Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Mimi mke wangu labda akatae show hapo itakuwa issue. Kama hataki kufua mbona rahisi tuu, natafuta beki tatu mwenye tako, nampa mshahara wa kuridhisha anafua nguo. Shida iko wàpi?
kufua kumpikia mume kumuekea maji ya kuoga sisi baadhi ya wanawake wa sasa tunaona ni utumwa flani hivi ukichukulia kama utumwa utaona ugum kufanya but as long as you love your hubby unakua unafanya kwa mapenzi tu tena unafanya na unajisikia amaniMimi mke wangu labda akatae show hapo itakuwa issue. Kama hataki kufua mbona rahisi tuu, natafuta beki tatu mwenye tako, nampa mshahara wa kuridhisha anafua nguo. Shida iko wàpi?