Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Na mimi nimegundua maana Diva kaacha yeye ila analalamika. Kaondoka huku roho yauma
Umeona ehhh ...yaani yeye Ndo kaacha ila Ndo analalamikaa huyo anasusha Magazeti ya Rai kama yote...
Jana nilimuonea huruma ila Leo mmemuona km kavurugwaa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana...

Hivi Rey kumbe Mganga wake ndiyo yule Bwana anayeongeleaga Mahusiano hadi kufanya Baby zetu waonekane hakuna kitu wanafanya kwenye Mahusiano?
Ewaaaa ..marhabaaa Ndo huyoo huyoo bwamgangaa....
Yeye na dokta mwaka wanajifanya wanajua mapenziii...
Àfu wanaachwa vibayaa
 
Diva alijua yale maneno anayosemaga jamaa anamaanisha?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kayakanyaga yeye arudi kwa Gk aendelee kupigwa free P hamna namna
Gk Hana kiki Sasa hv Ndo maana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]
 
Gk Hana kiki Sasa hv Ndo maana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]

Nae Diva age imeenda angekituliza tu! Huyo mganga mwenyewe alikuwa anamvumilia tu afanyeje

Yule mganga ana mashairi na mbwembwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaweza kumtukana uliyenaye ukaona hupendwi, kumbe wa hovyo tu
 
Kuna chumvi anaongeza sasa sijajua lengo lake la kuongeza hizo chumvi ni nini,ki ufupi ana mission yake katika hili mpk kuliweka Public.

Anajua akikaa kimya hatotongozwa maana watu watajua n mke wa mtu, hivyo hapa naona kama yupo kwenye promotion (indirect way)

Wanawake wanaotegemea wanaume kuishi mjini utawaona tu na miondoko yao ya maisha,hamnaga stable woman (financialy) anaelia lia mtandaoni kisa mapenzi.

Huyu mshahara hauendani na maisha aloyachagua kuyaishi so n lazima apate boost ya mwanaume mwenye mzigo, Kashampoteza alienae Atampataje mwingine?!?

Team Mauzo na Team Masoko ikaja na solution ni Matangazo ya Online yafanyike kutangaza Tenda.

Wakulungwa wanasema hiii imeeendaaaa Taarifa zimefikaaa, Mission Successful, Subirini Fujo za Diva kwa ataeshinda TENDA.

Masharti ni yale yale Bila Mahari Mil.500 usimsogelee Divaaaaa
Mahali mil500 yani ng'ombe 1428 .571424857
Wenye bei ya 350k
Usukumani mi ni Sabhi ( Tajiri)
Huku Tabata ni tajiri mkubwa na chawa ntakua nao
 
Nae Diva age imeenda angekituliza tu! Huyo mganga mwenyewe alikuwa anamvumilia tu afanyeje

Yule mganga ana mashairi na mbwembwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaweza kumtukana uliyenaye ukaona hupendwi, kumbe wa hovyo tu
Wanaume walaghai wanaonekana TU macho I
Diva alitaka kutoa nuksi km Mange alivosema,kashaolewa na yeye baasii haya aendelee nakusubiri 500mils aolewe Sasa.
 
Wanaume walaghai wanaonekana TU macho I
Diva alitaka kutoa nuksi km Mange alivosema,kashaolewa na yeye baasii haya aendelee nakusubiri 500mils aolewe Sasa.

500million anaoa kitu gani?!!
Na boya gani wa kutoa hizo pesa?

Yeye ajitahidi kushinda gym na kutunza ngozi uzee ushamfika, menopause haiko mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wenzie kina Wolper washashtukia mchezo mapema, wakaona isiwe shida wamejituliza kwa wadogo zao na mwenzie Aunt
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
500million anaoa kitu gani?!!
Na boya gani wa kutoa hizo pesa?

Yeye ajitahidi kushinda gym na kutunza ngozi uzee ushamfika, menopause haiko mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wenzie kina Wolper washashtukia mchezo mapema, wakaona isiwe shida wamejituliza kwa wadogo zao na mwenzie Aunt
Shilole,kubwaa kuliko buheti[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]kaua bendi na matatoo..àfu ujue diva wa 1986 though anadanganya sijui 1988 mara sijui vipi..
Bora hata ndauka kidogoo wanalingana lingana na mmewe
 
Screenshot_20230713-081049.jpg
 
Back
Top Bottom