Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Kudai hakuna Mungu ni lack of belief?
Jibu ambalo ni standard ni kuwa

Mtu yeyote anatengeneza madai au assertion automatically anakuwa na mzigo wa kuthibitisha (burden of proof)

Burden of proof ipo kwa yule aliyekuja na madai ambayo yanapingana na default position.

Ipo hivi. Kama hakuna uthibitisho wa jambo lolote kuwepo basi default position hapo inakuwa "hakipo"

Sasa kama kuna mtu anakuja na madai kusema kuwa kitu hicho kipo then mzigo wa kuthibitisha unakuwa upo juu yake.

Kwa mfano hakuna uthibitisho wa kuonesha kuwa kwenye flyover ya Mfugale kuna Tembo mkubwa asiyeonekana.

Kwa hoja hii default position ni kwamba hakuna Tembo wa dizaini hiyo kwenye Flyover ya Mfugale na yeyote anayesema Tembo huyo yupo basi ni jukumu lake kuthibitisha huyo Tembo yupo.

The same kwa vitu ambavyo vipo.

Tunaweza kuona nyota, mwezi na jua angani na kutupatia uthibitisho wa default position kuwa vitu hivyo vipo.

Mtu akija na madai kusema kuwa hivyo vitu havipo lazima awe na jukumu la kuthibitisha kuonesha default position haikuwa sahihi.

Ishu inapokuja ni pale ambapo waumini mnapotaka kutushawishi kuwa Mungu ni kama mwezi kuwa mtu yeyote anaweza akathibitisha wakati kuhalisia ni Tembo asiyeonekana kwenye Flyover ya Mfugale.
 
Kwahiyo waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu waliwalazimisha kwa upanga wawe waislamu?
Katika miaka 13 aliyoishi Muhammed pale Saudia ni waarabu 150 tu ambao aliweza kuwashawishi kubadili dini.

Kwa hiyo ile sera ya dini ya haki ilianzia hapo kufeli.

Na ndio hapo ilipoanzia Jihad kama plan B baada ya plan A kushindwa.
 
Ni Kweli
 
Kwahiyo atheists kusema hakuna Mungu ni kwa sababu tu hakuna uthibitisho na si kwamba atheists wanadai hakuna Mungu kwa sababu wana uhakika juu ya hilo? Kwa sababu Agnostic pia wanasema hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu ila wao hawadai kuwa hakuna Mungu kwa sababu hakuna njia ya kujua kuwa huyo Mungu hayupo kweli tofauti na atheists ambao wao husema kwa kujiamini kwamba huyo Mungu hayupo.
 
Katika miaka 13 aliyoishi Muhammed pale Saudia ni waarabu 150 tu ambao aliweza kuwashawishi kubadili dini.

Kwa hiyo ile sera ya dini ya haki ilianzia hapo kufeli.

Na ndio hapo ilipoanzia Jihad kama plan B baada ya plan A kushindwa.
Nimeuliza waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu?
 
Hakuna cha ukweli, kuna watu kibao huogopa kufanya uhalifu kwa sababu ya kwenda jela na si kuogopa adhabu za dini. Watu wanaogopa kutembea na wanafunzi kwa sababu ya kwenda jela miaka 30 na si kuogopa kufanya zinaa kwamba atachomwa moto.
 
Hilo suala halipo😅😅unatumia nguvu ,baadhi ya Hadith za kutunga maana Qur an hamuwezi kutunga...Kama watu wangejifunza kwa lugha zao bila ya source language yaani kiaarabu basi mngebadili maana ya Qur an.
 
Huwa najiuliza waliyokuwa atheists kisha wakatoka huko na kuja kuwa waumini wa dini ni kwamba wao hawakuwa wamefungua akili wakati walipokuwa ma atheists au inakuaje hasa?
 
Ina Inasambazwa na manabii feki. Watu wamewachoka
 
Atheists kusema Mungu hayupo hiyo ni default position
 
Nimeuliza waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu?
Mwaka 1839 jamii ya wayahudi wa Mashhad walipewa option kati ya kusilimu au kufa

Is this how religion of peace does?
 
Hilo suala halipo😅😅unatumia nguvu ,baadhi ya Hadith za kutunga maana Qur an hamuwezi kutunga...Kama watu wangejifunza kwa lugha zao bila ya source language yaani kiaarabu basi mngebadili maana ya Qur an.
Tafuta hadithi ya Sunan Abi Dawud 5224 iliyokuwa narrated na Usayd ibn Hudayr

Humo ukisoma utaona Muhammad alikuwa na boyfriend

Zipo hadithi nyingi sana ambazo zinazungumzia homosexual scandal ya mtume wenu.

Majibu ya kusema kwamba ni za kutunga hatuwezi kuyachukulia kama ni hoja defensively zenye mashiko hususani tukijua wazi kuwa haupo tayari kukubali skendo chafu yeyote inayohusu dini yako.
 
"Atheism is often misunderstood and misrepresented by religious people. Atheists are sometimes accused of being immoral or lacking in spirituality. However, there is no evidence to support these claims. Atheists can be just as moral and spiritual as religious people"
 
Suala hilo halipo hata usemeje kuwa na sio kulazimisha...😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…