DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Sawa mkuu, ila mnawaandama sana utafikiri walizaliswa na vibrator
Mimi ni muumini wa ruthless methods katika kusuluhisha tatizo. Jamii ikiwa aggresive kwa single mothers, mabinti wadogo wafajifunza na kuepuka njia za waliowatangulia. In the long run itasaidia kumaliza hii epidemic of single mother and fatherless kids mtaani.

Lakini single mothers wakiendelea kuimbiwa mapambio ya ushujaa na kupewa victim status basi hiyo epidemic itaendelea kujirudia kwa miongo mingi mbele, kwa sababu hawa mabinti watajua hata wakifanya maamuzi mabovu jamii itawalinda na kuwapa sifa ya ushujaa. Hili tatizo liishe lazima kuna kundi litolewe kafara
 
Kwamba mwanamke aliyezalishwa na kuachwa ndo amemaliza dhuruba na ametulia?
πŸ˜‚ Haya
Kuna delusion ya kipumbavu sana imesambaa kwenye akili za wanawake wa kisasa. Wanaamini kwamba prime yao ni kwa ajili ya kuishi recklessly na kufanya exporation kwenye dating pool. Wakishakua expired, overused, traumatised and damaged ndio wanajibrand kwa sifa ya kupevuka kiakili, kujua wanachotaka, kumalizana na dhoruba n.k.
 
Ety kuzalishwa Ndio kutulia
Akili za wanawake bhana πŸ˜‚
 
Huna lolote eti kuadopt mtoto wewe unachuki na watoto, kitendo cha kumchukia singo maza ina maana unachukia watoto wake, watu kama nyie ni wa kuwaweka mbali sana na watoto mnaweza kuwatilia sumu au hata kuwaharibu kwa makusudi (ref: kesi za ubakaji na ulawiti), unaposema huwezi kulea mtoto wakati baba ake yupo tayari umemuhukumu mtoto kwa makosa ya wazazi wake, umeshavaa roho ya kishetani na lazima umuangalie mtoto kwa macho ya kikatili, halafu unaleta unafki eti nina adopt mtoto hahahaha wadanganye hao hao mtu kama wewe huwezi kupenda watoto wa aina hiyo,
Jamii zinazojielewa wanajua watoto ni mali, watoto ni utajiri, hawabagui watoto.
 
Ww n single mother?
 
Kwamba mwanamke aliyezalishwa na kuachwa ndo amemaliza dhuruba na ametulia?
πŸ˜‚ Haya
Unajua singo maza anapitia mangapi kulea mtoto/watoto wake? yeye ndo baba na yeye ndo mama, alipe bills, rent, matibabu, shule bado hajapitia udhalilishwaji na kusimangwa kutoka kwenye jamii isiyojielewa, huyo mwanamke unaweza kumfananisha na sie laini laini tunaofuliwa hadi chupi na wenza wetu? so jibu ni Yes, ukitaka utulivu oa singo maza amesharuka viunzi vingi.
 
Nilijua leo kichaa chako kimetulia kuna hoja unataka kujenga. Nikasema ngoja nireply comment yako. Umerudi kule kule kwenye flow yako ya kila siku. Jazba, taarabu na kutoka nje ya context. Kweli chizi haponi.
 
This is a pain in the ass to them haters. Ila hii kitu inanifunza mengi sana kuhusiana na human nature, jinsi utandawazi na malezi yalivyo haribu mpk kufikia hapa
 
Mwanamke hajawahi kua expired, ndio maana hapa mada kila siku ni za wanawake hata wewe wanawake wanakuumiza kichwa kutwa kuja na maandiko mareeefu juu ya wanawake, usipomtaka wewe atatakiwa na mwengine ndio mnawaita simps yaan inaonesha jinsi gani wanawake wanavyowashughulisha, na badoooooooo hadi mvae boxer kichwani.πŸ‘ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilijua leo kichaa chako kimetulia kuna hoja unataka kujenga. Nikasema ngoja nireply comment yako. Umerudi kule kule kwenye flow yako ya kila siku. Jazba, taarabu na kutoka nje ya context. Kweli chizi haponi.
Nimegusa kwenye mshono, mimi naweza kumdefine mtu kwa maandishi yake tu, japo utakataa ila huko ulipo utasema "khe au huyu Mariposa ananijuaaa" teh teh teh,
Naweza hadi kukwambia utoto wako ulikuaje ila kwa leo nakuacha usije ukakosa usingizi kwa kurudisha matukio ya kutisha yalokutokea (Childhood trauma)πŸ₯ΊπŸ€πŸ˜’
 
Singo mamaz watakufa wako hoii, sio kwa heka heka na shengesha wanazopewa kila leo.
Duuuh polee zao sanaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe hivi ni vitu vigumu eeh?

Mbona vikiwa vinafanywa na mume wako ndani ya ndoa huwa hamvichukulii kwa uzito hususan kwenye mgawanyo wa mali

Mara nyingi nimekuwa nikisikia mnataja majukumu ya nyumbani kama kupika, kufua, kufagia nk kama ndio hoja ya kuwafanya mstahili 50/50 dhidi ya hayo majukumu anayotekeleza mwanaume
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumekuchaaa!!
 
Nachekaa hadi sio poaa, Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Una hoja! Uzingatiwe.
 
Mimi sio muumini wa 50/50, mimi nataka uniletee mezani nile, sababu kuu ni hizo heka heka siziwezi, ila kwa mwanamke anayefanya hayo tena akiwa peke yake ndie provider nampigia salute sanaa na hua nasema ikitokea mtu anataka kumsaidia hayo majukumu asikatae
 
Kila siku wanaume na makende yenu busy discussing single mothers,kama hujazaa naye au huna mahusiano naye unasumbuka nini, wengi wenu mtakuwa na akili za kijima and very abusive,acheni upumbavu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…