Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Mimi namwelewa diva Sana🙏sikubaliani na tabia zake anazopotray mitandaoni,manake sijawahi muona live.yuko sahihi,alikuwa anaishi kwenye a perfect world yake, 🙏 alikosea akidhani huo ulimwengu anaweza kuuumba akiwa tized,very big mistake.kwamba udate na kuolewa na mwanaume handsome (kwa standard zetu za kibongo bongo)afu um-recreate kuwa a man of your dreams 🤣haipo hiyo Tanzania,alifanikiwa to Vanessa,veemoney🙏na siyo hapa ni huko ulimwengu wa kwanza🙏
 
Tusikie upande wa pili tuone.

Women always play a victim even in a case she has caused by herself.
They will never accept that they are wrong and sometimes they don't apologize.

Nasubiri kwanza upande wa sheikh Abdul asemaje tupate clear picture .
Whatever the case, they should't disclose their affair kwa media, wamalizane kimya kimya, sijui kwa nini watu huwa wanaweka personal issues zao kwa social media

Kama alimuuguza au alimjali, she did for love and thats it. Asitusumbue
 
Back
Top Bottom