Diva: Mimi sina muda wa kukaa chini kumfulia mwanaume. Brand yangu kubwa sana.

kuna wale watu wanajua kabisa ni wagonjwa ila wanaambukiza wengine makusudi,,ndoa sio kufua tu ila mzee inabid awe smart,sasa huyu ana ugonjwa wa kukosa ndoa kutaka kuambukiza na mabinti wanaomfatilia,na hapo lazma aliongea mengi ila mleta mada kaona la kufua tu.
 
Siku moja mke wangu aliniambia kuna kipindi sijui cha diva kinaongelea mapenzi... Sijui weka tusikilize nikamwambia huyo anaye zungumzia mapenzi yy yamemchapa vibaya sasa atakufubdisha nn hebu weka nyimbo ya ambwene misuli ya imani,😀😀😀
 
Inashangaza jinsi wanawake wa sasa wanaona kufua na kupika ni utumwa ila mwanaume kuhangaika kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake siyo utumwa...
Ndio maana siku zote huwa nasema Hawa wanawake wa kiafrika ambao Wana woke mentality ni wabaya sana, na hawafai hata kidogo kwa mahusiano/ndoa... Wameipokea feminism nusu nusu

Yaani zile traditional feminine roles wao wanaziita ni utumwa, ila male traditional masculine roles kama vile kuprovide, kuprotect wanataka ziendelee kuwepo.
 
Na kweli ni mengi sana aliyoyaongelea Jana yasiofaa hata kidogo kuigwa
 
Inashangaza sana kwa kweli. Unakuta wanawake hao hao wanasema hawezi kuwa na mwanaume asiyekuwa na pesa, ok sawa; je wao naprovide nini? Hakuna...
 
Wanaume mnajipendekeza wenyewe kuamua kufuva mtoto wa mtu nadani kwa kisingizio cha kuoa.

Kataa ndoa
Siikatai ndoa naitambua, ila pia simwendekezi, simwendelezi, wala sihangaiki kumuinua kiuchumi, kielimu hata kimamlaka.
 
Mmh! Ndio aseme redioni Mkuu ambapo kiukweli kabisa wanaosikilizaga hiyo redio asilimia kubwa ni wale kina pangu pakavu.

Huoni kama anamezesha watu kitu kisichofaa?
 
It's a sad society. The society will gladly give feminists the opportunities to speak on radio stations, they will give women the opportunity to speak about themselves, their struggles and spread gender hatred , they will give women the stage for them to cry on all media streams in the universe but

Never for once has they giving men same opportunities to speak about their struggles, challenges most especially the alpha males, they will hardly put men on the mainstream media for them to express themselves and empower themselves.

Before a man can have a voice, he needs to create the platform himself and even at that the society will fight him when he starts making waves.

That's why i put my all to help the men community. We must come together to help ourselves.
 
Wakati wanapigania usawa hawakuwaza kwamba haki sawa itakuja na wajibu sawa ndio maana wamechanganyikiwa.

Wanataka nafasi ya mwanaume lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanaume kupews iyo nafasi ambao ni kuwa provider na protector.

Wanataka privilege ya mwanamke lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanamke kupewa iyo privilege ambao ni submisive na house wife

Sasa hapa lazima kuwe na mkanyanyiko. Haiwezekani ukapewa nafasi ya provider at the time ubaki kuwa na privilege ya reciever, lazima balance ikosekane hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…