DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Okay kama wewe hufungamani na 50/50 siwezi kuendelea kuku-judge maana at least una heshimu struggle za utafutaji.

Ila kuna vinega wanaona ni fair kugawana mali 50/50 ambayo hajaweka hata jasho lake.

Utasikia "wakati anaenda kutafuta hizo mali mimi nilikuwa nyumbani nampikia, so nahusika kwa uzani sawa na yeye aliyekuwa huko nje akihangaika"
 
Singo mamaz watakufa wako hoii, sio kwa heka heka na shengesha wanazopewa kila leo.
Duuuh polee zao sanaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Singo maza wako salama kabisa dear wangu, achana na vikelele uchwara vya hawa makapuku wa jf, wanaolewa, wanatunzwa, wanafuraha na watoto wao, nawatia moyo kila siku wavumilie matunda watakuja kuyaona uzeeni
 
Hatariii sanaa.
 
Yuko sahihi, inawezekana hakutoa pesa katika hizo mali ila alikupa utulivu wa akili na mwili, alikuzalia watoto na akakulelea familia yako, alikupa morali ya utafutaji, kwa hiyo umuhimu wake katika kuzitafuta hizo mali upo na anastahili mgao.
Kama ulizitafuta ukiwa peke yako akazikuta mkaachana akadai mgao hapo hata sheria inamkataa.
 
Singo maza wako salama kabisa dear wangu, achana na vikelele uchwara vya hawa makapuku wa jf, wanaolewa, wanatunzwa, wanafuraha na watoto wao, nawatia moyo kila siku wavumilie matunda watakuja kuyaona uzeeni
Mie mwenzenu bado sielewii, unajua huku mtaani wanao olewa ni hawa singo mamaz.
Kuna jamaa ni Mwalimu, Kamuaacha binti mdogo asiyezaa, na kamuoa Dada mwenye mtoto m1 na ndoa, tena siku ya send off mie nilikuwepo, ni last month hapo tu.

Sasa nashangaa hizi kelele za hapa JF watu hawazioni? Au walioko JF ni dunia nyingine tofauti na uraiani.

Nakiri wazi ndoa nyingi nazoshuhudia, ni lazima iwe ni singo mama.
 
Hapa ndio mnapofeli.

Kwanza kabisa ni asilimia ndogo ya wanawake ambao wanaweza kuwa tayari kuolewa na mwanaume ambaye current status ya uchumi wake haumuoneshi kuwa na progress katika siku za usoni.

Yani kiufupi ni kwamba ni asilimia ndogo au tuseme hakuna kabisa mwanamke ambaye atataka kuanza ku settle na mwanaume from zero.

Wengi wanapima, unakuta jamaa ana kazi yake ambayo ni rahisi kufanya tathmini ya miaka kadhaa kujua atakuwa ame achieve kitu gani, ndio hapo wanaingia.

Kwasababu tukianza kupima uhalisia wa mambo tunaweza kuona hata hizo kazi ambazo mwanamke anadai kuzifanya na kuona anastahili 50/50 tutaona kuna sehemu mwanaume ananyongwa.

Unakuta sometimes mwanaume anamuweka na mdada wa kazi ambaye kazi asilimia 90 anafanya yeye na mshahara wake ulo chini ya mwaume wako.

Je bado unaona una haki ya ku demand 50/50 hata kwenye kazi ambazo nyingi huzifanyi wewe?

Hii ndio sehemu ambayo nawaonaga feminist ni watu wenye ukatili dhidi ya mwaume.
 
Ebu kaeni na huyo singo maza mmalize tofauti zenu, huu ugomvi wako unataka kuichonganisha jamii nzima sasa
 
Unalinganisha pesa/jasho na vitu vua kijinga, ati utulivu...😁
 
Kwa tafsiri sahihi, single mother ni yupi?
 
Kulaza mshale ni kutokomea

Story zetu Huwa ni wanawake, mpira, burudani na siasa.

Nb; hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja
Funny, kumbe ni kutokomea 🀣

Hapo kwenye NB: Nimevunjika moyo na maini 😭
 
Kwa tafsiri sahihi, single mother ni yupi?
Ni mwanamke ambaye amezaa lakini haishi na mwanaume aliyezaa naye na yeye ndo anaishi na mtoto kwasababu mbalimbali ikiwemo kuachwa, kuacha, kufiwa etc. Tafsiri hii ni sahihi zaidi kwasababu haimuonei wala haimtetei single mother. Haishabikii jinsia yeyote inazingatia uhalisia. Kiuhalisia ni kwamba single motherhood ina vyanzo vingi akiwemo yeye mwenyewe single mother. Mwanaume ni chanzo kimojawapo tu.
 
Wanaroga siku hizi kama HAMISA MOBETO
 
Naomba mama nami nijumuike kwenye hiyo harusi nikupe kampani usile biriyani pekee yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…