NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Mpenzi wako sijui yukoje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenzi wako sijui yukoje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea mganga TenaUkute mganga anajua “kutumia mwiko” wake vizuri[emoji23]
Umeona ehhh ...yaani yeye Ndo kaacha ila Ndo analalamikaa huyo anasusha Magazeti ya Rai kama yote...Na mimi nimegundua maana Diva kaacha yeye ila analalamika. Kaondoka huku roho yauma
Sanaaaaa tu,na nedy music [emoji445]Duuuh hadi Tozi amechapa? Ni kazeze ni Kazeze.
Ewaaaa ..marhabaaa Ndo huyoo huyoo bwamgangaa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana...
Hivi Rey kumbe Mganga wake ndiyo yule Bwana anayeongeleaga Mahusiano hadi kufanya Baby zetu waonekane hakuna kitu wanafanya kwenye Mahusiano?
Gk Hana kiki Sasa hv Ndo maana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]Diva alijua yale maneno anayosemaga jamaa anamaanisha?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kayakanyaga yeye arudi kwa Gk aendelee kupigwa free P hamna namna
Sijui anawapa Nini Hawa watu kaaahMganga ana mambo adimu
Gk Hana kiki Sasa hv Ndo maana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]
Mahali mil500 yani ng'ombe 1428 .571424857Kuna chumvi anaongeza sasa sijajua lengo lake la kuongeza hizo chumvi ni nini,ki ufupi ana mission yake katika hili mpk kuliweka Public.
Anajua akikaa kimya hatotongozwa maana watu watajua n mke wa mtu, hivyo hapa naona kama yupo kwenye promotion (indirect way)
Wanawake wanaotegemea wanaume kuishi mjini utawaona tu na miondoko yao ya maisha,hamnaga stable woman (financialy) anaelia lia mtandaoni kisa mapenzi.
Huyu mshahara hauendani na maisha aloyachagua kuyaishi so n lazima apate boost ya mwanaume mwenye mzigo, Kashampoteza alienae Atampataje mwingine?!?
Team Mauzo na Team Masoko ikaja na solution ni Matangazo ya Online yafanyike kutangaza Tenda.
Wakulungwa wanasema hiii imeeendaaaa Taarifa zimefikaaa, Mission Successful, Subirini Fujo za Diva kwa ataeshinda TENDA.
Masharti ni yale yale Bila Mahari Mil.500 usimsogelee Divaaaaa
Kwa nn??Mpenzi wako sijui yukoje.
Umekaa mtundu mtundu sanaKwa nn??
Wanaume walaghai wanaonekana TU macho INae Diva age imeenda angekituliza tu! Huyo mganga mwenyewe alikuwa anamvumilia tu afanyeje
Yule mganga ana mashairi na mbwembwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza kumtukana uliyenaye ukaona hupendwi, kumbe wa hovyo tu
Wanaume walaghai wanaonekana TU macho I
Diva alitaka kutoa nuksi km Mange alivosema,kashaolewa na yeye baasii haya aendelee nakusubiri 500mils aolewe Sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah500million anaoa kitu gani?!!
Na boya gani wa kutoa hizo pesa?
Yeye ajitahidi kushinda gym na kutunza ngozi uzee ushamfika, menopause haiko mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenzie kina Wolper washashtukia mchezo mapema, wakaona isiwe shida wamejituliza kwa wadogo zao na mwenzie Aunt
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
Unatamba tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
Shilole,kubwaa kuliko buheti[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]kaua bendi na matatoo..àfu ujue diva wa 1986 though anadanganya sijui 1988 mara sijui vipi..500million anaoa kitu gani?!!
Na boya gani wa kutoa hizo pesa?
Yeye ajitahidi kushinda gym na kutunza ngozi uzee ushamfika, menopause haiko mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenzie kina Wolper washashtukia mchezo mapema, wakaona isiwe shida wamejituliza kwa wadogo zao na mwenzie Aunt