Diva: Mimi sina muda wa kukaa chini kumfulia mwanaume. Brand yangu kubwa sana.

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani?

Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya gari, kodi ya nyumba mpaka hela ya kusukia lakini kuinama kufua anaona ni adhabu.

Wanaume wa Dar mjitafakari sana!

anayo haki yakusema hivyo maana mashine yakufulia sikuhizi hata laki tano unapata na kwake yeye hiyo ni pesa ndogo!, ukitegemea boss wao mwenyewe ameshawalipa mshahara wa mwezi wa kumi na mbili!, Hivyo kuweni wapole pesa inawapa kiburi mtasikia kila neno mpaka mbingo zitafongoka!.
 
Kwa jamii yoyote iliyostarabika ambayo Bado inajali misingi ya family stability, mtu kama huyo Diva hawezi kabisa kupewa platform yoyote ya kusambaza ujinga na uharibifu anaoufanya.

Imagine ni wabinti wangapi wanaomchukulia kama role model wao ambao wameskiliza hayo maneno aliyokuwa anaongea Jana kwenye kipindi??
 
Wakuu,

Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani?

Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya gari, kodi ya nyumba mpaka hela ya kusukia lakini kuinama kufua anaona ni adhabu.

Wanaume wa Dar mjitafakari sana!

View attachment 3170265
And anashangaa why wanaume hawakai kwake? Wanakuja wanalamba wanaondoka? Attitude

Sio lazima umfulie kila siku due to majukumu, but sio mbaya if you do it siku moja moja
 
Wakuu,

Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani?

Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya gari, kodi ya nyumba mpaka hela ya kusukia lakini kuinama kufua anaona ni adhabu.

Wanaume wa Dar mjitafakari sana!

View attachment 3170265
Huyu ana stress sana basi tu. Ana tatizo la akili sema ni vile nchi yetu hatuwezi kutambua matatizo ya akili. yule mganga alimnyoosha. Si huyu juzi juzi alikuwa kajipiga tatoo ya vunjabei?
 
Wakuu,

Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani?

Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya gari, kodi ya nyumba mpaka hela ya kusukia lakini kuinama kufua anaona ni adhabu.

Wanaume wa Dar mjitafakari sana!

View attachment 3170265
Kusikiliza asiyejitambua kama huyu ni kupoteza muda. Huwa najiuliza, nani looser tukiamua ubaya ubaya kati ya mwanaume na mwanamke. Nikupe hela na mahitaji yote, upendo na muda wangu halafu bado hujigusi kwa lolote, ana tofauti gani na robort. Kama ni unyumba unauzwa mtaani hata kwa 5,000 tu. Mfano,, yanini nitumie mil 50, kugharamia mavitu vitu juu yako kwa kitu (unyumba) ambacho naweza kukipata kwa 10k.
 
Wanaume mnajipendekeza wenyewe kuamua kufuva mtoto wa mtu nadani kwa kisingizio cha kuoa.

Kataa ndoa
 
Back
Top Bottom