Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Duh, we msomi wa Aina gani, kwamba atheist anauguzwa na mkristo, kwamba ukiuguwa wauuguzi wako atakuwa wakristo
Unakataa historia we msomi gani, unafiki ndio unatumaliza
Hata ulivyovisoma vyote ni taka taka hata hiyo atheism no tatakataka maana Ina historia
 
Ni kama nilivyosema shida hapo ni dini na si dhana ya uwepo wa Mungu, wengi wenu sijui mnashindwa vp kuelewa kuwa hayo maswali yenu na huko kuona vitu havipo sawa ni ishu zilizotakiwa kuishia kwenye dini ila ajabu mkarukia kwenye kupinga hakuna Mungu. Mtu ambaye hana dini ila anaamini Mungu hoja zenu na maswali yenu hayawagusi kabisa.
 
Hivi kuamini kwa uthibitisho ndio kukoje? Maana naona mnapenda sana kusema huko kuamini bila uthibitisho ila huwa mnashindwa kuelezea hilo suala mkaeleweka.
 
Ukisema hujui kama Mungu yupo au hayupo tambua kuwa kuna wenye kujua kuwa Mungu hayupo ambao ni atheists, sasa hujawahi kufuatilia hoja zao na ukaridhika nazo nawe ukaweza kujua kuwa hakuna Mungu?
 
Mungu yuko wapi?hakuna mwenyejibu kamili ibaki kuwa nadharia tu ya waaminio,ili uamini lazima ujitoe akili,ukihoji wanasema unakufuru,
Kwenye uislam mbona tunahoji na Qur'an inataka tutumie akili kumjua Mungu!?..dini gani wamekuambia ukihoji unakufuru!?..unataka kujua Mungu aliko ili iweje!?..yeye anasema yupo karibu kuliko mshioa wetu mkuu wa damu,Kama unavyoamini kwamba una akili lakini huwezi kuonesha hiyo akili hata ilipo ndiyo Mungu alivyo,yupo,anaonekana kwa dalili Kama akili zako zinavyoonekana kwa dalili
 
Naomba unijibu kwanza, kwenye vita vya huko mbinguni silaha za aina Gani zilitumika?

Mimi ni mfatiliaji wa historia za kale za anunaki, naweza nikakwambia Mungu yupo nikirefer kama kiongozi wa anunaki, lakini siyo muumba wa huu ulimwengu, yeye mwenyewe wanae waliwakuta watu hapa duniani wakawafanyia modification wakawatumia kama watumwa, na ndiyo maana hata dini zimkaa kitumwa.

Naweza nikakwambia Mungu yupo, lakini hayupo kama dini zinavyofundisha. Mungu hana habari yoyote na wewe.

Hata Mbingu siyo sehemu ya spiritual kama unavyodhani, ni sehemu TU ya anga za mbali katika universe. Ipo siku watu wataenda mbinguni, ndiyo maana hata kwenye biblia Kuna watu walitaka kujenga "mnara wa babeli" (Kuna watu WA kale wanasema siyo mnara ni spaceship) wakamwone Mungu.
 
Ukisema hujui kama Mungu yupo au hayupo tambua kuwa kuna wenye kujua kuwa Mungu hayupo ambao ni atheists, sasa hujawahi kufuatilia hoja zao na ukaridhika nazo nawe ukaweza kujua kuwa hakuna Mungu?
Kwenye Dini kitu kama haukijui unaambiwa ukiamini, mnaita Imani.
Sasa kama kilakitu ambacho haukijui unakiamini wewe ni mtumwa wa fikra.
Kuna kitabu kiliandikwa na wajesuit (nimesahau jina, ila ni cha maswali na majibu kuhusu catholicism).

Moja ya swali ni kuhusu uthibitisho wa uwepo wa Mungu. Wakatoa jibu la uthibitisho, lakini mwishoni mwa jibu wanasema hizi sababu bado hazina uwezo wa kumshawishi atheist aamini Mungu yupo. Kwahiyo Mungu ni imani
 
Hivi kuamini kwa uthibitisho ndio kukoje? Maana naona mnapenda sana kusema huko kuamini bila uthibitisho ila huwa mnashindwa kuelezea hilo suala mkaeleweka.
Hizo imani za Mungu ni kwa mwamini tu ,ukizileta kwa kila mtu ndio apo kunazaa kutofautiana.

Kwa hyo unachokiamini wewe kwa mwingne hakina nafasi .
 
Halafu kwenye huo mara kukatokea nini
 
Nimeshindwa kukuelewa unasimamia nini na unataka kujenga hoja gani?
 
Hizo imani za Mungu ni kwa mwamini tu ,ukizileta kwa kila mtu ndio apo kunazaa kutofautiana.

Kwa hyo unachokiamini wewe kwa mwingne hakina nafasi .
Kuamini kwa uthibitisho ndio kukoje? Maana mnasema tunaamini bila uthibitisho.
 
Sawa ndio nauliza hujafuatilia hoja za atheists na ukaridhika nazo kuwa hakuna Mungu? Maana wewe unasema haujui kama yupo au hayupo, atheists wao wanajua hayupo je hujaridhishwa na hoja zao?
 
Kinachofanya watu waseme Mungu hayupo ni maandiko (matakatifu)
Hayo maandiko ukiyasoma logically utagundua yanapinganapingana, hivyo lazima uhitimishe kwa kusema Mungu hayupo.

Lakini unatakiwa ujue haya maandiko hasa biblia, imecopy sana mafundisho ya watu WA kale (semerians).
Ukifatilia story za hao sumerians utagundua ni kama cheo Cha urais kwa anunaki, yaani mkuu wa anunaki.
Lakini huyo Mungu siyo muumbaji wa hii Dunia Wala viumbe, wao walitufanyia modification tu kutoka homoeructus kwenda homosapiens kwa kutuwekea DNA zao.

Unawajua waliotengeneza pyramids??
Nenda YouTube kamsearch Billy Carson, mtafiti wa hayo mambo Kuna kitu labda utaelewa
 
Hauijui story ya mnara wa babeli??
Hapo unatakiwa ujiulize Mungu aliogopa nini wakati anajua Mbingu ni roho na hata wafanyaje, hawana uwezo wa kumfikia.
Kilichotokea Kawa changanya lugha hivo mission nikawa aborted Nani mwingine anaweza kuwapa lugha watu kwa muda mchache hivo, Hilo kwa wewe ndo usibithisho Mungu yupo
 
Kilichotokea Kawa changanya lugha hivo mission nikawa aborted Nani mwingine anaweza kuwapa lugha watu kwa muda mchache hivo, Hilo kwa wewe ndo usibithisho Mungu yupo
Ukiisoma biblia kama vitabu vyengine, huku ukitumia zaidi logic utagundua Kuna kitu unachezewa. Ila kama unasoma huku unasema roho mtakatifu ndiyo atakufundisha, utaendelea kuwa mtumwa maisha Yako yote
 
Hamna cha roho mtakatifu kwa elimu, unaumiza kichwa ndio inaingia, bibilia haisomwi kirohoni, Yesu asingeenda sinagogi kuulizia maswali na marabbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…