakini bado. Kwenye Biblia kulikuwa na kupigwa mawe hadi kufa, kufungwa jiwe la kusagia shingoni lakini bado akina Mfalme Daudi, Abimeleki walichepuka.
 
We jamaa, nani kawambia vitu wakifanya watu nje ya Africa haijalishi ni nini basi vipo sahihi? Ujinga wa kua chini ya papa au kupeleka fedha Saudi Arabia huwezi kuukustify kwa kusema mbona nje ya Africa wanaufanya.
Sio kuiga tamaduni nzuri tu bali hata zile tamaduni mbaya zimepenya huko Asia ila tatizo sie tunaangalia miungu yao tu huko Asia hatuangalii mambo mengine. Sasa hilo la sadaka kwani sadaka wanatoa afrika tu mkuu? Mbona sababu zengine hazina mantiki mkuu.
 
Wewe akili imeshahribika..wakulya wanawake wenye uwezo walikua wanao mwanamke mwingine lengo sio kumlala wala kusagana...alikuwa anatafutiwa kijana wa kiume ambaye atamlala na kumzalisha..kisha hao watoto watakao zaliwa watakua watoto wa mwanamke aliyeoa.

#MaendeleoHayanaChama
Hahahaaa... kwahiyo Nyumbanthobu ilikuwa ina address tatizo la kutoolewa Musoma siyo? Then ingesambaa leo nchini ingepewa kongole na wadada single labda.
 
Huh😳
We jamaa umechotwa akili kweli.
Wamissionary walikua watangulizi wa ukoloni, walikuja kwa kisingizio cha kuleta habari njema ( biblia) lakini waliporudi kwao walipeleka taarifa za kiintelijensia kuhusu tamaduni zetu na resources tulizonazo.
Wamissionary walichangia sisi kurahisishwa kuvamiwa na kusign bogus treaties.
Wewe bibi yako kakudanganga unakuja kutudanganya na sisi kwasababu unapenda watu waliotuvamia kwa bunduki na kutuuza kama watumwa.
Waafrika ndio maana tunadharaulika.
Alafu dini zao zimetumislead kwamba mtu leo anaweza kusafiri kwa imani hadi Ulaya bila kumiliki hati ya kusafiria (Wasabato Masalia). Ila dini ya Mwafrika inampa mtu uwezo wa kusafiri popote kwa ungo bila kuonekana kwenye radar za Mzungu.

Kwenye mkoa mmoja unaopakana na nchi ya Kenya, mkoa huo ulipokea version mpya ya dhehebu linaloabudu Jumamosi likisisitiza waumini wake kutokula nyama ya jogoo, beberu, ram (kondoo dume), maksai nk kwa sababu madume ni wazinzi.

Waumini hawa walifika hatua ya kubagua makundi ya mifugo machungani kwamba dume la kundi moja likija kupanda jike kwenye kundi lingine basi dume hilo linakatwakatwa mapanga kwa sababu ni mzinzi.

Waumini hawa hawa wanatumia Msahafu unaotumiwa na madhehebu mengine, baghosha!
 
We jamaa, nani kawambia vitu wakifanya watu nje ya Africa haijalishi ni nini basi vipo sahihi? Ujinga wa kua chini ya papa au kupeleka fedha Saudi Arabia huwezi kuukustify kwa kusema mbona nje ya Africa wanaufanya.
Sijasema ni sahihi ila nachokipinga humu ni hizi lawama kwa afrika kwamba sijui tumeletewa dini za wakoloni wakati dini zipo sehemu zengine za dunia kwanini tuone hizi dini zimeundwa kwa ajiri ya kuwapumbaza waafrika tu?

Mnasema waafrika tumeacha tamaduni zetu na kufuata za wazungu na kusema waasia wao bado wanaamini miungu yao, ndio nikasema kuwa hata hao waasia nao pia wameathiriwa na tamaduni za hao wakoloni.
 
Kuna school of thought (mkondo wa uelewa) kwamba mojawapo ya madhara ya dini za kigeni ni mporomoko wa kimaadili ya asili ya Waafrika. Katika mkondo huo wa uelewa yafuatayo yanatajwa na asili yake:-

1. Ushoga ulitoka Ulaya.
2. Ubakaji ulitoka Ulaya.
3. Mlango wa KIA ulitoka Uarabuni.

NB. Waafrika waliishi bila nguo (nguo zililetwa na Mzungu) lakini hakukuwa na matukio kama haya au kama yalikuwepo basi ni kwa uchache sana ambacho hakitoshi kuhalalisha kuwa ni janga la dunia. Lakini hata hivyo leo watu wanaabudu kwa mfumo wa kigeni kwa kuvalia nguo zisizo na staha na kuibua mjadala mpya wa kimaadili.

Kwanini dini ihusike?

Kwa sababu Dini ndiyo ilitangulia ku-document mambo hayo kwenye Misahafu, Sheria za nchi dhidi ya maovu hayo hazikuwepo (zimetungwa hivi karibuni) na mila na desturi za asili hazikusisitiza dhidi ya maovu hayo kwa sababu ama hayakuwepo au yalikuwepo kwa uchache sana.

Aidha, nadhani adhabu kali haziwezi kumaliza kadhia hii, tunayo sheria kali ya ubakaji lakini bado Madawati ya Jinsia kwenye vituo vya Polisi yanapokea kesi nyingi sana. Watu wanachomwa moto wa matairi lakini bado. Kwenye Biblia kuliwa na kupigwa mawe hadi kufa, kufungwa jiwe la kusagia shingoni lakini bado akina Mfalme Daudi, Abimeleki walichepuka.
Tamthilia ya BONDITA kwenye Kisimbusi cha Azam kinang'amua kuwa imani ya mungu Durga inasema kwamba mume akifa basi mjane anachomwa pamoja na mumewe aliye mfu. Dini za Kihindi zilizoko Afrika huko ndiko asili yake.

Kwa Wayahudi, watoto wa kike hawahesabiwi kwenye uzao bali wa kiume tu. Dini za Kiyahudi zilizoko Afrika huko ndiko asili yake.

Uarabuni, imani ya Kiislam haitoi kibali kwa mwanamke kuwa rais (Waislam wengine duniani wanachakachuwa tu sheria hii na kuwa viongozi). Kwa mujibu wa mila na desturi za Kiarabu mwanamke anatakiwa kuwa entertainer wa mumewe tu, nothing else of that! Dini za Kiarabu zilizoko Afrika huko ndiko asili yake.

Hizi imported religions kwa Afrika zina ustaarabu gani kuzidi dini za asili za Kiafrika?
 
Yesu siyo muarabu ni Myahudi. Uislamu ni agano la kale la Biblia. Uislamu ulianzishwa na mapadre watano wa kikatoliki walioasi kanisa katoliki miaka 500 baada ya Kristo.
Duh!!
 
Huh[emoji15]
We jamaa umechotwa akili kweli.
Wamissionary walikua watangulizi wa ukoloni, walikuja kwa kisingizio cha kuleta habari njema ( biblia) lakini waliporudi kwao walipeleka taarifa za kiintelijensia kuhusu tamaduni zetu na resources tulizonazo.
Wamissionary walichangia sisi kurahisishwa kuvamiwa na kusign bogus treaties.
Wewe bibi yako kakudanganga unakuja kutudanganya na sisi kwasababu unapenda watu waliotuvamia kwa bunduki na kutuuza kama watumwa.
Waafrika ndio maana tunadharaulika.
Acha siasa.

Mmisionari wa kwanza aliika Zanzibar akakuta Kuna serikali ya Sultani na Waislam walikuwepo. Na hata waliotafsiri Biblia walikua ni waislam na walimpa mpaka Eneo la kujenga kanisa. Walikuta tayari waafrika tunatawaliwa na Waarabu Kwa Karne nyingi. Dini ni dini na serikali ni serikali tangu enzi za Farao.

Kinachafanyika ni serikali kuweka chawa wake Kwa baadhi ya watu kwenye dini ili watawake kwa urahisi. Mimi nimetokea kwenye Eneo lililofikiwa na Wamisionari wa mwanzo kabisa Amini usiamini walikua ni watu Wazuri sana huwezi kuwalinganisha hata na viongozi wa dini wa Leo.

Huwezi kuwalinganisha hata na wanasiasa wa Leo. Vitabu vingi vya historia ni vya uongo kutokana na mahitaji na malengo ya wapigania nafasi za madaraka kupitia kile walichokiita Uhuru. Wasingeweza kuwasifia wakoloni wakati wanataka kuwaondia madarakani. Hata Leo inatokea Kwa wapinzani wanapotaka kuwatoa watawala madarakani ni lazima wawape Jina baya.

Serikali ya Kikoloni ilikua ni katili kama zilivyo serikali nyingi Duniani mpaka Leo. Mbowe anateseka gerezani sio kwamba anateswa na wazungu Bali ni Watawala wanaolinda utawala wao dhidi ya upinzani. Wakoloni waligeuka kuwa wabaya sana baada ya watu kuanza kudai uhuru na kuhujumu Miundo mbinu yao ya kiuchumi.

Hata Leo ukitaka kuiona serikali kuwa Haina Cha mkoloni Wala Mwafrika jaribu kuhujumu Miundo mbinu yake au kudai haki Kwa nguvu. Ni hulka ya binadamu sio dini Wala rangi. Nyerere alilelewa na wamisionari na watawala wengi ni zao la wamisionari. Wangekua wabaya kivile tunavyodanganywa wasingewapa Elimu ya kujitawala.

Wangekua wabaya wasingeweza kuvunja ukabila uliokua umejichimbia kila mahali na kuzaa viligha vingi mana watu walikua hata hawachangamani. Watu wakajikuta wanakutana Misikitini na makanisani wa makabila tofauti. Wanakutana kwenye shule. Wamisionari walijitoa sana.

Leo hii Kuna wahubiri wabongo wenzetu lakini hawana msaada wowote wa kijamii zaidi ya kumiliki Makanisa mijini na kula Bata,hawawezi kuishi vijijini na maporini kama wamisionari walivyotoka kwao na kuja Afrika kuishi maisha mapya Kwa watu wasiojua kusoma Wala kuandika.

Usifikiri ilikua ni kazi rahisi. Ilihitaji akili kubwa. Nilikaa Mzee mmoja alizaliwa mwaka 1904 akasomo mpaka darasa la nne akawa Karani wa Wazungu Mission sehemu Moja sitaitaja jina. Alikua ni Muislam . Sijawahi kumsikia akiwasema vibaya wamisionari. Waliheshimu sana dini yake na walimshauri abadili dini lakini alikataa kabisa.

Walikua wanafuga na kula nguruwe lakini yeye alikua anapewa chakula tofauti na nyama ya nguruwe. Walikua wanamtania TU na sio kimlazimisha kula nguruwe. Walikua ni waungwana sana. Huyo Mzee alikua analaumu sana serikali baada ya uhuru. Alikua anasikitika jinsi watu walivyokuwa wanavunja Sheria bila kuchukuliwa hatua Kali.

Hata Leo Kuna watu wasioipenda serikali kutokana na kukandamizwa; watu hao kwao viongozi wa dini wanaonekana kuwa ni usalama wa Taifa na kikwazo kikubwa na hata kuambiwa kuwa wanalinda Chama Tawala. Kumbe ni Ile hali TU ya dini kujaribu kujiepusha na Dola na mambo yake. Kuuchukia Ukolini isiwe sababu ya kuwachukia Wamisionari waliotutoa kwenye Giza Nene la ukabila na ujinga.

Wamisionari walikaa sana Kilimanjaro, Iringa, Kagera ,Lushoto na Masasi. Sasa ,jiulize, je, watu wa maeneo hayo waliteswa na kukandamizwa na wamisionari? Je,watu wa maeneo hayo walikosa maendeleo,Elimu,Afya na Miundo mbinu mingine?
Ni Kwa nini maeneo hayo ndiyo yenye maendeleo na wasomi wengi endapo wamisionari walikua ni wabaya.? Si wengeendelea zaidi maeneo mengine ?

Baada ya uhuru watawala wa Kiafrika walijilimbikizia sifa zote nzuri na kuandika historia inayoonyesha kuwa Watu weupe hakuna jema hata Moja walilolifanya Afrika zaidi ya kuiba Mali zetu. Wakati huo huo watawala hao walijigeuza na kuwa wakoloni wabaya mara mia ya wakoloni mpaka Leo Kwa kutumia vitabu vya historia.
 
Back
Top Bottom