Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?


Diva ana upendo wa kweli halafu kwa tapeli
Nadhani amejifunza sana
 
Ndo kilichobaki
 
Wanawake hawana malengo, sasa haya mabusu yote, na anachosema sasa ni tofauti, kwenye hayo mabusu tu unaona analazimisha na jamaa wala hana mzuka.

Wanavyopenda kwa nguvu ndivyo wanavyochukia kwa Nguvu
Sasa atasemwa hadi ya sehemu za siri🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…