Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Na mganga wakeYule naye na sheikh wake argh
HulaliπNa mganga wake
Njoo tulale kitanda kinapwaya mamyπHulaliπ
Hanaga bahati kabisaAisee huyu dada anashida sana
Eti " I have a lot to share"...πππ
NshomileHivi anatokea mkoa gan huyu Bibi?
Maana nipo katika utafiti binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka yule kijana aliyemkataa pale nje Clouds tena live on air, alimtema hawana uhusiano.Hanaga bahati kabisa
Noted βοΈWapenzi wakigombana, chukua jembe ukalime.
Wakipatana, chukua kapu ukavune.
Kamkubari shekhe anaumwa degedege then anaanza kulalamikaUnakumbuka yule kijana aliyemkataa pale nje Clouds tena live on air, alimtema hawana uhusiano.
Whatever the case, they should't disclose their affair kwa media, wamalizane kimya kimya, sijui kwa nini watu huwa wanaweka personal issues zao kwa social mediaTusikie upande wa pili tuone.
Women always play a victim even in a case she has caused by herself.
They will never accept that they are wrong and sometimes they don't apologize.
Nasubiri kwanza upande wa sheikh Abdul asemaje tupate clear picture .
Kwani Sheikh alikua anaumwa nini?Shekhe kuachwa
Halafu kachambwa kwamba yeye ni mgonjwa na aliuguzwa sana
Tena kuuguzwa kwenyewe ni kwa pesa za diva maana yeye kalaghabaho
Kaka zangu tafuteni pesaaaa
Bila kusahau pua, yaani amenenepa hadi puaπ π π π
Sema tuu na alivyojinenepea mpk uso..