Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hata bure huyo sichukuiBrand ya Nyokwe?
Ndio maana siku zote huwa nasema Hawa wanawake wa kiafrika ambao Wana woke mentality ni wabaya sana, na hawafai hata kidogo kwa mahusiano/ndoa... Wameipokea feminism nusu nusuInashangaza jinsi wanawake wa sasa wanaona kufua na kupika ni utumwa ila mwanaume kuhangaika kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake siyo utumwa...
Na kweli ni mengi sana aliyoyaongelea Jana yasiofaa hata kidogo kuigwakuna wale watu wanajua kabisa ni wagonjwa ila wanaambukiza wengine makusudi,,ndoa sio kufua tu ila mzee inabid awe smart,sasa huyu ana ugonjwa wa kukosa ndoa kutaka kuambukiza na mabinti wanaomfatilia,na hapo lazma aliongea mengi ila mleta mada kaona la kufua tu.
Mgonjwa huyoNa kweli ni mengi sana aliyoyaongelea Jana yasiofaa hata kidogo kuigwa
Inashangaza sana kwa kweli. Unakuta wanawake hao hao wanasema hawezi kuwa na mwanaume asiyekuwa na pesa, ok sawa; je wao naprovide nini? Hakuna...Ndio maana siku zote huwa nasema Hawa wanawake wa kiafrika ambao Wana woke mentality ni wabaya sana, na hawafai hata kidogo kwa mahusiano/ndoa... Wameipokea feminism nusu nusu
Yaani zile traditional feminine roles wao wanaziita ni utumwa, ila male traditional masculine roles kama vile kuprovide, kuprotect wanataka ziendelee kuwepo.
Siikatai ndoa naitambua, ila pia simwendekezi, simwendelezi, wala sihangaiki kumuinua kiuchumi, kielimu hata kimamlaka.Wanaume mnajipendekeza wenyewe kuamua kufuva mtoto wa mtu nadani kwa kisingizio cha kuoa.
Kataa ndoa
Hakika,tunaachaga kiburi wenyeweHuyu hajapigwa pumbu vizuri ,akipigwa vizuri mwenyewe atachukua nguo kufua
Mmh! Ndio aseme redioni Mkuu ambapo kiukweli kabisa wanaosikilizaga hiyo redio asilimia kubwa ni wale kina pangu pakavu.anayo haki yakusema hivyo maana mashine yakufulia sikuhizi hata laki tano unapata na kwake yeye hiyo ni pesa ndogo!, ukitegemea boss wao mwenyewe ameshawalipa mshahara wa mwezi wa kumi na mbili!, Hivyo kuweni wapole pesa inawapa kiburi mtasikia kila neno mpaka mbingo zitafongoka!.
It's a sad society. The society will gladly give feminists the opportunities to speak on radio stations, they will give women the opportunity to speak about themselves, their struggles and spread gender hatred , they will give women the stage for them to cry on all media streams in the universe butKwa jamii yoyote iliyostarabika ambayo Bado inajali misingi ya family stability, mtu kama huyo Diva hawezi kabisa kupewa platform yoyote ya kusambaza ujinga na uharibifu anaoufanya.
Imagine ni wabinti wangapi wanaomchukulia kama role model wao ambao wameskiliza hayo maneno aliyokuwa anaongea Jana kwenye kipindi??
Wakati wanapigania usawa hawakuwaza kwamba haki sawa itakuja na wajibu sawa ndio maana wamechanganyikiwa.Ndio maana siku zote huwa nasema Hawa wanawake wa kiafrika ambao Wana woke mentality ni wabaya sana, na hawafai hata kidogo kwa mahusiano/ndoa... Wameipokea feminism nusu nusu
Yaani zile traditional feminine roles wao wanaziita ni utumwa, ila male traditional masculine roles kama vile kuprovide, kuprotect wanataka ziendelee kuwepo.